Kisa cha usaliti baina ya Lowasa na rafikiake kinasisimua Sana. Miaka ijayo kitaigizwa kwenye filamu. Ni kisa cha Maisha

Kisa cha usaliti baina ya Lowasa na rafikiake kinasisimua Sana. Miaka ijayo kitaigizwa kwenye filamu. Ni kisa cha Maisha

Lowasa hajasalitiwa ila ni mtu mwenye uchu wa madaraka, na ukiona mtu ana uchu sana wa madaraka kuna uwezekano mkubwa akawa siyo muaminifu.

Japokua hakuna mwenye hafadhali ambae ni muaminifu katika hayo mambo

Watu wakubaliane na hali siyo kila ulitakalo litakua ukiona imeshindikana ridhika
 
Hakuna mwanadamu asiye na uchu
 
Msoga anachomwa mishale mingi sana.
2021 Kanda ya Ziwa ilimtumtumu kuhusika.
2024 Kanda kaskazini inamnyooshea vidole aah
Huyu jamaa Ni wa hatari sana...
Ngoja tuone...
 
Hakuna mwanadamu asiye na uchu
Ndiyo maana nikasema hata yeye lowassa alikua na uchu kama wenzake kwahiyo jambo linaposhindikana usianze kumnyooshea mtu kidole kama msaliti maana hicho unacho kihitaji hata wewe huna uhalali nacho 100%

Nchi ina watu 60M siyo kila kizuri kitakua chako tu
 
Hivi Six ilikuwa Ni Natural death..au Mwamba mwenyewe anahusika...
🤔😷😷😷
 
Ndiyo maana nikasema hata yeye lowassa alikua na uchu kama wenzake kwahiyo jambo linaposhindikana usianze kumnyooshea mtu kidole kama msaliti maana hicho unacho kihitaji hata wewe huna uhalali nacho 100%

Nchi ina watu 60M siyo kila kizuri kitakua chako tu
Kwann swahiba wake alikiuka makubaliano
 
Mimi sijaona usaliti wowote hapo.

Urais haugaiwi Kwa vigezo vya urafiki,

Na Rais aliyepo madarakani,Hana final say kuhusu nani awe Rais baada yake Nchi hii.

Ni sawa tu na watu walioanza compaign za Urais kabla ya vikao vikuu vya wenye maamuzi ya nchi, ni nadra kutoboa,

Tusubiri.
Wewe utakuwa ni wa 95 kama sijakosea hiyo kitu ilipangwa toka mapema kuanzia kwa mkapa, bila Nyerere mkapa alikuwa apigwe na hao vija wawili na ndipo mazungumzo hayo yakawepo, urais unagaiwa tu hayo mengine mbwembwe tu.
 
Jidanganye,

Ikiwa Urais unagaiwa, mgaieni Kipara au nchemba, wanautaka sana.

Hii ni Tanzania, Kuna mengi msoyajua mnabwabwaja tu.
 
Jakaya hakuwa rafiki wa lowasa na genge lake la wafanyabiashara nyuma yake,Bali baada ya laana ya Nyerere kwa lowasa wakaona wamtumie jakaya kwa malengo yao ya baadae,jakaya ni mtu wa Dola, Nyerere alimtaka achukue form ya urais ili kumdhibiti profesa malima aliyekua islamist,maana wajumbe nec kule CCM wanatoka idadi sawa bara na visiwani,na wakati huo vuguvugu la uislam lilipamba moto
Lowasa tamaa zake ndizo zilimkaanga,hakutaka fursa ya kufua umeme impite,japo hata Kama Richmond isingetokea lowasa asingepewa fursa ya kuwakilisha CCM Wala kutangazwa mshindi wa uchaguzi
Ndugu weka kumbukumbu zako vizuri. Wakati wa, mchakato wa Urais mwaka 1995 kigoma Malima Profesa alikuwa bado hai??? Sio kweli, umetudanganya hapo.Sentence yako yote imekuwa ni uongo kabisa.
 
Siyo lazima ulipwe uaminifu baada ya kufanya uaminifu,by the way rais peke yake hawezi ku-hand pick rais wa nchi hii,lowasa alikataliwa na dola
Unafahamu kuhusu reports Za ujasusi (maadiri)zilizolewa kuonyesha aliemkataa mwenzie hakustahiri kupewa nchi wakati ule..Nguvu kubwa mnoo ikatumika kufunika kombe…RIP Hayati Mkapa
 
Ndugu weka kumbukumbu zako vizuri. Wakati wa, mchakato wa Urais mwaka 1995 kigoma Malima Profesa alikuwa bado hai??? Sio kweli, umetudanganya hapo.Sentence yako yote imekuwa ni uongo kabisa.
We jamaa bwana,umezeeka Sana nini kumbukumbu zimepotea!?..malima kafariki lini!?..malima hakuwa na haja ya kuchukia form ya ugombea CCM,Ila Kuna gazeti likaandika 'waislam waziogopa form za uchaguzi'..alikua safarini,akamuamuru dereva kuelekea form zinakochukuliwa,wakati wa usaili alimkuta kigogo mmoja akipitia nondo,akamwambia unajisumbua,mlengwa wa hii nafasi yupo tayari
 
Unaweza fikiri mtu ana akili na busara ...wait till aguswe mtu wake alie na mahaba nae...
Kumbe Sukuma gang Wana nafuu kuliko chawa wa Lowassa....
Au ni same gang?..

Ghafla mtu wao kageuka 'mwenye haki ya Urais" kutoka mbinguni na waliomzuia wamekuwa"wasaliti,"
Hata wewe ni hivo hivo. Wako akiguswa unaandika magazeti humu 😂😂😂😂😂
 
Unafahamu kuhusu reports Za ujasusi (maadiri)zilizolewa kuonyesha aliemkataa mwenzie hakustahiri kupewa nchi wakati ule..Nguvu kubwa mnoo ikatumika kufunika kombe…RIP Hayati Mkapa
Jifunze kuandika,maadili,hakustahili..kwa uandishi huu unaakisi umri wako,ripoti zilifanyiwa figisu na yule mzee mlima nyanya wa iringa,ndiyo maana jakaya alipoingia akamla kichwa,ikawa Kama hayupo,mpaka alipomuhitaji kukata watu 2015

Prof mikidadi alipora msaada wa maji ambao jakaya aliusotea akaupeleka kwao mkuranga,jakaya akamlalamikia mkapa,mkapa akamwambia mikidadi huyo ndiye rais anayefuata,shauri yako,mikidadi Hadi Leo hajulikani Yuko wapi....it was there bro,kwamba no way out jakaya asiwe rais,lilikua suala la muda tu
 
Jidanganye,

Ikiwa Urais unagaiwa, mgaieni Kipara au nchemba, wanautaka sana.

Hii ni Tanzania, Kuna mengi msoyajua mnabwabwaja tu.
Anayeutoa simpaka apende, nakwambia hizo nyingine ni mbwebwe tu.
 
Kwasababu nchi ni ya watanzania wote na siyo ya kiswahiba
Ukiangalia power division inavyoenda huwezi kuthubutu kusema nchii hii ni mali ya mtanzania . binafsi nimekata tamaa !!
Its like soccer game in grammar school, whrere everybody is fighting for the ball and nobody is holding his position!
Katibu mwenezi sasa ndio msikiliza kero za wananchi na ahadi anatoa !
 
Back
Top Bottom