Kisa cha Rich Mavoko na ushauri wa kuuza Ruby

hv utajiri alionao mmakonde ameupatia wapi...?

Au kipindi bado yupo kwenye uchinga..?
 
hv utajiri alionao mmakonde ameupatia wapi...?

Au kipindi bado yupo kwenye uchinga..?
 
jibu swali nyimbo ya mwisho ya mavoko kabla ya kuingia WCB acha kukwepa swali
 

Mavoko alipotea tangu Alipo sainiwa KAKA EMPIRE nchini kenya chini ya kaka sungura a.k.a king kaka ,ila WCB ili mrudisha kwenye top, uvivu wake tu na ushauri wa kijinga ndiyo ume mkwamisha,INGAWA BADO YUPO VIZURI AKAZE BUTI


Sent using iphone
 
Mavoko alipotea tangu Alipo sainiwa KAKA EMPIRE nchini kenya chini ya kaka sungura a.k.a king kaka ,ila WCB ili mrudisha kwenye top, uvivu wake tu na ushauri wa kijinga ndiyo ume mkwamisha,INGAWA BADO YUPO VIZURI AKAZE BUTI


Sent using iphone
WCB ndo waliompoteza baada ya kua tishio sana kwa kijana Nasib mtumia ndumba..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mavoko kabla hajajiunga Wcb alitoa mipini mikali sana iliyomweka kwenye ramani ya Muziki na Kumfanya kuingia kwenye top 5 ya wasanii wakali bongo. hii ni baadhi

Follow me
Roho Yangu
Pacha Wangu
Merry Me
Bolingo na ngai
Ongea Nae

Akiwa WCB baadhi ya Vipini alivyotoa na ngoma za Kawaida sana Na hazijampeleka popote wala kumpa mafanikio yoyote Zaidi ya kumnyonya na kumpoteza kwenye game na kua kama underground

Imebaki Story
Kokoro
Rudi
Sheri

Mwambieni Nasib aache kuwapiga Ndumba na kutaka kuwapoteza kwenye game Vijana wanaotoka Wcb, tunajua roho ilimuuma sana maana hao ndo walikua Waandishi wa nyimbo zake baada ya yeye kuishiwa ndo maana siku izi anacopy kaishiwa mashairi na Idea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lebel zote duniani ni za kinyonyaji, maana ata mase kampa kubwa aliyekuwa boss wake puff daddy pale badboys record kwa kumpa malipo finyu kwenye kazi zake. Sasa izi kelele za nini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utajili gani wakati wote umebakI wcb, alilipa vyote alivyopata ili kulipa mkataba wa kinyonyaji

Sent using Jamii Forums mobile app
mmmh ko unataka niambia harmonize ni masikin...?
ukitaja wasanii watano matajiri Tz utamuacha Harmonize..?
labda tuachane na utajiri wa kifedha tu ila hata kiakili harmo amejua mziki akiwa WCB ko bado kafunguliwa dunia
 

Few weeks ago nilikuwa na project fulani na Bi. Khadija Kopa ambayo ilituweka pamoja siku kadhaa kwa muda mwingi daily, ni mwanamama mcheshi na muongeaji sana sana (talkative).

Moja ya story tulizopiga ni kuhusu binti yake Zuu, ambaye alikataa ajira ya kulipwa mshahara 1million na kupokea ofa ya Diamond kumsajili WCB. Huyo binti kwa sasa anafanya jingles nyingi za Wasafi FM.

Zuu ni mmoja kati ya hao wasanii wawili wanaosubiri kutambulishwa. Mwingine ni Hanstone. Mtoto wa kambo wa Banza Stone aliyeimba IOKOTE na Maua Sama.
 
ila kweli swala la kucopy huyu jamaa nae kazidi kacopy soundy kwa Teni kaja kucopy Inama kwa Fally Ipupa then ile kanyaga cjui kacopy kwa nan yan kazidi cjui watu wanampendea nn mweeeeeeeeeewh
 
Nashangaa huyo jamaa anabisha.
 
ila kweli swala la kucopy huyu jamaa nae kazidi kacopy soundy kwa Teni kaja kucopy Inama kwa Fally Ipupa then ile kanyaga cjui kacopy kwa nan yan kazidi cjui watu wanampendea nn mweeeeeeeeeewh
Asisahau pia ukimuona kakopi, Africa beauty kakopy, Nana kakopy, Nasema nae kakopi, number one kakopi, nataka kulewa kakopi, Mawazo kakopi,Mdogodogo kakopi, Je utanipenda kakopi sijui ngoma ipi hajakopi
 
Justin bibber anaandikiwa
justin timberlake anaandikiwa
Rihana anaandikiwa
Nandy anaandikiwa
kunawasanii kibao duniani wanaandikiwa ko sio hajabu ila tukirudi kwa mond ukweli waujua mwenyewe na hizi ni baadhi ya nyimbo alizo andikiwa na kuiba/kucopy
Halleluya aliandikiwa na Alli kiba
Marry you aliandikiwa na Alli kiba
Wakawaka aliandikiwa na Mavoko
I miss you aliandikiwa na Harmonize
Nana alikopi kwa mr frevour
Kidogo alikopi kwa p square
Zipo nyingine nyingi tu ila hzo ni baadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…