Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

Anaweza kuwa mke bora ila inahitajk uwe nae karbu sana ikitokea mme distance anapgwa
 
Duniani huwezi kumpata aliyekamilika hayo ndio madhaifu yake. Ishi naye tu mkuu kumpata mwanamke anayekupenda kama huyo ni nadra. Jaribu tu kuwa naye karibu atajiheshimu.
Hakuna upendo hapo mkuu. Upendo na usaliti wapi na wapi?
 
Uko sahihi mkuu, lakini shida kubwa ni muda mchache waliokuwa hawapo pamoja( miezi3) ,
Kijana alipata shaka baada ya mawasiliano kupungua na binti kumpuuza isivyo kawaida,akajaribu kumuuliza na binti akajitetea,akamtetea na mchepuko pia. Ina maanisha alikuwa tayari amebadilisha uelekeo.
Kwa kuwa ni ndoa ya kiislam amuoe tu.
Akiona maluweluwe mbeleni atampa talaka.
 
Hahaha . Umenikumbusha mmoja namtafuta na mm sasa amepata kazi sijui ugonvi umeanzia wapi????
 
Poleni na majumukumu.

Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano.
Kama ni kweli nakushauri umuache tena hafai hugo. Wanawake wapo wengi sana ndugu yangu. Wapo wa kila aina kuliko ukae na mtu usiyejielewa ukaishia kwenda jela bora umuache akaenda zake
 
Wameshakushauri hao jamaa, mie nataka kujuaa hii picha imechezwa Tanzania au abulodii[emoji28]
 
Comment nyingi imenibidi tu ni subscribe... Narudi kesho
 
Mahari potezea utatafuta nyingine, utaratibu ni ule ule haujawahi badirika makosa yote wanaume tunasamehe lakini sio kuchepuka.
 
Poleni na majumukumu.

Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano.
Duuuh, pole broo, ila kuwa makini coz watu wa pole na wenye huruma huwa hawanaga maamuzi, naogopa kama huyo jamaa alimpigia picha za uchi usikute Kesha liwa mpaka 0713,maana ndiyo mchezo wa mjini ck hz
 
Poleni na majumukumu.

Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano.
Kama angelikuwa tayari kuacha kazi kwaajili yako, asingeligawa uchi ili aipate kazi na kukupotezea pindi ukiwa masomoni.
 
Poleni na majumukumu.

Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano.
Endelea na mambo yako utakuja nishukuru baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…