secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #21
Haya!ni kitabu cha Mungu tuamini hivyo
Haya!ni kitabu cha Mungu tuamini hivyo
Na,tusiishie pale.Twende mbele zaidi,kwa nini walileta hivi vilivyopo?Hivi kwa nini waliondoa? 🤔.
Tuanzie hapa!
Watakuambia kwa kipindi kile watu hawakauishi kwa chakula bali kwa neno.Mimi sikuwepo.Huwa hakuna picha zinazowekwa kuonesha kama ni mikononi au machoni?
NB:Si muda mrefu nami nitakuja na swali mnioneshe ni wapi kwenye biblia watu walienda chooni.Kusoma biblia ni zaidi ya kutumia akili.
Si kwamba kuna kiumbe kilitaka jiwe ligeuzwe mkate ili ale lakini kikaambiwa kisitegemee mkate tu ila hata neno anaweza kushiba?Kumbukumbu zangu zinatoroka kama Slobodan Milosovic kutoka Serbia.Watakuambia kwa kipindi kile watu hawakauishi kwa chakula bali kwa neno.
1. Roho mtakatifu hajawahi hakosei/ hajawahi kukosea.Na,tusiishie pale.Twende mbele zaidi,kwa nini walileta hivi vilivyopo?
Kiumbe gani hicho kaka 😂.Si kwamba kuna kiumbe kilitaka jiwe ligeuzwe mkate ili ale lakini kikaambiwa kisitegemee mkate tu ila hata neno anaweza kushiba?Kumbukumbu zangu zinatoroka kama Slobodan Milosovic kutoka Serbia.
3-kwenye msafara wa mamba kenge lazima walete mbwembwe ila hushtukiwa.1. Roho mtakatifu hajawahi hakosei/ hajawahi kukosea.
2. Bibilia iliandikwa na watu walioshukiwa na roho mtakatifu.
3. Baadhi ya vitabu vilivyoandikwa havitumiki (vimefutwa) kwa sababu vinakasoro.
4 🤔🤔🤔🤔.
Saitaan/Shaitwan bin jinii mkuu.Kiumbe gani hicho kaka 😂.
La hasha mkuu, huu msafara ni wa kenge tupu, yaani hakuna mamba hata mmoja.3-kwenye msafara wa mamba kenge lazima walete mbwembwe ila hushtukiwa.
Jini Maimuna!Saitaan/Shaitwan bin jinii mkuu.
Ila usingekuwa msaada wa roho mtakatifu basi shetani angemhadaa bwana yesu, hasa pale alipomwambia atammilikisha vyote vilivyomo duniani.Saitaan/Shaitwan bin jinii mkuu.
Nasikia jini Maimuna liko very beautiful!Jini Maimuna!
Uzuri wake hauelezeki,ni mrembo sana kuliko wanawake wote, ananukia huyo balaa,vipi bro nikukonect ujionjee mema ya Dunia?Nasikia jini Maimuna liko very beautiful!
Tafadhali usiseme hivyo, nisije nikamtosa mama watoto wangu Mrs secretarybird, na kuanza kutafuta mwanamke mwenye sifa zinazoshabihiana na za huyo jini maimuna.Uzuri wake hauelezeki,ni mrembo sana kuliko wanawake wote, ananukia huyo balaa,vipi bro nikukonect ujionjee mema ya Dunia?
Mitala siwezi.Kwanza wifi yako akijua atanipiga judo hadi nizirai.Uzuri wake hauelezeki,ni mrembo sana kuliko wanawake wote, ananukia huyo balaa,vipi bro nikukonect ujionjee mema ya Dunia?
Ana utamu usioelezeka pia,yaani unaweza kumwaga Hadi ubongo!Tafadhali usiseme hivyo, nisije nikamtosa mama watoto wangu Mrs secretarybird, na kuanza kutafuta mwanamke mwenye sifa zinazoshabihiana na za huyo jini maimuna.
Jini akifika anamzimisha mnafanya yenu akiondoka wifi nae anazinduka,wakati huo nguvu zake za kike jini kashaziyeyusha!Mitala siwezi.Kwanza wifi yako akijua atanipiga judo hadi nizirai.
Duh!Kwa hiyo utamu unatiririkia kutoka kwenye kucha mkuu?Hatari hiyo!Ana utamu usioelezeka pia,yaani unaweza kumwaga Hadi ubongo!
Jesuu! Ni kweli au unataka nivunje ndoa yangu na hatimaye kubaki singo.Ana utamu usioelezeka pia,yaani unaweza kumwaga Hadi ubongo!
Subhanaallah!Mola apishilie mbali.Jini akifika anamzimisha mnafanya yenu akiondoka wifi nae anazinduka,wakati huo nguvu zake za kike jini kashaziyeyusha!