Kisa cha mzee Yusuph

Tatizo lingine ambalo anafanya kurejea kwake Kwa dini sio maonyesho....!! Anachofanya Ni kosa
 
Pesa alizochuma kupitia muziki wa 'kishetani' kaziweka wapi?
 
Siku zooote hakuwa anajua anamkosea Muumba wake au ndio ile ngoja niibe nitaenda kutubu?
 
basi nikwambie tu kua katika uislam mziki wowote ni kharam sio kwamba sijui taarab zamani sijui bongo freva sijui kaswida hazi pigwi msikitini wala kwenye QURAN hapana penye mtume ameimba au yesu ameimba
Hata kaswida?!!!!!
 
kwahiyo katangaza kuacha nini taarabu asil,ya kisasa au nini

na kama ya kisasa kwahiyo yupo tayar kuimba taarab asili

USITUMIE UELEWA WAKO KUTUPAMBANULI HILI MKUU
 
Anaenda kuwa mnadhimu wa nyota?
 
hapa ninachoona kuwa mshana hajapendezwa na taarab kuitwa usheta lakini ndo hiko hivyo ndgu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…