baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 3,016
- 4,404
Mwanamke yule alikuwa anatokwa na damu kutoka kwenye mji wake wa uzazi uterasi mfumo wa uzazi Kitabibu, tatizo hili la kutokwa na damu nyingi na kwa muda mrefu mfululizo linaitwa Menorrhagia.
Biblia haikutaja jina la kiungo hiki cha siri kwa sababu ya adabu na desturi za uandishi wa zamani, lakini tunajua ni mji wa uzazi kwa sababu
Sheria za Kiyahudi Mambo ya Walawi 1525utokaji wa damu kutoka kwenye via vya uzazi pekee ndio uliomfanya mwanamke aonekane mchafu kiibada
Ndio maana mwanamke huyu alitengwa na jamii na akaogopa akamgusa Yesu kwa siri
Lugha ya Asili
Katika Marko 5. 29 lugha ya asili ya Kigiriki inasema chemchemi ya damu yake ilikauka
ambalo lilikuwa ni neno maalum la kitiba la wakati huo kumaanisha mfumo wa uzazi wa mwanamke