Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Status
Not open for further replies.
Hivi tablet ni tablet na smartphone ni smartphone?
 
Hahaha auntiee sielewi kwann watu wana makasiriko hivyo, sijui dislike inampunguzia nn ila ngoja niendelee, acha nimalizie utoto wangu humu, 😅😅😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣Utakosa mishangazi humu ya kukuweka mjini shauri ako.
 
🤣🤣🤣Utakosa mishangazi humu ya kukuweka mjini shauri ako.
Mwanaume ni kupambana auntiiee akee,

Huku kuna mishangazi ina njaa tupu ohoo, Aseee

Sasa kama mtu hawezi kujipeleka serengeti kwa hela yake MPAKA AGONGWE atawezaje kumiliki ki benten

BAADHI YA Mishangazi ya humu ni njaa tupu bora ya mtaani mara 100,

Isitoshe kuna SUPER GONORRHEA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, SIPO TAYARI NIUNGWE GRIDI YA TAIFA
 
😂😂😂😂Gono hapa ndani lipo haswa na lipo tena.
Alfu ww mtoto uache uongo ww khaaaa🤣🤣🤣

Em nitukane kwa hzolo id ako nyingine mana niliambiwa dogo ako na id kama team ya mpira.
 
😂😂😂😂Gono hapa ndani lipo haswa na lipo tena.
Alfu ww mtoto uache uongo ww khaaaa🤣🤣🤣

Em nitukane kwa hzolo id ako nyingine mana niliambiwa dogo ako na id kama team ya mpira.
Sio team ya mpira ni team ya mpira na subs kabisa na uongozi wote wa wamiliki wa timu


ID 34 si mchezo zinazunguka tu humu ndani kwenye kila FORUM zipo na nime subcribe kwa malengo maalum

Kule siasa, biashara, na teknolojia ndo usiseme

Sema chache zipo mmu na chitachat kuchangamsha genge tu


Ila jf imenisaidia sana hata hii simu nayotumia niliiipata humu 🤣🤣🤣🤣🤣,


Na watu wana madini ila nikiboeka lazima nikianzishe humu tena kama leo

Kabinti ka ludilo kaamua akae kimya tu sipendagi ujinga kabisa 😆😆😆😆😆😉😉😉
 
Siumesema huyo ni Genta😂😂😂
We dogo itakua hata ile id chizi maarifa ni yako.
 
Siumesema huyo ni Genta😂😂😂
We dogo itakua hata ile id chizi maarifa ni yako.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ile id inanichekeshaga na ukiwa na id kuna nyuzi ni mwiko kugusa ili watu wasikujue mfano mtu kama kalamu hawezi kuenda vituko mtandaoni 😅😁😁😁😁😁😁😁😁

Sema siasani yuko fresh sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] nimeshindwa kuvumilia cocs ila sisi wa app usikute tunapewa dislikes hata hatujui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear na tusijue tyuuh, mie ndo nashangaa watu wanalalama hapa akati wengine hata hatuzioni hizo kero.
 
Utoto unaendana na michezo, ukute umeandaa kamchezo kako ka dislike, ukajifungulia na mada ya kulalamila halafu ukaja na hii ya kujichekesha chekesha.
 
hahahaa watu waka paniki
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…