Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Status
Not open for further replies.
Hebu acheni kumnenea mtoto wa mwenzenu mabaya bana,[emoji23].
Ni hizo dislike.tu au kuna jengine.
Huyu ndo madenge wetu wa JF inabid tu tumpende.
Ukute nyie mlivyokuwa wadogo mlikua watundu kuliko yeye[emoji23].

Mi namnenea na kumtabiria kuwa atafika mbali kimafanikio.Akikua ataacha let the kid be[emoji120]
Kwahiyo wamwache afurahie utoto wake[emoji3][emoji2] asije akaruka stage
 
Nina mengi yakunisumbua dogo nikiruhusu na vitu kama likes vinisumbue nitakufa an early death.
Wewe ukichoka dislike tafuta hata button ya I HATE YOU AUNTIE unitwange nayo and you will still remain my fav kiddie in here.

ILA siku nikikukamata nitakupa vifinyo vya idadi ya dislikes zote ulizonipa[emoji23]
A can't imagine hivyo vifinyo [emoji848][emoji3]
 
Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,
Any way asante kwa kuchangamsha genge acha mimi nikajisomee[emoji23]
Jamii forum ukiingia ukiwa na akili zako timamu huwezi kuinjoy, hicho ndio nilichonote
 
Binafsi hata sijali kabisa.Yaani ukidislike kwa mfano unanipunguzia nini sasa?
Wanao complain ndio wale wanaoomba like kwenye youtube comments section, inasikitisha, watu wanatafuta validation online, hatari sana
 
"Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,"

Mpaka GENTAMYCIME ameingia kwenye mtego wa huyu mtoto[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wanao complain ndio wale wanaoomba like kwenye youtube comments section, inasikitisha, watu wanatafuta validation online, hatari sana
Too sad,umenikumbusha yule mkenya Canada aliekuwa anaogelea huku akiwa live Facebook ,sasa ili kuwaonyeshea viwers wake kuwa anajua kuogelea,si akaenda kwenye kina kirefu.Too sad alihangaika hadi anazama ,simu ipo live,ilikaa almost masaa matatu ikirecord yeye kishajifia.Wale viwers hakuna aliemuokoa. Haya mambo haya too sad.
 
Asante, ☹️☹️
 
Sad generation with happy pictures.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom