Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzoefu hasa kama ni ID ya muda mrefu.. BTW wote waliofeki jinsia hawakuchukua round walijulikana uhalisia wao...unajua post zetu zinaongea uhalisia wetuNISAIDIE UNAJUAJE KUWA MEMBER HUYU NI KE AMA ME....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh au unaendaga PM kutafuta uadui?
Hao wajomba kwenye hii picha wanaonyesha tu wanaakili hadi wanaelekea kuwa vichaa...
Hakuna anayependa uzee, basi tu inabidi tukubaliane nao coz asili inatuamuru, la hakuna anayetaka kuvuka 45. Huyo aliyeandika kazaliwa 80 namuelewa sana tu, japo inabidi akubaliane na asili.
NISAIDIE UNAJUAJE KUWA MEMBER HUYU NI KE AMA ME....
Au atupie kioo kwa chini kama enzi zileee za praimari...
Wa kwetu
Mtani bado inagota kusonga pande iyo..sijui kwanini?Ukubwani kuna raha zake, sikujua kuwa after my retirement naweza kupata furaha tena.
Ukweli nafurahia sana maisha na niko bize to the maximum.
Naweza kufanya mazoezi even pushups naweza kufanya kitu nilikuwa sifanyi umri wangu wote.
Nimekuwa mjasiriamali though mtaji siyo mkubwa.
Nimeanza kukumbuka hata kudarizi nawaza kuzidi kuboresha nifume hadi mikoba, for sure utu uzima una raha zake.View attachment 1722919
Sio 'risk taker'?Mimi ni mpaka nikuone, nijiridhishe ndio mambo mengine yafuate.
Mkubwa mwenzangu😋Ukubwani kuna raha zake, sikujua kuwa after my retirement naweza kupata furaha tena.