Kabisa hatuwezi vumilia harusi za kaka zetu wenyewe huwa tunasimamia show mwanzo mwisho kaka hapumui[emoji28] ni Wanyakyusa?...maana hao Kaka yao hawezi nyanyasika na wao wanaona...haiwezekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa hatuwezi vumilia harusi za kaka zetu wenyewe huwa tunasimamia show mwanzo mwisho kaka hapumui[emoji28] ni Wanyakyusa?...maana hao Kaka yao hawezi nyanyasika na wao wanaona...haiwezekani
Acha kunichekesha,ngende ya liwale-lindi,kule mpiga miti kwa bibi njumwite? Kule matapeli tu hakuna jipya,na hatapata msaada wowote,kama yuko kanda ya ziwa naweza msaidia akitakaAh ah ah ngende lazima azinduke au akiona mbali aende pande kilwa akaelee juu ya bahari uku amekaa juu ya mkeka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Damn, sounds like Tea buh it isnt. .Tastes like Tea.
It's probably Tea.....
Oh My! It is Tea!!
Hili siyo limbwata... ni zaidi ya uchawiKumbe limbwata BADO lipo[emoji848][emoji848][emoji848]
Najua ntashambuliwa asilimia Kubwa ya wanawake wa hivyo ni
50% Wa kaskazini (Arusha)
30% Wachaga
10%Nyakyusa
5% Wahaya
5% makabila yaliyobaki
Ulimbukeni tu, kwani ukiwa soldier ndo unaweza kukabiliana na kila kitu!.Huyo mwanamke hajakutana na chizi mimi. Mwambieni ana bahati sana kutoolewa na Soldier
Cc Infantry SoldierYes yapo,mm pia zamani kdg nyumba tulipanga na Mr kulikua na mbaba mjeshi kapanga na mwanamke mtu wa singidaa mama yule alikua anachukua mshahara wote wa yule baba anampa nauli tuuu
Pale nyumban ndugu wa mke tu ndio waliokua wanakujaa,,mjeshi alikua km zezeta,,na waziwazi yule mama alikua anatufundisha na sie twende mahala atupeleke tuwatengeneze waume zetuuu,haya mambo yapo ila mwisho wake sio mzuriii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ya zamani na huwa inachuja, now ya kupaka mwilini na kunywa. Ni kali hatariiih lolNyama ya chini au utundu mwingine wanaofanya, wakati anapika chapati, akishapika Ile ya kwanza anaiweka kwenye stuli halafu anavua chupi na kuikalia Ile chapati LIVE bila chenga mpaka amalize kupika zile nyingine. Sasa Ile iliyokaliwa uchi ndio ya mzee. Yaani tiGO , papuchi vyote vimeipumulia Ile chapati halafu mwanaume ndio unaila na supu yenye kipande kimoja Cha nyama kilichookwa papuchini.
Ndio maana hata bungeni unaonaga wanaume wanaongea Kama misukule maana yamelishwa mavi.
Mimi sio askari hilo ni jina tu la utani la humu JFUl
Ulimbukeni tu, kwani ukiwa soldier ndo unaweza kukabiliana na kila kitu!.
Yaani sisi wanaume tunalishwa uchafu mwingi sana. Na hapa usije ukasema wewe Ni polisi au mjeshi au sheikh au mkuu wa wilaya. Wote tu tumelishwa uchafu kwa nyakati tofauti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ya zamani na huwa inachuja, now ya kupaka mwilini na kunywa. Ni kali hatariiih lol
Endelea kubarikiwa, angalia tu asikunyoe nywele usiku na kwenda kuzitupa ziwani
Na mnalishwa kweli kweli hadi Bongo za fahamu zenu zibadilishe mwenendo wa kazi zake.Yaani sisi wanaume tunalishwa uchafu mwingi sana. Na hapa usije ukasema wewe Ni polisi au mjeshi au sheikh au mkuu wa wilaya. Wote tu tumelishwa uchafu kwa nyakati tofauti.
Kama sio kwa waif Basi Ni kwa mchepuko au mama mkwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wew unaachekesha sana, limbwata limetoka new version, kupaka mwilin na kunywa lol.Kazi ndogo hiyo mpeleke KidyaMsitu fasta anarudishiwa network . Vijana muwe mnajiaandaa kabla ya kuoa unashiba KidyaMsitu za hatari mkeo , mchepuko akikuletea msosi una limbwata sahani inakatika vipande viwili au inajifunika , kama kinywaji chupa au glasi inavunjika kabla hujanywa . Mpeleke KidyaMsitu fasta .