Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Mshana Jr bwana!.
Binafsi nilikutana na mdada wa JF mmoja I can confess siku yangu ilienda vizuri sana, imaginations zangu zilikuwa confirmed 100%.

Mdada mzuri, mcheshi,mpole mpole n very smart.

Tuliongea sana, tulicheka sana, tulikula sana na tulifurahi sana. Yalikuwa masaa matatu ya stori lakini it was like a heaven on earth.

Nimepanga siku moja nimkaribishe kwangu nimkirimu ukarimu wa kisukuma.

Jf kuna wanawake wazuri aisee.
Sentensi ya mwisho imebeba kila kitu mkuu!
 
Wasukuma ndiyo ukarimu ulikozaliwa. mgeni anapewa heshima kama mfalme.

Atachinjiwa mnyama ambaye huwa anachinjwa kwa wageni wa heshima tu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nisije andika gazeti hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa.
 
Wasukuma ndiyo ukarimu ulikozaliwa. mgeni anapewa heshima kama mfalme.

Atachinjiwa mnyama ambaye huwa anachinjwa kwa wageni wa heshima tu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nisije andika gazeti hapa.
Kama huyu?
Screenshot_20210306-115726.jpg
 
Back
Top Bottom