Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Kiufupi kwenye haya maisha ukijifunza kuridhika na kupuuza baadhi ya vitu utaishi vizuri na kwa amani tele, Ni ujinga ushetani na upumbavu kumdhibiti mwanaume kwa kutumia ushirikina
Kinachotesa watu Hadi kudhuru wengine ni ubinafsi tu lazima tukubali huwezi kumu miliki mtu mzima mwenzako, pia ni vizuri kuishi kwa kuamini kila mtu ana mapungufu yake na kukosea ni ubinadamu, pia Bora kujikita kuto ku expect much from people Ili usiumie na kubwa zaidi ni kupuuza vitu vinavofanywa na wengine hapo utakuwa na amani na furaha.
 
Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
Kuoa ni bahati unaweza ukafata kanuni zote at the end akawa shetani
 
Huwa wanakua vichaa na mazobaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Limbwata mchezoooh? Lol
 
Huwa wanakua vichaa na mazobaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Limbwata mchezoooh? Lol
Ujinga mtupu mtu una mroga mumeo Mambo yanaharibika unakuwa maskini sasa hyo ni akili matope?
 
Kashalishwa nyama ya chini huyo
 
Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili

Mm mchaga mke Mfipa wa kijijini mmb safi
 
Kashalishwa nyama ya chini huyo
Nyama ya chini au utundu mwingine wanaofanya, wakati anapika chapati, akishapika Ile ya kwanza anaiweka kwenye stuli halafu anavua chupi na kuikalia Ile chapati LIVE bila chenga mpaka amalize kupika zile nyingine. Sasa Ile iliyokaliwa uchi ndio ya mzee. Yaani tiGO , papuchi vyote vimeipumulia Ile chapati halafu mwanaume ndio unaila na supu yenye kipande kimoja Cha nyama kilichookwa papuchini.
Ndio maana hata bungeni unaonaga wanaume wanaongea Kama misukule maana yamelishwa mavi.
 
Huwa nashangaa watu wanaoundermine kuoa kabila zao.. ikitokea nikaoa basi lazima nioe kabila langu.. at least nitapunguza Risks Nyingi.
Au mnaoelekeana mfano watu wa Mbeya,Iringa na Ruvuma tabia zao haziko mbali sana.Ndoa hazisumbui wakioana
 
this happened kwa Mzee wangu... alipojaribu kumnasua tu rafiki yake waligombana hawakuzungumza miaka miwili na walikua wanafanya kazi sehem moja. Mkewe alikua analeta viben10 ndani analala nao mumewe akiwa kazini hadi watoto tunashuhudia nikawa najiuliza uyu FAZA chizi nini... jamaa akiambiwa anasema wanamuonea wivu tu mkewake akioneshwa live anakataa tu yaani it was too much.. mshahara wife ndo alikua anapangia matumizi. Ila baadae dawa iliisha nguvu naona ndoa ikavunjika mali zikauzwa urafiki na mzee wangu ukarudi sadly it was too late mke alishampa "ngwengwe" jamaa. R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…