Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Natamani ungekuwa na uwezo bado wa kumsaidia huyo rafiki yako, huenda alilonalo moyoni angekufunulia. Ulikuwa umebakiza hatua chache kufikia kilele cha tatizo lake
 
Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
Mke mwema hutoka kwa Mungu. Hiyo no. 3 nimeona mashemeji zangu wakilia na wake zao wametoka wote kijiji kimoja. Ukitaka mke mwema shirikisha Mungu ila ukitumia akili zako unaweza pata balaa.
 
Brother umemaliza kila kitu.
Wanakufuatilia kila uingiapo na utokapo anacalculate hadi muda wa kutoka kazini na kufika nyumbani ukienda kinyume tu anawaza mengine
 
Inawezekana mke ana'blackmail' huyu jamaa! Mie nafikiri angejilipua tu ili aondokane na madhira hayo! Ukweli utamuweka huru!
 
Najaribu kuingiza akilini hii ishu ila inagoma bwana wee.
Ipo sana mkuu, nilishawahi fanyiwa hii kitu, usiombe ikutokee, kuna jamaa tuliyokuwa tumeoa kwenye hiyo familia, ukimuona utamhurumia
 
Mi naona baada tu ya Hawa kumwaribia Adam pale Bustanini Mungu angemrudishia tu Adam Ubavu wake aendelee kuwa na Wanyama maana huyu kiumbe(ke) bado anasumbua..

Nasema uongo ndugu zangu?
[emoji16][emoji16][emoji16] Friedrich Nietzsche aliwahi kusema kwamba Wanawake Ni Kosa 2 la Mungu kutenda ktk uumbaji wake

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Kuna watu wamevurugwa
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Yaani kasema kabisa??
 
Kuna strory niliwahi kuhadithiwa kiasi chake kidogo inafanana na hii

Jamani jamani Duniani Kuna Mambo
Ndoa hizi zina makubwa Tena mazito mnooo
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Yaani kasema kabisa??

Kashamchoka hapo akajikuta karopoka [emoji28][emoji28]
Nikabaki kushangaa
Ni kama miaka 10 imepita tulihama huo mtaa sijui kama bado wapo pamoja sija fatilia
 
Duuu
 
Sasa huyo mama ana mloga mumewe na kuchukua mshahara wote wa mume na kuutumia hovyo mwisho watazeeka hawana hata kibanda, mwanamke tu kuwa mama wa nyumbani hauzi hata vitumbua Mimi naona ana tatizo kichwani, hivi siku huyo mume akiondoka duniani watoto si wataharibikiwa? Ni ujinga kumloga mwanaume ka kichwa Cha nyumba Kuna makabila sio ya kuoa ni wajinga Sana unalilia mshahara wa mume uutumie huanzishi hata biashara mfyuuu kabisa
 
Ushauri wangu
Asigombane na mke wake ila mshahara ukitoka achukue kiasi chote akapange nyumba nyingine bila kumwambia mke wake akae huko bila ya mawasiliano na mkewe hata mkewe akija kumtafta kazni asiruhusu kuonana nae baada ya mda mke akili itamkaa na jamaa atakuwa dawa zimemuisha (expire) then atafte mke mwingne mwenye kuthamini nafasi ya mke mwenye akili mcha mungu mwenye hofu ya Mungu
 
Una uhakika na hili mkuu?? Ili niitunze kwa matumizi ya baadae kwa wanangu ikitokea wakafanyiww km rafiki wa mtoa mada
Ukiwa na watoto wakiume inabidi uwaombee Sana ndo Mana mama dangote ni mkali KWA mwanawe na hivi ni maarufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…