mbona mafia kuna parokia ya kanisa katoliki na lina wafuasi wengi tu. Huyu wa simulizi hii atakuwa hakuwahi kufika mjini mafia. Anatokea vijiji vya ndani ndani kabisa. Wakristu ni wengi tu. pia si ajabu. kijijini kwetu hatujawahi kuwa na muumini wa kiislamu. wote wakristo na hata waalimu wakristu.Ila tulikuwa tunafundishwa kuwa kuna dini ya kiislamu. Je huyu walipokuwa hawendi shule kwa sikukuu kama krsmas au pasaka alikuwa anajua ni za dini ipi? NamshangaaSawa ndugu Yohana Frank. Nitaongea na Askofu Gwajima, rafiki yangu Mwamposa! Ili tuone namna ya kuja kufungua kanisa huko Mafia na tuwakombea hao Kondoo wote walio potea.