Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

Anaweza kuwa mke bora ila inahitajk uwe nae karbu sana ikitokea mme distance anapgwa
 
Duniani huwezi kumpata aliyekamilika hayo ndio madhaifu yake. Ishi naye tu mkuu kumpata mwanamke anayekupenda kama huyo ni nadra. Jaribu tu kuwa naye karibu atajiheshimu.
Hakuna upendo hapo mkuu. Upendo na usaliti wapi na wapi?
 
Mkuu pole sana kwa mkasa huo! Hata hivyo unapaswa kuwa makini na hizi comments zetu, kuna wetatoa mitazamo na ushauri wao kukuchochea tu uachane na huyo mwenzako sababu tu wana chuki binafs na wanawake kutokana na kuwahi kuumizwa nao!
binafsi sikushauri urudi nyuma, tambua wanawake ni viumbe nyaifu sana kujirahisisha kwa mwanaume pale wanokuwa wanahitaji kuvushwa!
Uko sahihi mkuu, lakini shida kubwa ni muda mchache waliokuwa hawapo pamoja( miezi3) ,
Kijana alipata shaka baada ya mawasiliano kupungua na binti kumpuuza isivyo kawaida,akajaribu kumuuliza na binti akajitetea,akamtetea na mchepuko pia. Ina maanisha alikuwa tayari amebadilisha uelekeo.
Kwa kuwa ni ndoa ya kiislam amuoe tu.
Akiona maluweluwe mbeleni atampa talaka.
 
Kuna rafiki yangu wakati nipo kibaruani kila wikiendi namchukua tunaenda kutembea .siku hizi yeye kapata kibarua Mimi sina ananiambia yupo bize[emoji16][emoji16][emoji16].kazi zinabana simu jumapili Hadi jumapili.
vumilia ndo ukubwa huo.
Ila achana nae anza upya
Hahaha . Umenikumbusha mmoja namtafuta na mm sasa amepata kazi sijui ugonvi umeanzia wapi????
 
Poleni na majumukumu.

Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano.
Kama ni kweli nakushauri umuache tena hafai hugo. Wanawake wapo wengi sana ndugu yangu. Wapo wa kila aina kuliko ukae na mtu usiyejielewa ukaishia kwenda jela bora umuache akaenda zake
 
Wameshakushauri hao jamaa, mie nataka kujuaa hii picha imechezwa Tanzania au abulodii[emoji28]
 
Mahari potezea utatafuta nyingine, utaratibu ni ule ule haujawahi badirika makosa yote wanaume tunasamehe lakini sio kuchepuka.
 
Poleni na majumukumu.

Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano.
Duuuh, pole broo, ila kuwa makini coz watu wa pole na wenye huruma huwa hawanaga maamuzi, naogopa kama huyo jamaa alimpigia picha za uchi usikute Kesha liwa mpaka 0713,maana ndiyo mchezo wa mjini ck hz
 
Poleni na majumukumu.

Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano.
Kama angelikuwa tayari kuacha kazi kwaajili yako, asingeligawa uchi ili aipate kazi na kukupotezea pindi ukiwa masomoni.
 
Poleni na majumukumu.

Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano.
Endelea na mambo yako utakuja nishukuru baadae
 
Back
Top Bottom