Kisa cha mzee Yusuph

Kisa cha mzee Yusuph

aisee kweli watu hawaelewi!..mshana Jr tafadhali fafanua zaidi!...maana hapa naona mambo ya imani yameingilia mada
Kilichomfanya aache huu music sio taarab as taarab tunayoijua sisi...taarab ile ambayo ilipamba sherehe zenye adabu na staha, taarab zile zinazoalikwa kwenye dhifa za kitaifa kutumbuiza kwa hekima na hekima
Huyu kaamua kuachana na taarab hii ya kisasa na matendo yake mabaya huko kwenye hizo taarab za kileo na yale matusi aliyokuwa anaimba...mwisho wa siku nafsi yake imani yake vimemsuta amejikuta anakinzana navyo
 
ukweli mtupu! na sasa hv taarabu hata mavazi siyo yenyewe!..uimbaji umebadilika!..yan taarabu ya kizazi hiki haina maadili hata kidogo.

Mipasho,mishushuano,upashkuna,kisutana ndo kumekolea huko! Aache kwa matendo na siyo kusingizia taarabu mbayo wao waliibadili na kuifanya iwe ya hovyo, amrudie hasa Mungu wake maana....mmmh! TUNAMUOMBEA KHERI
 
Katika mziki inayozingatia heshima na maadili ni ile taarab ya zamani...siku hizi mmh
1472924119616.jpg
1472924124429.jpg
 
Ameshachuma vya kutosha kuanzisha miradi yake kutoka kwa muziki ya taarabu leo sizitaki mbichi hizi baada ya kushindwa kufanya original taarabu
 
Hazikuwa habari njema sana siku mzee Yusuph gwiji wa taarab za kileo pale alipotangaza rasmi kuachana na mziki huu na kumrudia Mola wake...
Habari zilienea kwa kasi na mijadala ilikuwa mingi..! Wengi wakimpongeza kwa hatua yake hiyo
Mimi napingana naye...kilichomfanya aachane na huo muziki(kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake)hili ni tusi na dhikaha kwa mziki huu adhimu...lakini yametokea haya kulingana na mahitaji ya nyakati na kile alichokuwa anafanya
Kiuhalisia mziki wa mwambao(taarab) ni mziki wa asili wenye kuheshimika mno ambao kiasili ulitumika kuelimisha kuonya kufundisha kuburudisha na kufurahisha, haukuwa na matusi vijembe dhihaka wala mambo ya kishetani
Miaka ile ya 1987 ndio taarab ilianza kubadilika na kupoteza mwelekeo...ujio wa Khadija Kopa (malkia wa mipasho) na Nasma Khamis Kidogo RIP kulibadilisha mwelekeo mzima wa taarab
Leo hii taarab ni mziki wa kusutana na mambo yote mabaya..ikuwemo ushoga umalaya bifu kusemana wazi wazi nk...
Mzee Yusuph ajiuzulu tu kwa matendo yake na nyimbo zake za kishetani lakini asihusishe na mziki huu adhimu wa taarab sio haki
ahsante mkuu kwa kutoa mawazo tumepata faida ktk baadhi ya maeneo na yapo makosa ktk maeneo mengine ama yale yenye faida sitoyagusa na badala yake nitaongelea yale ambayo kidogo umeteleza nayo ni pale uliposema kuwa mziki wa taarab wa zamani ulikua unafundisha. pamoja na kufundi lakini ieleweke kuwa mzee yusuphu ni muislam hivyo yampasa kufuata mafundisho ya mtume wake muhamadi sala na salam ziwe juu yake, na mola wake kawata waislam kumuigiza yeye nae alifundisha pasipokutumia hayo mambo ya muziki hivyo ni wajibu wao waislamu wakajiepusha na hayo mambo ya muziki kwakuwa kuna katazo dhidi yao
 
Aameen siwezi kupingana nawe kwenye hili japo mafundisho si lazima yawe ya kidini tuu lakini kwa muktadha wako sina budi kukubaliana nawe
 
Hazikuwa habari njema sana siku mzee Yusuph gwiji wa taarab za kileo pale alipotangaza rasmi kuachana na mziki huu na kumrudia Mola wake...
Habari zilienea kwa kasi na mijadala ilikuwa mingi..! Wengi wakimpongeza kwa hatua yake hiyo
Mimi napingana naye...kilichomfanya aachane na huo muziki(kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake)hili ni tusi na dhikaha kwa mziki huu adhimu...lakini yametokea haya kulingana na mahitaji ya nyakati na kile alichokuwa anafanya
Kiuhalisia mziki wa mwambao(taarab) ni mziki wa asili wenye kuheshimika mno ambao kiasili ulitumika kuelimisha kuonya kufundisha kuburudisha na kufurahisha, haukuwa na matusi vijembe dhihaka wala mambo ya kishetani
Miaka ile ya 1987 ndio taarab ilianza kubadilika na kupoteza mwelekeo...ujio wa Khadija Kopa (malkia wa mipasho) na Nasma Khamis Kidogo RIP kulibadilisha mwelekeo mzima wa taarab
Leo hii taarab ni mziki wa kusutana na mambo yote mabaya..ikuwemo ushoga umalaya bifu kusemana wazi wazi nk...
Mzee Yusuph ajiuzulu tu kwa matendo yake na nyimbo zake za kishetani lakini asihusishe na mziki huu adhimu wa taarab sio haki

!
!
ningemwelewa zaidi kama angetoa mali zote alizochuma kwa taarabu na kuwapa masikini
 
Mzee naye Ni msanii kama walivyo wasanii..Ivi inawezekana vipi uliee namna hiyoo uwaambie Na Wateja wako wazitupilie mbali nyimbo zako..huku nyuma mkeo anazindua Albamu ya Kaninganganiaa..Ama kweli Tz wajingaa ndio waliwaooo
 
Back
Top Bottom