Kisa cha mzee Yusuph

Kisa cha mzee Yusuph

basi nikwambie tu kua katika uislam mziki wowote ni kharam sio kwamba sijui taarab zamani sijui bongo freva sijui kaswida hazi pigwi msikitini wala kwenye QURAN hapana penye mtume ameimba au yesu ameimba
Duh! Fanatic at work. We dini gani?
 
whats your point sasa hapa yy ameacha sababu ya dini yake inamkataza ila andiko lako linajigonga gonga mambo ya kiimani yaachwe pls aheshimiwe kwa uhuru wake
k̲̅w̲̅a̲̅n̲̅i̲̅ h̲̅i̲̅y̲̅o̲̅ d̲̅i̲̅n̲̅i̲̅ y̲̅a̲̅k̲̅e̲̅, n̲̅d̲̅o̲̅ k̲̅a̲̅i̲̅j̲̅u̲̅a̲̅ s̲̅a̲̅s̲̅a̲̅ h̲̅i̲̅v̲̅i̲̅?
 
k̲̅w̲̅a̲̅n̲̅i̲̅ h̲̅i̲̅y̲̅o̲̅ d̲̅i̲̅n̲̅i̲̅ y̲̅a̲̅k̲̅e̲̅, n̲̅d̲̅o̲̅ k̲̅a̲̅i̲̅j̲̅u̲̅a̲̅ s̲̅a̲̅s̲̅a̲̅ h̲̅i̲̅v̲̅i̲̅?
uislam unatoa fursa kwa aliepotea kurudi kwa mola wake tunaita toba ndio allah atakavo
 
Tuache kujidanganga eti dini inakataa, dini imeletalwa na binadamu na kuweka Visheria vya ajabu ajabu kama hivyo alafu mnasema dini, tuche unafiki!.
SWALI: Kama Dini ya Uislam inakataa mziki mbona wasanii wengi Taarab na Bongo Fleva ni Waislamu?

Tuache unafiki!!!
 
Hazikuwa habari njema sana siku mzee Yusuph gwiji wa taarab za kileo pale alipotangaza rasmi kuachana na mziki huu na kumrudia Mola wake...
Habari zilienea kwa kasi na mijadala ilikuwa mingi..! Wengi wakimpongeza kwa hatua yake hiyo

Mimi napingana naye...kilichomfanya aachane na huo muziki(kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake)hili ni tusi na dhikaha kwa mziki huu adhimu...lakini yametokea haya kulingana na mahitaji ya nyakati na kile alichokuwa anafanya
Kiuhalisia mziki wa mwambao(taarab) ni mziki wa asili wenye kuheshimika mno ambao kiasili ulitumika kuelimisha kuonya kufundisha kuburudisha na kufurahisha, haukuwa na matusi vijembe dhihaka wala mambo ya kishetani
Miaka ile ya 1987 ndio taarab ilianza kubadilika na kupoteza mwelekeo...ujio wa Khadija Kopa (malkia wa mipasho) na Nasma Khamis Kidogo RIP kulibadilisha mwelekeo mzima wa taarab

Leo hii taarab ni mziki wa kusutana na mambo yote mabaya..ikuwemo ushoga umalaya bifu kusemana wazi wazi nk...
Mzee Yusuph ajiuzulu tu kwa matendo yake na nyimbo zake za kishetani lakini asihusishe na mziki huu adhimu wa taarab sio haki
Nakuunga mkono asilimia 100
 
Siku nyingine andika taratibu kwa tuo kuepuka kuonekana umehemka na hata kuwa na makosa mengi ya kisarufi na kiuandishi
Naona sasa tunataka kupeleka mjadala vichakani...kwa muktadha wako unaweza kuwa sawa lakini tafsiri yake ni nini kama yeye kaacha lakini mkewe bado anaendelea?
Ngoja nimtafsirie, Mme na Mke ni kitu kimoja. Sasa kama Mzee Yusuph kaacha mziki mbona wa Ubavu wake bado anaendelea kuimba?
 
Tuache kujidanganga eti dini inakataa, dini imeletalwa na binadamu na kuweka Visheria vya ajabu ajabu kama hivyo alafu mnasema dini, tuche unafiki!.
SWALI: Kama Dini ya Uislam inakataa mziki mbona wasanii wengi Taarab na Bongo Fleva ni Waislamu?

Tuache unafiki!!!
we kweli matayo

kwani dini mtu??

mtu ndo anatakiwa afuate dini ukimuona muislam anaimba bongo fleva huyo anatenda dhambi
 
Tuache kujidanganga eti dini inakataa, dini imeletalwa na binadamu na kuweka Visheria vya ajabu ajabu kama hivyo alafu mnasema dini, tuche unafiki!.
SWALI: Kama Dini ya Uislam inakataa mziki mbona wasanii wengi Taarab na Bongo Fleva ni Waislamu?

Tuache unafiki!!!
Sio unafiki,kwani umesikia wakiimba taarabu ndio dini imeruhusu?,tusiwe masikini wa kufikiri,...Leo uislamu umekataza kula nguruwe lkn wapo waislamu kibao wanaokula,...hiyo ni dhambi yao sii kwamba kwa kuwa wanakula bac dini imeruhusu.pia dini zote zimekataza zinaa,lkn still watu wa dini hizo hizo wanazini kwa kwenda mbele,usiandike tu ili uonekane na watu kuwa na ww pia umeandika.Mzee Yusuf alikuwa amepotea,na ss amejitambua na ameamua kutubu kwa Mola wake na amesamehewa,ss ww usietaka kutubu endelea na maasi yako utakuja kujuta siku moja,....Mungu akuokoe.
 
Kafulia yule,
Kama vipi mali alizopata kwa huo mziki wa kishetani azigawe kwa maskini

Natania u
 
Sio unafiki,kwani umesikia wakiimba taarabu ndio dini imeruhusu?,tusiwe masikini wa kufikiri,...Leo uislamu umekataza kula nguruwe lkn wapo waislamu kibao wanaokula,...hiyo ni dhambi yao sii kwamba kwa kuwa wanakula bac dini imeruhusu.pia dini zote zimekataza zinaa,lkn still watu wa dini hizo hizo wanazini kwa kwenda mbele,usiandike tu ili uonekane na watu kuwa na ww pia umeandika.Mzee Yusuf alikuwa amepotea,na ss amejitambua na ameamua kutubu kwa Mola wake na amesamehewa,ss ww usietaka kutubu endelea na maasi yako utakuja kujuta siku moja,....Mungu akuokoe.
Hata mimi siko mbali na mawazo yako; ni kweli Mzee Yusuph katubu na kumrudia Allah Lakini katubu kwa dhambi zake alizokuwa anafanya kupindi anaimba mziki sio kweli kwamba Kaacha Mziki wa Taarab kwa sababu eti Dini inakataza.
 
Huyu jamaa alisema ametubu na nyimbo zake zisipigwe kwenye media na sehemu nyingine, lakini mbona zinapigwa kila siku kwenye media mbalimbali? Au ilikuwa ni Kiki tu za kisanii?
 
Huyu jamaa alisema ametubu na nyimbo zake zisipigwe kwenye media na sehemu nyingine, lakini mbona zinapigwa kila siku kwenye media mbalimbali? Au ilikuwa ni Kiki tu za kisanii?
Ni kiki tu na albam yake ilizinduliwa week zilizopita travertine na kundi lake
 
kilichomfanya aachane na huo muziki(kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake)hili ni tusi na dhikaha kwa mziki huu adhimu... HAYA MANENO YAKO ULIOANDIKA UMEONA
Agawe NA mali zote alizochuma kwa pesa za taarab NA wake wote awape talaka,,,,,

hata yesu alimwambia yule jamaa uza vyote ulivyonavyo kisha unifwate sasa huyu mzee kama bado anakula matunda ya kile anachokiita dhambi anajidanganya ni bora aendelee kunengua tu.......
 
Kila kitu kinna mwanzo na mwisho.. Muacheni mzee aache kuimba amrudie muumba wake ..hongera mzee kwa maamzi magumu na sahihi
 
Back
Top Bottom