Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Try it,boss!Kulia baadaye hairuhusiwi.Jesuu! Ni kweli au unataka nivunje ndoa yangu na hatimaye kubaki singo.
Try it,boss!Kulia baadaye hairuhusiwi.Jesuu! Ni kweli au unataka nivunje ndoa yangu na hatimaye kubaki singo.
Ni balaa!Duh!Kwa hiyo utamu unatiririkia kutoka kwenye kucha mkuu?Hatari hiyo!
Usiombe kukutana na jini Maimuna bint Sharifu ni hataree,hutokaa uifagilie Tena nyeto ni utamu mpaka kisogoni!Jesuu! Ni kweli au unataka nivunje ndoa yangu na hatimaye kubaki singo.
Kuna hili jini linajiita 'jini mahaba', nilipokuwa single nilikuwa natamani niwe nangonoka nalo lakini lenyewe lilikuwa haliji zaidi nilisikia watu wanalalamika wakidai linawaendea.Jini akifika anamzimisha mnafanya yenu akiondoka wifi nae anazinduka,wakati huo nguvu zake za kike jini kashaziyeyusha!
Naanza kuamini Ile taarifa kutoka Zambia ambapo kuna jamaa alikufa kutokana na mwanamke aliyelala naye kuwa mtamu kupitiliza/so sweet hadi masikio yanalia nzeeeee!😛😛😛😛😛😛🫸🫷Ni balaa!
Ngoja nijaribu bahati yangu.Try it,boss!Kulia baadaye hairuhusiwi.
Unakosa uhondo ujue?Kuna hili jini linajiita 'jini mahaba', nilipokuwa single nilikuwa natamani niwe nangonoka naye lakini lenyewe lilikuwa haliji zaidi nilisikia watu wanalalamika wakidai linawaendea.
Sasa nimemwoa mwanamke mzuri, eti nalo sasa hivi linanijia na kunilazimisha tufanya ngono na mi sitaki.
Tena liambie likome wewe ni mume wa mtu!Kuna hili jini linajiita 'jini mahaba', nilipokuwa single nilikuwa natamani niwe nangonoka naye lakini lenyewe lilikuwa haliji zaidi nilisikia watu wanalalamika wakidai linawaendea.
Sasa nimemwoa mwanamke mzuri, eti nalo sasa hivi linanijia na kunilazimisha tufanya ngono na mi sitaki.
Sema uzuri wa nyeto ni kuwa unapiga sehemu yoyote, hata kwenye msiba na haina gharama, as long unamikono unajipatia huduma mwenyewe bila wasi.Usiombe kukutana na jini Maimuna bint Sharifu ni hataree,hutokaa uifagilie Tena nyeto ni utamu mpaka kisogoni!
Kitu kilichonikera ni, kwa nini nilipokuwa singo lilikuwa haliji na sasa nina mrembo wangu ndani ndo linakuja?Unakosa uhondo ujue?
Astaghifilulah! Hatari hiyo!Sema uzuri wa nyeto ni kuwa unapiga sehemu yoyote, hata kwenye msiba na haina gharama, as long unamikono unajipatia huduma mwenyewe bila wasi.
Tatizo majini wa siku hizi ni wabishi sana!Tena liambie likome wewe ni mume wa mtu!
Lilikua wapi ulipokuwa unalihitaji??
Hilo jini lenyewe linawapofusha waombolezaji,linakaa mkao wa popo kanyea mbingu unaichapa Lina sepa zake!Sema uzuri wa nyeto ni kuwa unapiga sehemu yoyote, hata kwenye msiba na haina gharama, as long unamikono unajipatia huduma mwenyewe bila wasi.
Halikuwa na timing nzuri.Saa hizi linajutia maringo yake.Kitu kilichonikera ni, kwa nini nilipokuwa singo lilikuwa haliji na sasa nina mrembo wangu ndani ndo linakuja?
Ooohooo...!Popo kafanyaje?😛Hilo jini lenyewe linawapofusha waombolezaji,linakaa mkao wa popo kanyea mbingu unaichapa Lina sepa zake!
Kumbe inawezekana ehh!Hilo jini lenyewe linawapofusha waombolezaji,linakaa mkao wa popo kanyea mbingu unaichapa Lina sepa zake!
Baada ya kuona vile ninavyomshughulikia wife nadhani likanitamani. Linaniimbia wimbo wa TID,Halikuwa na timing nzuri.Saa hizi linajutia maringo yake.
Injili ya thomas inaelezea kwa urefu na mapana namna ya kujitambua Sasa watu wakijitambua unadhani wataenda kanisani? Jibu ni kwamba kanisani kutakosa watu hii ndo sababu kuu ya kuiondoa injili ya thomas na vitabu vingine vingi.Hivi kwa nini waliondoa? 🤔.
Tuanzie hapa!
Mmmh! Uhakika sana mkuuNataka tu nijue mkuu. Mimi huwa sipendi vitu nusu nusu, nataka vitu vilivyokamilika.