Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Inaonekana unapenda sana magendo na utapeli.
Nilikua kijana mdogo. Sikua na uelewa wa namna mambo yanavyoenda huku ulimwenguni. Sikua najua karma na sheria zingine zinazotawala Dunia.

Nilikua naona pafupi, nachukulia mambo ki rahisi rahisi. Ila sijutii chochote kwa sasa, maana nilishalipia makosa yote niliyoyafanya and I paid in full.

And you are wrong. Sipendi utapeli wala magendo!

After all, life is full of experiences. So let's live it [emoji91]
 
Najutia sana kuwazalisha wadada. Sasa hivi maisha yananiendea kombo yaani niko na familia yangu lakini utasikia unapigiwa simu mara mwanao anaumwa mara ada. Yaani hata mke wangu hayuko comfortable na masimu simu.
Kuna siku aliniambia yani ungeniambia una watoto nje hata nisingekukubali. Daah naumia sana.
Zinaa mbaya haijawahi muacha mtu salama ila polee ndo maishaaa

Pambana mwanaume
 
KUMBE!!madams wengi HUWA wanajitosa KWA hofu ya muda na kukosa mwenzi wa Maisha!!Ndio mnajikuta mnaangukia kwenye MAUMIVU!!!na pia jamaal wanaogopa wake wasomi!!wanahisi kukosa Hali ya kujiamini!na sheria mbovu zinawaogopesha hasa zinazojali wanawake na watoto!!
And nilikuwa 24 tu....kwa kweli sitomsamehe aliharibu future yangu
 
Back
Top Bottom