Kisa cha Rich Mavoko na ushauri wa kuuza Ruby

Kisa cha Rich Mavoko na ushauri wa kuuza Ruby

Ndio mkuu,maana aliupanga huo mkakati kabambe,baada mkakati kukamilika akahamia kwenye ujasusi sasa. Hapo kwenye ujasusi haijalishi unaemfanyia ni ndugu,rafiki,jamaa. Ndio kama hivyo jamaa “ujasusi wa kimkakati”

Sent using Jamii Forums mobile app
Tisha sana mkuu kwa upembuzi yakinifu 😅
 
Asisahau pia ukimuona kakopi, Africa beauty kakopy, Nana kakopy, Nasema nae kakopi, number one kakopi, nataka kulewa kakopi, Mawazo kakopi,Mdogodogo kakopi, Je utanipenda kakopi sijui ngoma ipi hajakopi
Hv hao aliocopy nyimbo zao walishindwa vip kumfungulia mashitaka , na nyimbo zimesikika worldwide? Loosers mind
 
Ila mavoko mbona hajitokezi kusema ukweli ? Tatizo ni nini , inaonekana yy mwenyewe ni mvivu , lakini alitakiwa hawajue watz kwani wengi ni wanafiki na wachonganishi , Yuko wapi dokii na hao wengine waliompa ushauri wamsaidie
 
Back
Top Bottom