secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kisa Cha mwanamke aliyekuwa anatokwa na damu kwa miaka 12 kinapatikana katika injili ya Mathayo 9:20-22, injili ya Marko 5:25-34, injili ya Luka 8:43-48 katika bibilia.
Isivyobahati, Katika injili hizo zote, hatujaambiwa hizo damu zilikuwa zinatoka sehemu katika mwili wa mwanake, jambo linalosababisha mkanganyiko kwa wasomaji wa bibilia na waamini Kwa ujumla.
Binafsi napenda kujua mwanamke tajwa alikuwa anatokwa na damu katika sehemu gani ya mwili wake. Kuuliza swali hili ni haki yangu, maana mimi ni muumini ninayetaka kujifunza mengi kuhusu bibilia na miujiza aliyotenda bwana Yesu.
Wajuzi naomba mnifahamishe kwa sababu bibilia haijawa specific kwenye baadhi ya mambo, likiwemo hili la huyu mwanamke.