Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Ukweli ni kwamba hatuwezi fikia hatua ya pili kabla ya hatua ya kwanza.

For you to agree to send me your picture you have to be convinced with what you read from what I write, be it on a certain thread or PM.

Inatokea sasa naenda deep sana kukuaminisha kwamba I am that guy ili unitumie hiyo picha. Unaponitumia hiyo picha I come to realize you are not my standards and I am too good for you, remember your beauty matters.

Ndio hapo sasa inabidi nitembee kimya kimya na inafika kipindi ndio vijana wanauliza, hivi hakuna wari humu wote ni vibibi tu???

Am just saying..........................
 
Nakuona mzee baba
 
Ni kwasababu ya ukikongwe/ubibi wangu, sawa bwana..yote maisha, na wewe ubabu utakufikia tu soon
Na huku nafanya reflection ya siku ile! 😀 😀 😀 😀 😀 😀

Damn it....................
 
Kwahiyo kwa akili yako fupi hao wacheza porn akina Mia Khalifa unaona ndiyo wana afadhali kuliko wanawake wenye Tabia ulizoziainisha hapo juu
 
Umesema yote Mkuu
JF imegeuka fesibuku ya uswahilini
Inapoteza uhalisia
Utoto mwingi so wengi wetu tumeamua kuwa wasomaji mada za maana kwa mbaliiiiiii

Za Uzima Mkuu!
 
Umesema yote Mkuu
JF imegeuka fesibuku ya uswahilini
Inapoteza uhalisia
Utoto mwingi so wengi wetu tumeamua kuwa wasomaji mada za maana kwa mbaliiiiiii

Za Uzima Mkuu!
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu anazidi kutupigania... Usipotee sana inabidi tuwabalance tu hakuna namna
 
Ni nzuri kabisa, sijui wewe. Naona umeamua kututia moyo wazee
Mimi niko poa/salama kabisa mkuu

Kwa kweli wacha niwatie moyo tu ila unaweza kuta kiuharisia hata siyo wazee bhasi mmejitengenezea mazingira rafiki ya kukwepa mishale ya mitongozo/usumbufu.

Unaweza kuta wewe Heaven Sent ni binti mmoja bado mbichi kabisa mwenye saa sita zake[emoji1][emoji1] ila kwa kuwa tayari tulishaga jiaminisha kuwa nyinyi(baadhi yenu)ni wazee kumbe hata siyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…