Nahisi wewe ndo utakuwa kondeboy mwenyewe maana nakuona wewe ndo unaangaika.
Unaanzaje kubishana na Mwalimu aliyekupa kazi? Nimekupa kazi ya kufanya nasubili mrejesho usio na unafiki wala UteamMbona ujajibu swali nimekuuliza ngoma ya mwisho ya mavoko before ya kujiunga WCB inaitwaje? Mbona swali ni rahisi tu
Juma Lokole leo umeshafukuliwa tope au ni Zamu ya Tanasha mwana wa Madona?
Ukizidiwa jilengeshe hata kwa ricado momo akafukue
Sent using Jamii Forums mobile app
Me na wewe Nani mwenye utimu sasa nimekuuliza swali rahisi tu umeshindwa kujibu zaidi ya kuzungukazunguka je ningekuuliza swali gumu ingekuaje? yaani unatetea kitu alafu point huna.Unaanzaje kubishana na Mwalimu aliyekupa kazi? Nimekupa kazi ya kufanya nasubili mrejesho usio na unafiki wala Uteam
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli huo ujasusi. Hapo jamaa yake yake ni jasusi la kimkakati. Lakini jamaa angeamua angemfanyia umafia mkuu kupindua mezaHapo kwa demu wako Bank Teller tu, Jamaa ako ni Jasusi tena Gaidi zaidi ya Bashite.
"Jasusi la kimkakati" 😂😂Kweli huo ujasusi. Hapo jamaa yake yake ni jasusi la kimkakati. Lakini jamaa angeamua angemfanyia umafia mkuu kupindua meza
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechelewa mwenyewe mkuu. Kabla jamaa hajatupia ndani ilitakiwa usome mchezo fasta ungepindua meza kibabe,ungetupa ndani kabisa. Tena wewe ulikuwa una nafasi kubwa kuliko huyo jamaa yako,ksbb tayari ulikuwa na kete ya demu kukuelewa weweafu demu nilimchana akaniambia jamaa anamsumbua..sasa nikaona demu siyo..kumbe mwana kaoa kabsa
Hata ningekuwa mimi siwezi kumrudisha kundini mkuu. Mwenye apambane na madanga akina lulu divMzee baba mbona unadharau kwa mtu ambaye humjui alafu mbona liko wazi WCB wameshawasaini wasanii wawili teyali na diamond mwenyewe ndo amesema.Me kusema Mavoko amechelewa sijasema tu kimakosa angalia wote waliotoka Wasafi Kama Kuna mtu yoyote amewahi kurudishwa mfano mzuri qboy msafi.
Madanga lulu diva ni nani wake?Sasa rich mavoko aana demu gani wa kuchapiwa?acha masihala