Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

vibibi hoyeeeeeeeeeee....

Kama kweli humu tupo vibibi/vikongwe pekee..then lazima tuulize system nzima ya JF kwa nini ina attract/vuta watumiaji wanawake vikongwe tu na si vinginevyo 😍 😍 😍 😍 .....
 
Ni siku yenyu leo mnastahili airtime
IMG-20210308-WA0176.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wajomba kwenye hii picha wanaonyesha tu wanaakili hadi wanaelekea kuwa vichaa...
Maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani:

Konyagi Yatengeneza Nembo Maalum Kutambua Jitihada, Weledi na Ujasiri wa Mwanamke.
JamiiForums485150307.jpg
 
Mimi kwa kweli siwezi kuficha umri. I am proud of my age and i want to be treated my age (no bullshit).
Kwanza i am busy working on my retirement plan! Kuzeeka ni lazima, kuchakaa ndio kupe da.
Hakuna anayependa uzee, basi tu inabidi tukubaliane nao coz asili inatuamuru, la hakuna anayetaka kuvuka 45. Huyo aliyeandika kazaliwa 80 namuelewa sana tu, japo inabidi akubaliane na asili.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Ukubwani kuna raha zake, sikujua kuwa after my retirement naweza kupata furaha tena.

Ukweli nafurahia sana maisha na niko bize to the maximum.

Naweza kufanya mazoezi even pushups naweza kufanya kitu nilikuwa sifanyi umri wangu wote.

Nimekuwa mjasiriamali though mtaji siyo mkubwa.

Nimeanza kukumbuka hata kudarizi nawaza kuzidi kuboresha nifume hadi mikoba, for sure utu uzima una raha zake.
20210311_123602.jpg
 
Ukubwani kuna raha zake, sikujua kuwa after my retirement naweza kupata furaha tena.

Ukweli nafurahia sana maisha na niko bize to the maximum.

Naweza kufanya mazoezi even pushups naweza kufanya kitu nilikuwa sifanyi umri wangu wote.

Nimekuwa mjasiriamali though mtaji siyo mkubwa.

Nimeanza kukumbuka hata kudarizi nawaza kuzidi kuboresha nifume hadi mikoba, for sure utu uzima una raha zake.View attachment 1722919
Mtani bado inagota kusonga pande iyo..sijui kwanini?
 
Ukubwani kuna raha zake, sikujua kuwa after my retirement naweza kupata furaha tena.

Ukweli nafurahia sana maisha na niko bize to the maximum.

Naweza kufanya mazoezi even pushups naweza kufanya kitu nilikuwa sifanyi umri wangu wote.

Nimekuwa mjasiriamali though mtaji siyo mkubwa.

Nimeanza kukumbuka hata kudarizi nawaza kuzidi kuboresha nifume hadi mikoba, for sure utu uzima una raha zake.View attachment 1722919
Mkubwa mwenzangu😋
 
Back
Top Bottom