Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Weka na picha

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app

giphy.gif
 
Jaman mi naomben connection ya hao mnaoita wazee!!!

Hiv vibint vinasumbua sana[emoji6]
 
[emoji38][emoji38][emoji38] nini maana ya anonymity mzee baba kama tukianza kuweka Avatar za dizain hiyo!! Ni usumbufu upi huo unauzungumzia? Usumbufu wa kuona avatar ya Depal ya mdoli then kwa live event unakuta ni mama wa 40s!! Haina ubaya mbona, endeleeni tu ku'bet

Hebu mtupumzishe sisi vikongwe [emoji41]
Haha...kwa kweli humu mjengoni kutengeneza ukaribu na mtu na kuamua kufikia hatua ya kuonana ni kama kubeti tu.

Ukibeti halafu matokeo yakatoka tofauti na ulivyotarajia(mkeka kuchanika)wewe kubaliana na hali

Ila wewe Depal huwa ninajawa na shauku na hamu ya kukutana/kuonana na wewe mkuu[emoji1]
 
Back
Top Bottom