Sio unafiki,kwani umesikia wakiimba taarabu ndio dini imeruhusu?,tusiwe masikini wa kufikiri,...Leo uislamu umekataza kula nguruwe lkn wapo waislamu kibao wanaokula,...hiyo ni dhambi yao sii kwamba kwa kuwa wanakula bac dini imeruhusu.pia dini zote zimekataza zinaa,lkn still watu wa dini hizo hizo wanazini kwa kwenda mbele,usiandike tu ili uonekane na watu kuwa na ww pia umeandika.Mzee Yusuf alikuwa amepotea,na ss amejitambua na ameamua kutubu kwa Mola wake na amesamehewa,ss ww usietaka kutubu endelea na maasi yako utakuja kujuta siku moja,....Mungu akuokoe.