Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

Jide mwanamke wa shoka,na mwenye heshima nchini,kazungumza kishujaa,ukipata changamoto kwny maisha sio ubwie maunga thn uje kulaum watu,..badala ujipambanie utoke..yy ni shujaa coz Mungu alimsaidia aka overcome depression..na leo bado yupo juu anang'ara huyo mwngine TRAUMA ya madawa inamtesa mno
 
Kaa pembeni jay dee hakuwahi kumuacha Ray c ,jay dee han hit sema ni mtu ambaye kapta sapot nzuri kwa wasanii wa kiume kaimba nyimbo kibao na Mwana Fa ,professor j na wengine kibao.

Ray c jeshi la mtu mmoja wewe ,ngoma zake zimehit jay dee kazi kutafuna maneno.

Enzi hizo wazee wa viuno alikuwa Ray c na best wa Marlaw huyo jay dee wako kazi kuimba kama mwanaume
Jd Yuko vizuri hata kama humpendi, ni mfano wa waimbaji wa kike
 
Narejea hapohapo kwenye bifu la yeye na Chid Benz

Nakumbuka aliwahi kutunga dis track ambayo alishirikiana na wasanii wake wa Machozi band, ngoma ilikwenda kwa jina la KUMBE NILIZAMA KWA BRAZAMEN na hii ilikua ni dis track kwa Chid Benz baada ya kumtaka uroda.

Pia hata ile track NALIA NA MOYO aliyomshirikisha Mr Blue alitakiwa akae Chid Benz ila kwakua walizinguana akampa Shavu Mr Blue........
 
Nilifurahi sana Ray C alivyobadilika na kuamua kubadilisha lifestyle yake...sasa ni yeye na Mungu wake na maisha yake

Haya maisha kuna mahala inafika Mtu anahitaji Tumaini la kweli katika Kristo.

Maisha ya namna hii hayana majuto kama ukiyaishi bila unafiki.
 
Jide mwanamke wa shoka,na mwenye heshima nchini,kazungumza kishujaa,ukipata changamoto kwny maisha sio ubwie maunga thn uje kulaum watu,..badala ujipambanie utoke..yy ni shujaa coz Mungu alimsaidia aka overcome depression..na leo bado yupo juu anang'ara huyo mwngine TRAUMA ya madawa inamtesa mno
Kwanza pale nyumbani lounge kwenye mgahawa wake , achukui order za kiboya boya ,ni corporate restaurant unakula una enjoy ..huku story na music kwa mbali
 
Jide ni mshenzi kama washenzi wengine......
Alisema amemzidi Chidi Umri? Kile kijamaa cha Naija alichodate nacho wapo umri sawa?
Na kuanza kukejeli watu mitandaoni kunaonesha alivyo.
Talent ya kawaida, ila longetivity amefanikiwa.
Ray C talent kubwa Upumbavu wake umempoteza.
Mkuu naheshimu mawazo yako, ila hapo kwenye Jide ana talent ya kawaida, unamkosea.
 
Kaa pembeni jay dee hakuwahi kumuacha Ray c ,jay dee han hit sema ni mtu ambaye kapta sapot nzuri kwa wasanii wa kiume kaimba nyimbo kibao na Mwana Fa ,professor j na wengine kibao.

Ray c jeshi la mtu mmoja wewe ,ngoma zake zimehit jay dee kazi kutafuna maneno.

Enzi hizo wazee wa viuno alikuwa Ray c na best wa Marlaw huyo jay dee wako kazi kuimba kama mwanaume
Hii ni miezi mitatu nyuma!

Tusirudi nyuma ambako najua ray C hajawahi kumfikia Jide Kwa lolote. Nitajie international awards ambazo huyo ray C aliwahi kuwa nominated tu.

Mimi naanza na JIDE Kora awards

Jide aliwahi kumiliki band iliwahi kuwa na show back to back sio Tanzania.

Unasema Jide sio jeshi la mtu mmoja au umekuja mjini juzi. Kafuatilie sababu za Jide Kusema Ruge akifa hatfika mwenye msiba wake na yeye Jide akifa Ruge asifike kwenye msiba wake
Screenshot_20231216-082707.jpg
 
Jide mwanamke wa shoka,na mwenye heshima nchini,kazungumza kishujaa,ukipata changamoto kwny maisha sio ubwie maunga thn uje kulaum watu,..badala ujipambanie utoke..yy ni shujaa coz Mungu alimsaidia aka overcome depression..na leo bado yupo juu anang'ara huyo mwngine TRAUMA ya madawa inamtesa mno
Vipi Mungu hakumsaidia akampa mtoto, amewapa anaowaita "mateja".
anajigeuzaje kuwa Judge? Vipi na sisi tumjudge why hana mtoto alifanya nini Ujanani? Alitoa mimba kupitiliza?
Amezingua, angeweza kumjibu Chidi bila kuhusianisha na Uteja wake.
Hapo kajigeuza Judge.
 
Kaa pembeni jay dee hakuwahi kumuacha Ray c ,jay dee han hit sema ni mtu ambaye kapta sapot nzuri kwa wasanii wa kiume kaimba nyimbo kibao na Mwana Fa ,professor j na wengine kibao.

Ray c jeshi la mtu mmoja wewe ,ngoma zake zimehit jay dee kazi kutafuna maneno.

Enzi hizo wazee wa viuno alikuwa Ray c na best wa Marlaw huyo jay dee wako kazi kuimba kama mwanaume
Tatizo kuongea bila fact hakuna tofauti na kuropoka, sasa unaongelea kucheza au kuimba?? Jide kuanzia collabo, solo songs hata za kushirikisha wengine kamuacha mbali sana Ray C sababu ana consistency

Na ndio maana nikakupa simple task tu taja walau wimbo mmoja tu ndani ya miaka 10 iliyopita alioutoa Ray C ukahit au hata kusikika tu, kiufupi tena hata zaidi hapo nina hakika hakuna hivyo ni ngumu kumlinganisha na jide ambae kila mwaka anatoa ngoma zaidi ya 3 na zote vyuma
 
Back
Top Bottom