Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini


Kama huamini unajidanganya
Haya mambo yapoo tena sana
Huyo kalishwa limbwata
Kuna mama mtaani kwetu mpika chapati maarufu siku asubuhi wakati tunasubiri atoe chapati mumewe alikuwa amekaa pembeni

Huyo baba siku zote huwa namuona amekaa kibalazani kwake anasalimia watu tu

Huyu mama akamfokea aingie ndani au akatafute shughuli ya kufanya

Akatuambia wanangu msije mkampa mwanaume limbwata utamuathiri akili pia ona huyu wangu nilimpa anipende awahi kurudi nyumbani matokeo amezubaa mpaka amekua mzigo,kazi hana wala hajiangaishi

Nikajifunza kumbe limbwata ni mzigo badae [emoji848]
 
Ni wapi huko? Na hakuna madhara yoyote atapata, ila nimepanga kumpeleka kwenye maombi ingawa ukimwingizia habari za kuombewa hapendi anasema anaimani sasa na kanisani kwake.
Liwale ni hatari uko
 
Aiseee, pole yake huyo rafk yako. Ushauri msaidie uwezavyo. Kama anakataa maombi bc tafta sehemu nzuri tulivu umwite mchungaji mana wengi huogopa fedheha madhabahuni kwamba mtu mzito huyo amelogwa?

So endana na saikolojia yake umsaidie bila kupata fedheha kwa watu wengi yani iwe kama siriπŸ˜‡
 
Hiyo ni shida kutoka kupendwa mpaka kuwa mzigo πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Uo Mama amemueweka Mume wake ndani ya kiganja. Ameshapikwa kisha mwanamme amepikika. Kwa hiyo kumsaidia rafiki yako ndo kumpeleka sehemu atakaeweza kufunguliwa.
 

Pia linaweza kusababisha kifo. Ni sumu mbaya sana.
 
Aisee kwa hakika kuta za nyumba zinaficha mengi, yani jamaa amekamatika kiasi kwamba akija kusanuka jua limeshazama yani 3m unaipa 45k!
 
Atakua mkewe kamloga si bure, Anasubiri nini kufanya mapinduzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliniambia huwa anafanya mapinduzi kichwani ila akifika tu home, hana tena nduvu bali ni kuwa muoga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…