Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

Tafuta kazi kwanza mkuu au unayo
 
Well said!!
 
Pole sana mkuu, skiliza mwanangu!!. Achana na mawazo ya watu humu kwamba muache muache muache,wengine haohao wamesha vurugwa sana nu na wapendwa wao na wamesamehe.

Stend still mwanangu piga piga kifua then samehe muendeleze ndotozenu.
Hawa wanao kuambia muache hawatakusaidia kutafuta mwingine umpendae kama huyo maana mbaka umekuja kulalamika humu then yupo moyoni mwako.

Bila shaka hata wewe umepiga ndondo za kutosha tu, kama ni mara ya kwanza samehe muendelee mbele.

Kumbuka watu hujifunza kutokana na makosa.
 
Kwanza mahusiano yenu yalianza kwa kukutongoza wewe,je una uhakika gani kama yeye ndo alijilengesha kwa huyo mshikaji ili apate kazi?
 
karma hajawahi acha kulipa kiporo yule wa mwanzo uliemuacha unafikiri ilikua vyema kiasi icho,uyo uamuzi ni wako pengine na marinda keshatatuliwa zamaniii we fanya uamuzi wako binafsi kama utaendelea nae uyo si muislamu utaoa na wengine watatu Inshaalah kupunguza machungu.
 
Maamuzi magumu yanahitajika aisee
 
Una wanawake Wana tofautia wanawake wanaotokea dunia ya Corona kudanganya siyo tamaduni zao, uongo ni Tamaduni na desturi kwa baadhi ya jamii ususani wa Tanzania uongo kwao ni sehem ya ibada
 
Yes she deserve,suluhisheni na muanze upya

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Piga chini huyo hakufai.Alikuwa na hisia na Jamaa wa kazini ndio Maana akampa bila ndomu.Tena na wewe ungeenda kula Sehemu unajua umeliwa.Asee yataka moyo asee
 
Yeye hajawahi kusaliti katika kipindi chote cha uchumba?
 
Wengi wamekushauri kile ambacho wewe mwenyewe unakisupport kupitia replies zako then It's a big YES,do what it's a rightful.
 
Mkuu pole sana kwa mkasa huo! Hata hivyo unapaswa kuwa makini na hizi comments zetu, kuna wetatoa mitazamo na ushauri wao kukuchochea tu uachane na huyo mwenzako sababu tu wana chuki binafs na wanawake kutokana na kuwahi kuumizwa nao!
binafsi sikushauri urudi nyuma, tambua wanawake ni viumbe nyaifu sana kujirahisisha kwa mwanaume pale wanokuwa wanahitaji kuvushwa!
Kuna watu sasa hivi ni MaDED. RAS, RCs, DCs, mawaziri au wabunge, lakini akifunulia leo njia ya maisha yake alikopita, amegawa na kusaliti kwingi mno!
Hivyo sio jambo la ajabu kabisa kwa huyo mtu wako! Kumbuka statement moja umeiandika katika paragraph flani hapo juu kwamba Katika dunia ya sasa Hakuna Favour ya bure!
Mpaka hapo tayari ulionyesha kuyatambua mazingira alikokuwa anapita huyo mkeo mtarajiwa! After all inaonyesha wazi kuwa mtu wako hakuwa mzoefu na mambo ya mapenzi, wala udanganyifu katika mapenzi, zaidi alikuwa mshamba wa aina flani hivi! Hii ndio sabababu alikamata mimba za bila kutegemea, siajabu hakujijua kama atashika mimba, vinginevyo asingekubali kabisa kwa mazingira mlokuwa nayo kuelekea kufunga ndoa! Vivyo ivyo ndio sababu alishindwa kukuchenga hata wewe na ukaweza kuyadaka mahusiano yake mapema kiasi hiko, Wapo wazowefu anaweza kukubania siri na akazaa hadi na mtoto katikati ya ndoa na usijuwe!
Kwa hivyo kwa vile ameshakiri makosa yake na amekuomba radhi nakusihi msamehe tu na muendelee mbele kuna watu wanaweza kukuona mjinga lakini hakuna mwanamke atakuja kukupenda na kukuheshimu kama huyo!
Hebu jiulize hivi kwa mfano ukimuacha huyo alafu ukapata mwanamke mwingine ambaye tayari ana kazi lakini alipata kazi hiyo kwa njia hiyohiyo ya kuhonga mapenzi na hata kutoa ujauzito wa boss wake , mbona itakuwa ni yaleyale? nakusihi muowe huyo ndiye wa ubavu wako!
 
We muadilifu mdhulumiwa ni mjinga lakin umeongea vitu vizuri kama nimekuelewa hivi.ila huyu mwanamke amekosea sana.anstahili kuachwa.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
We muadilifu mdhulumiwa ni mjinga lakin umeongea vitu vizuri kama nimekuelewa hivi.ila huyu mwanamke amekosea sana.anstahili kuachwa.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe Je parle kama nimeongea vitu vizuri ujinga wangu ukoa wapi!? Mie nimejaribu kumpanua mawazo maana wanaume wengi tunaotosa wanawake kwasababu za usaliti huwa tanajikuta tunaoa wasaliti zaidi kuliko hata yule ulomuacha ila tu unakuwa hujui historia yake!
 
Hapo nimekusifia mzee sijamaanisha mjinga hiyo unayodhani ww

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…