wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Kwani maombi yake hayatoshi hadi tujumuishe yetu kila mtu anataka kuombewa ni shidaKutenda kosa siyo kosa, kosa ni kurudia kosa. Tumwombee maisha mapya aliyochagua Mzee Yusuf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani maombi yake hayatoshi hadi tujumuishe yetu kila mtu anataka kuombewa ni shidaKutenda kosa siyo kosa, kosa ni kurudia kosa. Tumwombee maisha mapya aliyochagua Mzee Yusuf.
Umenikumbusha enzi hizo kuna moja ina ubeti unasema ..[emoji3] [emoji3] [emoji3] zile za zamani nilikuwa na daftari yake kabisa
Kuombeana(dua, sala) ni msingi wa imani kidini na kibinadamu ninavyoaminiKwani maombi yake hayatoshi hadi tujumuishe yetu kila mtu anataka kuombewa ni shida
Uislamu hausemi hivyo!
!
ningemwelewa zaidi kama angetoa mali zote alizochuma kwa taarabu na kuwapa masikini
Ni imani tu mkuu ila kila mtu atavuna alichopanda kazi ufanye wewe ujira nipokee mimi fikiri tofauti sio kwa mazoeaKuombeana(dua, sala) ni msingi wa imani kidini na kibinadamu ninavyoamini
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Hata kaswida?!!!!!basi nikwambie tu kua katika uislam mziki wowote ni kharam sio kwamba sijui taarab zamani sijui bongo freva sijui kaswida hazi pigwi msikitini wala kwenye QURAN hapana penye mtume ameimba au yesu ameimba
kwahiyo katangaza kuacha nini taarabu asil,ya kisasa au niniKilichomfanya aache huu music sio taarab as taarab tunayoijua sisi...taarab ile ambayo ilipamba sherehe zenye adabu na staha, taarab zile zinazoalikwa kwenye dhifa za kitaifa kutumbuiza kwa hekima na hekima
Huyu kaamua kuachana na taarab hii ya kisasa na matendo yake mabaya huko kwenye hizo taarab za kileo na yale matusi aliyokuwa anaimba...mwisho wa siku nafsi yake imani yake vimemsuta amejikuta anakinzana navyo
Anaenda kuwa mnadhimu wa nyota?Hazikuwa habari njema sana siku mzee Yusuph gwiji wa taarab za kileo pale alipotangaza rasmi kuachana na mziki huu na kumrudia Mola wake...
Habari zilienea kwa kasi na mijadala ilikuwa mingi..! Wengi wakimpongeza kwa hatua yake hiyo
Mimi napingana naye...kilichomfanya aachane na huo muziki(kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake)hili ni tusi na dhikaha kwa mziki huu adhimu...lakini yametokea haya kulingana na mahitaji ya nyakati na kile alichokuwa anafanya
Kiuhalisia mziki wa mwambao(taarab) ni mziki wa asili wenye kuheshimika mno ambao kiasili ulitumika kuelimisha kuonya kufundisha kuburudisha na kufurahisha, haukuwa na matusi vijembe dhihaka wala mambo ya kishetani
Miaka ile ya 1987 ndio taarab ilianza kubadilika na kupoteza mwelekeo...ujio wa Khadija Kopa (malkia wa mipasho) na Nasma Khamis Kidogo RIP kulibadilisha mwelekeo mzima wa taarab
Leo hii taarab ni mziki wa kusutana na mambo yote mabaya..ikuwemo ushoga umalaya bifu kusemana wazi wazi nk...
Mzee Yusuph ajiuzulu tu kwa matendo yake na nyimbo zake za kishetani lakini asihusishe na mziki huu adhimu wa taarab sio haki
NI HARAM ISIPOKUA TUNATOFAUTIANA KI MADHEHEBUHata kaswida?!!!!!
Mi pia..na zile ndo zilikua taarab haswaaa sio huu ushuzi wa ckuiz.[emoji3] [emoji3] [emoji3] zile za zamani nilikuwa na daftari yake kabisa
Anaenda kuwa mnadhimu wa nyota?
Lakini najua sana kimakonde...wewe wajua lugha gani? Taarabu?Sio mnadhimu ni mnajimu...kingereza hujui hata kiswahili pia???
Lakini najua sana kimakonde...wewe wajua lugha gani? Taarabu?