Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Inaonekana unapenda sana magendo na utapeli.
Nilikua kijana mdogo. Sikua na uelewa wa namna mambo yanavyoenda huku ulimwenguni. Sikua najua karma na sheria zingine zinazotawala Dunia.

Nilikua naona pafupi, nachukulia mambo ki rahisi rahisi. Ila sijutii chochote kwa sasa, maana nilishalipia makosa yote niliyoyafanya and I paid in full.

And you are wrong. Sipendi utapeli wala magendo!

After all, life is full of experiences. So let's live it [emoji91]
 
Zinaa mbaya haijawahi muacha mtu salama ila polee ndo maishaaa

Pambana mwanaume
 
And nilikuwa 24 tu....kwa kweli sitomsamehe aliharibu future yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…