Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
The timingYaani watu wasilipwe haki zao na stahili zao kisa uchaguzi.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The timingYaani watu wasilipwe haki zao na stahili zao kisa uchaguzi.
P
Mkuu kwa hali ilivyo na watu namna gani wameelimika, hakuna hata mmoja wa kumlaghai na hizi siasa za kitoto ambazo zilikuwa zinafaa kipindi cha mzee Mkapa na sio zama hizi. Yaani hapa ni mwendo wa spana tu kama wajumbe vile. Wadouble mishahara, waweke marupurupu hata katika nafasi ambazo hazina lkn 28 Oct spana zipo pale pale tu... Potelea mbaliWewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
Anakutesa vipi kwa kitokuwepo ajira wakati wewe tayari ni mfanyakazi? Huna lolote na JPM ni mitano tenaMimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Mkuu Mhere Mwita , kama wewe ndio sampuli ya viongozi wa Chadema, then kiukweli Chadema ina safari ndefu mbele ya safari kufikia hatua ya kuwa mature enough kukabidhiwa nchi!.Kwa niaba ya chadema wilaya ya Geita ninalaani kitendo cha vijana wa ccm kuandaliwa na baadhi ya viongozi wa Serikali ili wamfanyie fujo mgombea wetu wa urais Mhe Tundu Lissu, alipokuwa kwenye ratiba yake ya kampeni katika wilaya ya Geita Tarehe 23 Jimbo la Busanda na Tarehe 24 Jimbo la Geita na Geita Mjini.
Wilaya tulipoona hali hiyo tukaamua kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi huku na sisi tukiwa tumejipanga kumrinda Mgombea wetu dhidi ya vijana hao ambao walikuwa na mawe pamoja na fimbo karibu na Ofisi ya ccm ya wilaya pembezeni mwa barabara ya kutoka Geita kwenda Mwanza.
Tunalishukuru Jeshi la Polisi kwa kuchukua hatua, kwa kuwadhibiti vijana hao, lakini cha kusikitisha kabisa leo tumepata taarifa Ocd na RPC wamehamishwa vituo vyao vya kazi kwa sababu ya kuwatawanya vijana wa ccm wasimfanyie fujo Tundu Lissu.
Polisi Tarehe 24 alizuia mambo mengi sana walizuia maafa makubwa sana maana wananchi waliamua kwenda kumpokea Tundu Lissu wangewashughulikia vijana hao na sidhani kama mtu angepona lakini cha ajabu Polisi waliopambana kuzuia maafa wamehamishwa kazi.
Kwa akili ya kawaida kumbe mpango huu ulikuwa umepangwa na kuratibiwa na serikali ili Tundu Lissu afanyiwe Fujo kwenye mkutano wake, kama sio kwanini OCD na RPC wahamishwe kwenye vituo vyao vya kazi, Hivi ingekuwa ni chadema ndio Tumedhibitiwa na Polisi kwa sababu ya kufanya fujo kwenye mkutano wa ccm OCD na RPC wangehamishwa au kwa sababu ni halamu kufanya kampeni kwa vyama vya Upinzani.
Viongozi wa wilaya tunajadiliana bado kutoa tamko kwa vyombo vya habari vya ndani ya nchi na nje juu ya tukio hili.
Ni Mimi Mhere Mwita
Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Geita.
mimi nadhani mpumbavu ni yule anayepokea ushauri wa Msukuma JosephJoseph musukuma ni mtu mjinga duniani na ni darasa la saba.nfiye mshauri mkuu wa mambo ya chama na serikali wa John magufuli . Na nfipo walikoipeleka nchi na chama sasa.yajayo..
Hongereni sana Wakuu,hakika mmetumia akili na busara ya hali juu sana.Kwa niaba ya chadema wilaya ya Geita ninalaani kitendo cha vijana wa ccm kuandaliwa na baadhi ya viongozi wa Serikali ili wamfanyie fujo mgombea wetu wa urais Mhe Tundu Lissu, alipokuwa kwenye ratiba yake ya kampeni katika wilaya ya Geita Tarehe 23 Jimbo la Busanda na Tarehe 24 Jimbo la Geita na Geita Mjini.
Wilaya tulipoona hali hiyo tukaamua kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi huku na sisi tukiwa tumejipanga kumrinda Mgombea wetu dhidi ya vijana hao ambao walikuwa na mawe pamoja na fimbo karibu na Ofisi ya ccm ya wilaya pembezeni mwa barabara ya kutoka Geita kwenda Mwanza.
Tunalishukuru Jeshi la Polisi kwa kuchukua hatua, kwa kuwadhibiti vijana hao, lakini cha kusikitisha kabisa leo tumepata taarifa Ocd na RPC wamehamishwa vituo vyao vya kazi kwa sababu ya kuwatawanya vijana wa ccm wasimfanyie fujo Tundu Lissu.
Polisi Tarehe 24 alizuia mambo mengi sana walizuia maafa makubwa sana maana wananchi waliamua kwenda kumpokea Tundu Lissu wangewashughulikia vijana hao na sidhani kama mtu angepona lakini cha ajabu Polisi waliopambana kuzuia maafa wamehamishwa kazi.
Kwa akili ya kawaida kumbe mpango huu ulikuwa umepangwa na kuratibiwa na serikali ili Tundu Lissu afanyiwe Fujo kwenye mkutano wake, kama sio kwanini OCD na RPC wahamishwe kwenye vituo vyao vya kazi, Hivi ingekuwa ni chadema ndio Tumedhibitiwa na Polisi kwa sababu ya kufanya fujo kwenye mkutano wa ccm OCD na RPC wangehamishwa au kwa sababu ni halamu kufanya kampeni kwa vyama vya Upinzani.
Viongozi wa wilaya tunajadiliana bado kutoa tamko kwa vyombo vya habari vya ndani ya nchi na nje juu ya tukio hili.
Ni Mimi Mhere Mwita
Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Geita.
Yaani ungejua unavyojidhalilisha bora ungejikalia kimya kama mwenzako Mzee Mwanakijiji.Mkuu Mhere Mwita , kama wewe ndio sampuli ya viongozi wa Chadema, then kiukweli Chadema ina safari ndefu mbele ya safari kufikia hatua ya kuwa mature enough kukabidhiwa nchi!.
Unapokuwa ni kiongozi wa chama kikubwa kama Chadema, usiwe na haraka ya kukimbilia social media kila unachosikia. Kama hoja kama hizi wewe ndio Mwenyekiti wa Chadema Geita, basi Chadema bado ina safari ndefu mbele.
- "ninalaani kitendo cha vijana wa ccm kuandaliwa na baadhi ya viongozi wa Serikali ili wamfanyie fujo mgombea wetu wa urais Mhe Tundu Lissu" Jee una ushahidi hao vijana ni wa CCM?. Don't assume!.
- Una ushahidi vijana hao wa CCM waliandaliwa na baadhi ya viongozi wa serikali?. Viongozi hao wa serikali ni kina nani?. Don't assume!.
- Taarifa kuwa RPC na OCD wa Geita wamehamishwa, umeipata wapi?. Kwa vile wewe sio Msemaji wa jeshi la polisi, unawezaje kutoa taarifa kama hii wakati wewe sio Msemaji wa polisi?.
- Ikitokea Jeshi la polisi kukanusha taarifa hii, utaiweka wapi sura yako?.
- Na kama ni kweli polisi hao wamehamishwa, Jee hii ndio mara ya kwanza kwa polisi kuhamishwa vituo, polisi wanapohamishwaga, jeshi la polisi huwa linatoa maelezo sababu za kuhamishwa?, don't assume!.
Imetokea mimi mwenyewe saa hizi niko Geita, na nimetokea kumsikiliza Upendo Peneza, kiukweli huyu binti ni mahiri kujenga hoja, nashauri jiuzulu uenyekiti wa Chadema Geita, mpeni Upendo Peneza.
P
Utashangaa na hutaamini macho yako kwa kitakachotokea...Mkuu kwa hali ilivyo na watu namna gani wameelimika, hakuna hata mmoja wa kumlaghai na hizi siasa za kitoto ambazo zilikuwa zinafaa kipindi cha mzee Mkapa na sio zama hizi. Yaani hapa ni mwendo wa spana tu kama wajumbe vile. Wadouble mishahara, waweke marupurupu hata katika nafasi ambazo hazina lkn 28 Oct spana zipo pale pale tu... Potelea mbali
Mungu ni mkuu kuliko wezi wanaotuibia siku zote.Utashangaa na hutaamini macho yako kwa kitakachotokea...
P
No siwavunji moyo, bali mimi ndio nawasaidia kwa kuwaeleza ukweli bayana uliopo.Mungu ni mkuu kuliko wezi wanaotuibia siku zote.
Wewe ni adui wa mateso yetu, hueleweki una ndimi mbili, unapigania tumbo lako.
Siku inakuja utajutia unafiki wako.
Unatuvunja moyo kila wakati
Wewe ni sawa na Sanbalati, aliwavunja Israel moyo wakati wanaujenga upya ukuta wa Yerusalemu uliobomolewa, aliwaambia kwa lejeli mnajenga ukuta gani huu hata Mbweha akipanda juu unabomoka?No siwavunji moyo, bali mimi ndio nawasaidia kwa kuwaeleza ukweli bayana uliopo.
Nyinyi na ndoto zenu za mchana kuamini mtu wenu atashinda, hivyo mmekuwa na kitu kinachoitwa "too great expectations" hivyo akishindwa mtapata ugonjwa wa depression. Kitendo cha mimi kuwaambia ukweli , kunawaandaa kisaikolojia, hivyo atakaposhindwa, mtaumia tuu, ila hamtapata depression.
P
Kwao sio geita bali kigali RwandaGeita watachagua CCM kwa kishido huko ndio nyumbani
Mayala nimekushusha sana brooo sanaaa sikujua wewe ni light kiasi hiki.Mkuu Mhere Mwita , kama wewe ndio sampuli ya viongozi wa Chadema, then kiukweli Chadema ina safari ndefu mbele ya safari kufikia hatua ya kuwa mature enough kukabidhiwa nchi!.
Unapokuwa ni kiongozi wa chama kikubwa kama Chadema, usiwe na haraka ya kukimbilia social media kila unachosikia. Kama hoja kama hizi wewe ndio Mwenyekiti wa Chadema Geita, basi Chadema bado ina safari ndefu mbele.
- "ninalaani kitendo cha vijana wa ccm kuandaliwa na baadhi ya viongozi wa Serikali ili wamfanyie fujo mgombea wetu wa urais Mhe Tundu Lissu" Jee una ushahidi hao vijana ni wa CCM?. Don't assume!.
- Una ushahidi vijana hao wa CCM waliandaliwa na baadhi ya viongozi wa serikali?. Viongozi hao wa serikali ni kina nani?. Don't assume!.
- Taarifa kuwa RPC na OCD wa Geita wamehamishwa, umeipata wapi?. Kwa vile wewe sio Msemaji wa jeshi la polisi, unawezaje kutoa taarifa kama hii wakati wewe sio Msemaji wa polisi?.
- Ikitokea Jeshi la polisi kukanusha taarifa hii, utaiweka wapi sura yako?.
- Na kama ni kweli polisi hao wamehamishwa, Jee hii ndio mara ya kwanza kwa polisi kuhamishwa vituo, polisi wanapohamishwaga, jeshi la polisi huwa linatoa maelezo sababu za kuhamishwa?, don't assume!.
Imetokea mimi mwenyewe saa hizi niko Geita, na nimetokea kumsikiliza Upendo Peneza, kiukweli huyu binti ni mahiri kujenga hoja, nashauri jiuzulu uenyekiti wa Chadema Geita, mpeni Upendo Peneza.
P
Ungekuwa jinsi ulivyo poteza credibility kama journalists ungejitahidi kuficha angalao kipindi hiki njaa yakoNo siwavunji moyo, bali mimi ndio nawasaidia kwa kuwaeleza ukweli bayana uliopo.
Nyinyi na ndoto zenu za mchana kuamini mtu wenu atashinda, hivyo mmekuwa na kitu kinachoitwa "too great expectations" hivyo akishindwa mtapata ugonjwa wa depression. Kitendo cha mimi kuwaambia ukweli , kunawaandaa kisaikolojia, hivyo atakaposhindwa, mtaumia tuu, ila hamtapata depression.
P
Hajijui alivyopoteza, hii ndio imetoka hiviUngekuwa jinsi ulivyo poteza credibility kama journalists ungejitahidi kuficha angalao kipindi hiki njaa yako
Rushwa si ndio mkuu.... Unaloliwaza halipo nakwambia tena halipo naona umekua kama kuku aliekatwa kichwa UNATAPATAPA MAYALAWewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
Wewe ni kigeugeu....hata wana CCM a.k.a chama dume wanalijua hilo....wewe haupo CCM wenye akili wanajua hiloNo siwavunji moyo, bali mimi ndio nawasaidia kwa kuwaeleza ukweli bayana uliopo.