Kisa cha mzee Yusuph

mshana jr, kuna point unamiss hapa, shida sio old taarab au taarab after 1987. The point is music is not accepted hayo mengine ni porojo tu
 
mhhhh kuna profesa nafsi ilimsuta baadae akaona bor arud sasa huyu mfalme najua atarud tu
 
kwahiyo katangaza kuacha nini taarabu asil,ya kisasa au nini

na kama ya kisasa kwahiyo yupo tayar kuimba taarab asili

USITUMIE UELEWA WAKO KUTUPAMBANULI HILI MKUU
Mungu wangu hivi hata hii imekuwa ngumu kuelewa?
 
MKUU UNAANDIKA WW HALAFU UNAKATAA MAANDIKO YAKO BASI ACHA NI NUKUU ANDIKO HILI "kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake."mwisho wa kunukuu.
 
Dah! kwa mara ya kwanza leo,kiswahili kinanipiga chenga...
 
MKUU UNAANDIKA WW HALAFU UNAKATAA MAANDIKO YAKO BASI ACHA NI NUKUU ANDIKO HILI "kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake."mwisho wa kunukuu.
Mbona hukuzingatia mabano kwenye hicho nilichoandika?
 
mziki wa taarabu uliingiliwa kwakweli....maana taarabu ilibadilika tofauti na taarabu tulizokuwa tuanasimuliwa na mababu zetu. maana taarabu ya enzi hizo mtu akicheza jasho halitoki kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…