copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,362
Alishawapata na sasa wanaishi Masaki.Mwambie anione najua Kwa kuwapata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishawapata na sasa wanaishi Masaki.Mwambie anione najua Kwa kuwapata
Tumia lugha nzuri na ujiheshimu.Nyanoko maana yake nini?Ni jina la mzazi wako wa kike?Huwa kule kwenu wanaitwa nyanoko
Jike kafungiwa,Ila mhuni kaipitisha humo humo kwenye geti,nmewaza Hawa mabinti zetu tunaojifanya kuwajengea fensi[emoji38]Tahadhari hiyo.Chunga mwenza wako kwa ukaribu.
Matapeli sio Watu wazuriAnge...... dole la kati
Bila shaka atakua anazungumzia mafaniko ya kiuchumi Kwny familia yake"but leo we are here because of that deal"
sijaelewa Sasa mrembo mko wapi..
Ok,angemalizia vizuri hapo katuweka kwenye suspense.....Bila shaka atakua anazungumzia mafaniko ya kiuchumi Kwny familia yake
Inaonekana Ni mwenye furaha Sana leo na anajivunia Sana mumewe, kakumbuka walikotoka[emoji4]Ok,angemalizia vizuri hapo katuweka kwenye suspense.....
Wakasepa na majibwa?Matapeli sio Watu wazuri
Mwamba alikusanya mbwa kibao na pesa juu akatapeliwa,wahuni wakaingia mitini
Kanusurika kutapeliwa as per DeepPond comment"but leo we are here because of that deal"
sijaelewa Sasa mrembo mko wapi..
Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here.
Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine (ndugu, jamaa, marafiki, ma ma hater) waKisema hana future, basi poa tu, we can build the future together.
I remember it was 2011, utawala wa JK uko kwenye peak, ndio nimefuñga ndoa na kapuku wangu, zaidi ya map*** yake hana chochote zaidi ya akili. Jamaa is a superb brilliant.
And it was heading to June, jamaa sijui kavuta bangi ya wapi, kaja na mawazo impossible, ila ukiyafanya kuwa possible, could change someone's life.
Basi usiku tumelala, ananiambia Wachina wanataka mbwa 79 kuna festival la kula dog?
Yalaah my sweet heart where are you going to aquire all that requisition?
Mbwa 79 unaenda kuwapata wapi? Mkoa gàni watakupa?
Jamaa nunda, wala hata hajibu swali.
Sitaki kujua , na wala kuuliza, but leo we are here because of that deal.
Wito kwa wadada wote:-
Don't underestimate mawazo ya mume wako, na mbinu zake za utafutaji.

Huko kwenu matokeo vipi Man City na Chelsea?Tumia lugha nzuri na ujiheshimu.Nyanoko maana yake nini?Ni jina la mzazi wako wa kike?
Kumbe kuwafungia watoto ndani ya uzio haisaidii kitu 😀
Mtu hatoishi kwa mkate tu, maandiko yanasema hivyoKwahiyo mnaishi kwa kuuza nyama ya mbwa kwa wachina??
Indeed, ni kumwombea kwenye kila analokushirikishaKisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here.