Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Status
Not open for further replies.

YE67NBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
15,155
Reaction score
36,337
Wakuu, za sahizi tena

Nipo hapa nacheka kaa fala, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hii ni baada ya ku dislike baadhi ya comment za watu na mtu akaamua kunianzishia thread

Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,

Maana najua humu wengi ni watu wazima sana mostly 28+ huko

Sema mpo busy kabisa kunishambulia aseee kupata attention humu ndani ni rahisi sana


Any way asante kwa kuchangamsha genge acha mimi nikajisomee

Till next time fellas 🤓😎😎😎😎😎
 
Nime-disirayiki riuzi rako!
 
 
Kwani wewe unajua aliyelalamika ana umri gani?
 
Bwana Mtia Ma Dislike I agree to dislike with you juu Umesema Watu wazima 28+, huo Umri ni Wa Vijana machalii kabisa, Ma Kinda, Ma Youngsters ...

Kundi Hilo la watu huwezi kuwaita wa Makamo wala watu Wazima.

Wakivuka walau 45 huko utaanza kuwaleta katika Hio Kategori.

Kwa sasa Acha walilie likes and Dislikes kama masomo ya watoto shule.

My Name is Public Enemy, I like Mangoes [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jana umenitandika dislike 24, ila poa tu. Sioni tatizo kama ni wewe. Ila kwa mtu mwingine ningerudi. Kuna wenzako pia alikuwa na tabia hiyo hiyo. Ila haipunguzi chochote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…