Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

[emoji28] ni Wanyakyusa?...maana hao Kaka yao hawezi nyanyasika na wao wanaona...haiwezekani
Kabisa hatuwezi vumilia harusi za kaka zetu wenyewe huwa tunasimamia show mwanzo mwisho kaka hapumui
 
Ah ah ah ngende lazima azinduke au akiona mbali aende pande kilwa akaelee juu ya bahari uku amekaa juu ya mkeka.
Acha kunichekesha,ngende ya liwale-lindi,kule mpiga miti kwa bibi njumwite? Kule matapeli tu hakuna jipya,na hatapata msaada wowote,kama yuko kanda ya ziwa naweza msaidia akitaka

Nimewahi kufika kule ,nilichoambulia ni kutapeliwa kila kitu,kuna vijana.pale waweza sema ni viwavi usipokuwa makini hata Simu nayo unaiacha pale,I speak from my experience

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Najua ntashambuliwa asilimia Kubwa ya wanawake wa hivyo ni

50% Wa kaskazini (Arusha)
30% Wachaga
10%Nyakyusa
5% Wahaya
5% makabila yaliyobaki
 
Hayo mambo yapo jamani mm ni miongoni mwa waathirika wa mambo hayo,mke wangu alinitilia milimbwata sikuwa na kauli juu yake, ila nashukuru mungu nilifanikiwa kujiondoka kwny utumwa huona nilichukua maamuzi ya kumpa talaka tatu ingawa mpaka leo hii ananisumbua sana kishirikina ili niondoke duniani ili akae kwny mji.ni story ndefu ila naishia hapa maana kuna thread mbili zilifungiwa baada ya kueleza madhira niliyokutana nayo kutoka kwa aliyekuwa mke wangu ila nilipofanya uchunguzi asilimia kubwa ya wanaume waliooa wanawake kabila la pare hawana maamuzi ktk familia zao.
 
Ukitaka kuwa na mwanamke wa kichaga unatakiwa UWE NA kichwa ngumu.
Najua ntashambuliwa asilimia Kubwa ya wanawake wa hivyo ni

50% Wa kaskazini (Arusha)
30% Wachaga
10%Nyakyusa
5% Wahaya
5% makabila yaliyobaki
 
Yes yapo,mm pia zamani kdg nyumba tulipanga na Mr kulikua na mbaba mjeshi kapanga na mwanamke mtu wa singidaa mama yule alikua anachukua mshahara wote wa yule baba anampa nauli tuuu
Pale nyumban ndugu wa mke tu ndio waliokua wanakujaa,,mjeshi alikua km zezeta,,na waziwazi yule mama alikua anatufundisha na sie twende mahala atupeleke tuwatengeneze waume zetuuu,haya mambo yapo ila mwisho wake sio mzuriii
Cc Infantry Soldier
 
Nyama ya chini au utundu mwingine wanaofanya, wakati anapika chapati, akishapika Ile ya kwanza anaiweka kwenye stuli halafu anavua chupi na kuikalia Ile chapati LIVE bila chenga mpaka amalize kupika zile nyingine. Sasa Ile iliyokaliwa uchi ndio ya mzee. Yaani tiGO , papuchi vyote vimeipumulia Ile chapati halafu mwanaume ndio unaila na supu yenye kipande kimoja Cha nyama kilichookwa papuchini.
Ndio maana hata bungeni unaonaga wanaume wanaongea Kama misukule maana yamelishwa mavi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ya zamani na huwa inachuja, now ya kupaka mwilini na kunywa. Ni kali hatariiih lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ya zamani na huwa inachuja, now ya kupaka mwilini na kunywa. Ni kali hatariiih lol
Yaani sisi wanaume tunalishwa uchafu mwingi sana. Na hapa usije ukasema wewe Ni polisi au mjeshi au sheikh au mkuu wa wilaya. Wote tu tumelishwa uchafu kwa nyakati tofauti.
Kama sio kwa waif Basi Ni kwa mchepuko au mama mkwe.
 
Hivi viumbe vinaitwa wanawake ni shida, yaani anampa huyo mwamba elf 45? si bora hata angempa laki 3 apate pesa ya kula mchana, maji na nauli, anakamua hadi damu! huyo jamaa akipoteza maisha au kuacha kazi kutokana na hizo changamoto huyo mwanamke anafikiri ataendelea kulipwa hiyo mil.3. Na hizi mambo tuna entertain wanaume wenyewe, hatuko serious katika mahusiano yetu na wanawake, inakuwa rahisi kwao kutusoma na kutabirika kwao. Usijenge mazoea ambayo hayako principled na kiumbe kinaitwa mwanamke....
 
Mke wake ni Jezebel bin belzibub bint shetan,huyo jamaa kapigwa na nyungu grade 1 yaaani hapo dawa ya moto ni moto,
Mpeleke rafiki yako akatolewe kwenye chupa alimofungiwa bila hivyo naona kama akhera yamuita ,hawa viumbe Hawa ni balaaa!

Nadanganya ndugu zangu?
 
Kazi ndogo hiyo mpeleke KidyaMsitu fasta anarudishiwa network . Vijana muwe mnajiaandaa kabla ya kuoa unashiba KidyaMsitu za hatari mkeo , mchepuko akikuletea msosi una limbwata sahani inakatika vipande viwili au inajifunika , kama kinywaji chupa au glasi inavunjika kabla hujanywa . Mpeleke KidyaMsitu fasta .
 
Yaani sisi wanaume tunalishwa uchafu mwingi sana. Na hapa usije ukasema wewe Ni polisi au mjeshi au sheikh au mkuu wa wilaya. Wote tu tumelishwa uchafu kwa nyakati tofauti.
Kama sio kwa waif Basi Ni kwa mchepuko au mama mkwe.
Na mnalishwa kweli kweli hadi Bongo za fahamu zenu zibadilishe mwenendo wa kazi zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi ndogo hiyo mpeleke KidyaMsitu fasta anarudishiwa network . Vijana muwe mnajiaandaa kabla ya kuoa unashiba KidyaMsitu za hatari mkeo , mchepuko akikuletea msosi una limbwata sahani inakatika vipande viwili au inajifunika , kama kinywaji chupa au glasi inavunjika kabla hujanywa . Mpeleke KidyaMsitu fasta .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wew unaachekesha sana, limbwata limetoka new version, kupaka mwilin na kunywa lol.
 
Labda alikuwa moto chini hatulii..mke kaona amtulize..pesa ibaki walee watoto... ..kuna watu wanayatafuta wenyewe matatizo... ..

Kuna mtu alikuwa kimbito mno na anasema akitaka mwanamke atahonga hata gari... mke na ndugu wakashirikiana...wamemtuliza na katulia kweli!
 
Back
Top Bottom