Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Nilipewa Kipigo Na Wanafunzi Wenzangu (Nilikuwa Snich)😣😣

.
.
Nikiwa uko o level 2013 Moro uko boding shule moja ivi (sitaki mnikimbuke kama mpo humu)

Kuna Maticha Waliniomba Niwe Mpelelezi (Snich) Napeleleza Mambo Ya Hostel ya Wanafunzi Hapo Nipo Kidato Cha Pili


Nilikuwa Naishi Vizuri Sana Maana Kupata Vibuku 3 Kutoka Kwa Maticha Ilikuawa Ni Uwakika Na Nilikuwa Snich mzuri Vijana Wakipanga Kitu Nikisikia Tyuu Wanakuta Walimu Wameisha Pata Taarifa

IKAFIKA SIKU YANGU 😭😭....

Wanafunzi Wakawa Wamepanga Kuleta Mgomo Wa Msosi Mgomo Huo Walita Wafanye Mida Ya Usiku Nyumban Kwa headmaster

Bhana Snich Nikapata Taarifa Chapu Nikaenda Kwa Kwa Maboss Nikatema Vyote Walimu Wakaita Kikaoo Cha Fasta Kwa Wanafunzi Wote Baati Nzuri Au Mbaya Hawakupata Ushaidi Wowote Kama Ni Kweli Walitaka Kuandamana

Sasa Mbaya Kuna Nigga Aliniona Natoka Ofisini Kwa Ticha Alie kiwa anaongea Sana Kwenye Icho Kikao... Jamaa Akawastua Maniggah Midaa Ya Saa Sita Usiku Nimelala Zangu Ivi ...

Nikajikuta Nimevutwa Vibaya Nikamulikwa Na Tochi Kama Mia ivi Nikawa Sio Vizuri Nikashambuliwa na Mataulo Mabichi Usoni Kama dakika 2 Ivi Yaan Sielewii 😭😭

Wakanituliza Wakaanza Kuhojii Kwa Zile Sura Nilivo Ziona Ikabidi Nifunguke Yote Yaan kila kitu Kuna Jana Mmoja alikuwa Anajiita Kopo Akawaambia Mm Ntamchapa Fimbo 20 Za mgongoni

Daah Yule Jamaa Nikatili Sana Jamaa Alinipiga Zile Fimboo Bila Huruma Tena Nikiwa Mgongo Wazi Daah 😭😭

Sitakuja Kusahau Kesho Yake Niriludi Nyumbani Na Kuhama Shule ..

Sema Usnich Mbaya Sana 🀣🀣🀣🀣
 

Nilitamani kuuliza jinsia yako ila ngoja niache
Anyway pole sana mkuu….
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Snitches get stitches
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee pole sanaa snitch
 
Wangekubaka kama wangetaka.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi shuleni kwetu ma snitch walikua wanaf|rwa tu Usiku Wew walikusamehe Naona ulistahili zaidi
 

Tulia kisha andika vizuri operator
 
Na leo daddy yenu mwamba yuda anafanya yake apate mtaji wa kucheza over weekend

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Dah unaendeleaje na kaxi ndugu afisa kipenyo?
 
Hongera sana kwa msimamo wako Mkuu, huyo teacher alikua na lengo la kukudharirisha tu. Katika maisha usikubali fedheha ndogo ndogo kama hizo,simama katika msimamo wako na usijutie kamwe.

Kipindi niko Advance Mbalizi Sec hiyo nakumbuka maticha waliniundia mkakati wa kuninasa ili wanifedheheshe mbele ya umati, wakawa hawanipati. Kuna siku wakaniwekea mtego na nikanasa kwenye mtego wao ila nikaona hii fedheha sitoiweza...aisee nilichomoka kama digidigi nikapita nikapaa ukutani kama spider man,na habari ya ile shule kwangu ikaishia hapo.

Ni enzi za kina Maijo, Israel,n.k
 
Polee, maisha lazima yaendelee
Yes indeed maisha ya aendelea tunaendelea kula utamu wa mbususu....tena long wikend ndio kama hivi ni mwendo wakusaka mbususu nigonge threesome matata
 

Walikukomeshaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole snitch [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…