Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo wamwache afurahie utoto wake[emoji3][emoji2] asije akaruka stage
 
A can't imagine hivyo vifinyo [emoji848][emoji3]
 
Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,
Any way asante kwa kuchangamsha genge acha mimi nikajisomee[emoji23]
Jamii forum ukiingia ukiwa na akili zako timamu huwezi kuinjoy, hicho ndio nilichonote
 
Binafsi hata sijali kabisa.Yaani ukidislike kwa mfano unanipunguzia nini sasa?
Wanao complain ndio wale wanaoomba like kwenye youtube comments section, inasikitisha, watu wanatafuta validation online, hatari sana
 
"Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,"

Mpaka GENTAMYCIME ameingia kwenye mtego wa huyu mtoto[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wanao complain ndio wale wanaoomba like kwenye youtube comments section, inasikitisha, watu wanatafuta validation online, hatari sana
Too sad,umenikumbusha yule mkenya Canada aliekuwa anaogelea huku akiwa live Facebook ,sasa ili kuwaonyeshea viwers wake kuwa anajua kuogelea,si akaenda kwenye kina kirefu.Too sad alihangaika hadi anazama ,simu ipo live,ilikaa almost masaa matatu ikirecord yeye kishajifia.Wale viwers hakuna aliemuokoa. Haya mambo haya too sad.
 
Asante, ☹️☹️
 
Sad generation with happy pictures.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…