Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Pole Sana.Kuna mambo yanaumiza sana moyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana.Kuna mambo yanaumiza sana moyo.
Ilibidi na sisi tuokote mawe na magogo tukazunguka tukajiunga nao huku tukisema hawa wajinga wanaokataa kugoma leo tunawatia adabuIkawaje sasa hujamalizia
Na ingetokea mauaji wewe ndo wangekusaka wa kwanzaAcha tu mkuu, pamoja na mengine ila nilijuta na kuogopa sana endapo vifo vingetokea.
Si unajua vurugu za wanafunzi ambavyo huwa hazina macho yaani yeyote niliyempoint alichezea kipigo heavy
We cheka tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]zero pro-max,,,,zero plusNakumbuka angali nipo kidato cha tatu mim na rafiki angu tuliwapiga Stiki madogo wa Form 1 sasa kamoja kaka zimia Pale pale
na bahati mbaya mwalim nae anatokea kule Chimbo basi tuka kimbia Tukasepa zetu kijj jirani
Tukakaa pale kijjn siku tatu uko shule tunatafutwa kesi ilibidi iende polisi lakin mkuu wa shule tumekutana kabila moja akaliziwia pale tukaenda shule kujisalimisha wenyewe Tumekuta walimu wanatusubiri kwa bashasha Basi pale kengere ikagongwa wanafunzi wote wakafika paredi.
Tukapewa suspendi mpaka bod ikutane ikae balaza iamue basi tukaaa kitaani na mwanangu yule kurudi home jau inabidi tukapige vibarua kulima songea aridhi ngumuAisee nilijuta sana tulitegemea mkuu atuite lakini wapi mwaka mzima uku wazee hawana taarifa mwezi wa kwanza inabidi turudie darasa Mwenzangu akakataa akawa anafanya mishe zake mimi nikaamia shule nyingine jiarani ilikuw
a 2011 iyo Yule mwanangu sana saizi ametangulia mbele ya haki Rest easy Rasta.
Baaada ya kuamia ile shule jirani sasa angali nipo kidato cha nne nikapata mwanangu mwingine ten mbishi na muhuni alikuwa anagombea dem na Ticha akataka wapigane sasa mimi nliingilia ule ugomvi na kutaka kuchoma nyumba ya yule mwalimu alikuw makamu mkuu wa shule ,
Yule jamaa alipigana na mwalimu mim kosa langu kuingilia ule ugomvi ilikuwa usiku wanafunzi wengine wapo prepo sisi tunapigan bombani na yule mwalimu kesi ile ilienda adi kw mkuu wa shule nikapewa tena pendi nije siku ya mtihani wa taifa ilikuwa mwezi wa 5 iyo nilkaa ad mwezi wa kumi lakin sikwenda home nilibak hapo hapo kijjn ad mwez wa kumi nimepiga sana boda boda hadi nikapata zero pro max mtihani wa mwisho.. utoto ulitusumbua sana.
Unajikuuuta mot spika,,,mm nmesema watoto wa kiume not wanaume,if ww n mwanaume hio coment haikuhusu.Hamna uko peke yako mkuu.
Tofautisha watoto wa kiume na wanaume.
Mwanaume haibi bali anatafuta kwa nguvu zake na kula jasho lake.
Kuiba sio uanaume ni utoto au subiri dunia ya wanaume ikufunze madhara ya kuchukua kitu cha mwanaume kilichotafutwa kwa nguvu, damu, jasho na akili ndio utajua maana ya uanaume.
Uwiiiiih lol
Watt wasumbufu km wewe mnatakiwa kupigwa risasi za kichwa kmninaaNilimpa demu wangu wa utotoni li baruti fulani lenye muundo wa mshumaa nikamdanganya kuwa ukiwasha kale kautambi zinatokea rangi nzuri aisee si akaenda nalo moja kwa moja hadi kwao akaingia jikoni ambapo wapangaji wote hupikia humo na mama yake yupo humo anapika si akaliwasha bwanaaa weeeee LIKAJIBU PWAAAAA kmmke daa wengine walizimia na kulazwa include mama yake ila mmoja aliruka mripuko uliposikika akatua kwenye maji ya moto.Jamani navyoongea hivi kuna mtu ana jeraha lilosababishwa na ujinga wangu MUNGU NISAMEHE.Mi baruti tuliipata kwa dada yangu ambae alikuwa anafanya kazi kwa WaINDI sio jambo la kujisifia ila kilichonikuta baada ya hilo tukio mixer na mapolisi waliingia mama yangu haelewi kwa nini nimekuja kukamatwa aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23]Duuh we umetishaNilimpa demu wangu wa utotoni li baruti fulani lenye muundo wa mshumaa nikamdanganya kuwa ukiwasha kale kautambi zinatokea rangi nzuri aisee si akaenda nalo moja kwa moja hadi kwao akaingia jikoni ambapo wapangaji wote hupikia humo na mama yake yupo humo anapika si akaliwasha bwanaaa weeeee LIKAJIBU PWAAAAA kmmke daa wengine walizimia na kulazwa include mama yake ila mmoja aliruka mripuko uliposikika akatua kwenye maji ya moto.Jamani navyoongea hivi kuna mtu ana jeraha lilosababishwa na ujinga wangu MUNGU NISAMEHE.Mi baruti tuliipata kwa dada yangu ambae alikuwa anafanya kazi kwa WaINDI sio jambo la kujisifia ila kilichonikuta baada ya hilo tukio mixer na mapolisi waliingia mama yangu haelewi kwa nini nimekuja kukamatwa aisee.
Aiseee... Pole sana kamandaAise nikimkumbuka yule mwanamke naishia kujuta kwa nini nilimgegeda siku ile....ndio safari yangu ya arv ilipoanza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ndio na pita best, kisa changu ni kipya kabisa nisingependa nikusimulie hapa kwani ndio niko kati kati ya kisa chenyewe, naendelea kujifunza ukiusikiliza moyo mpya kwa moja, lazima uje uhadithie huko mbeleni
Missing you momma [emoji3059][emoji3059]Mie nasingiziwa jamani!!
Miss you dota[emoji173][emoji8][emoji8]
Mtu akiua watu wawe wanatafuta na sababu, sio kumlaumu tu muuajiNilimpa demu wangu wa utotoni li baruti fulani lenye muundo wa mshumaa nikamdanganya kuwa ukiwasha kale kautambi zinatokea rangi nzuri aisee si akaenda nalo moja kwa moja hadi kwao akaingia jikoni ambapo wapangaji wote hupikia humo na mama yake yupo humo anapika si akaliwasha bwanaaa weeeee LIKAJIBU PWAAAAA kmmke daa wengine walizimia na kulazwa include mama yake ila mmoja aliruka mripuko uliposikika akatua kwenye maji ya moto.Jamani navyoongea hivi kuna mtu ana jeraha lilosababishwa na ujinga wangu MUNGU NISAMEHE.Mi baruti tuliipata kwa dada yangu ambae alikuwa anafanya kazi kwa WaINDI sio jambo la kujisifia ila kilichonikuta baada ya hilo tukio mixer na mapolisi waliingia mama yangu haelewi kwa nini nimekuja kukamatwa aisee.
Nlichojifunza kwako. Binadamu hakomiAnother One!
Kipindi fulani nimepata mchongo Nairobi, Kenya.
Kwenye kampuni moja hivi inajihusisha na mauzo ya mfumo fulani wa Computer [Sitasema ni System gani].
Mfumo ulikua umekamilika kisawasawa kulingana na namna ulivyokua unafanya kazi katika kutimiza mahitaji ya wateja. Kwaiyo bei yake ilikua imechangamka kidogo lakini makampuni yalilipia bila shida kwa sababu ya namna ambavyo mfumo uliwarahisishia kazi.
Sasa huo mfumo ulikua una ada zake za kila mwaka (annual subscriptions fees) ambazo nazo ni kubwa kidgo kwa wale wateja ambao bado wanaendelea kutumia huo mfumo. Ila kwa wale ambao wameshindwa kulipia, mfumo unafungwa (license ina expire) hadi watakapolipia tena.
Mimi na Jamaa yangu mmoja tukaona fursa kwa wale ambao wanashindwa kuendelea kutumia mfumo kwa sababu ya gharama zake kuwa kubwa. Tukaingia mzigoni kucheza na lile file la license (lilikua limesukwa na lugha ya Delphi) mpaka tukafanikiwa kujua namna ya kulichezesha ili mfumo uendelee kufanya kazi. NB: Hiki sio kitu kizuri, Usijaribu utafungwa!
Kampuni ilikua ina milikiwa na wazungu, kwaiyo sisi tunatumwa kufanya marketing, installations na trainings kwa wateja. Pia tulikua tunafanya support kwa wale wanaokutana na changamoto za mfumo hata baada ya kuanza kuutumia. Kwaiyo tulikua tunajua A2Z ya wateja wote ambao tulikua tunafanya nao kazi vizuri.
Sasa basi, baaada ya kufanikiwa kucheza (crack) na license file, tukaanza kuwa approach wateja waliokua wanatumia mfumo halafu wakashindwa kuendelea nao kimya kimya na kuwapa offer ya punguzo la bei na namna wanavyotakiwa kufanya malipo (tukabadilisha hadi zile payments methods, mpunga uwe unaingia kwetu). Duh, ujanja ujanja sio kitu kizuri ila anyway I have learnt my lessons!
Sio siri jamaa walikua wanatulipa vizuri sana plus allowance za kukidhi mahitaji ila ndoivo tamaa haina aibu. Tukaanza kupiga hela, chezea discount wewe! Wateja wote waliokua wamekufa wakafufuka na mtonyo tukawa tunapokea sisi. Si tukajisahau...asalaaaaleee. Siku moja mteja mmoja akawa amekwama kufanya kitu kwenye mfumo sasa ile kututafuta mimi sikua online, jamaa yangu naye alikua anakula bata kama kawaida yake maana illikua ni siku ya jumapili kama leo. Heheee
Saa ngapi yule mteja asitafute contacts za mzungu aanze kuwasiliana naye na wakati sisi tulisha update taarifa zake kwenye mfumo wa CRM kuwa ni Dead Customer. Si akafunguka kuwa alikua anatumia mfumo toka kitambo tu na alikua anawasiliana na sisi...duuuh
Wazungu wakatusubiri Juma3 Ofisini. Hatuna hili wala lile. Tuko na hangover zetu. Kwa namna salamu zilivyokua zinapokelewa ofisini na namna tulivyokua tunapewa zile weird looks nikajua kuna kitu hakiko sawa hapa. Machale yakanicheza kidgo lakini haikusaidia.
Nikashangaa mimi na jamaa tu ndio tunaitwa kwenye kikao cha dharura. Duuuh tukavuliwa nguo vibaya sana. Heshima yote tuliyokua tumejijengea ofisini pale ikayeyuka yooote! Kumbe hadi emails zimeshatumwa kwa wateja wote kuwa sisi sio wafanyakazi wa pale tena, sisi hata hatujui. Kumbe tumeshatolewa kila mahali wafanyakazi wote wanajua hata hatuelewi.
Tukanyang'anywa kila kitu cha ofisi. Kazi hakuna. Nikapewa siku mbili tu za kubaki kwa kenyatta zaidi ya hapo nikionekana nadhurura ni ndani. Na hiyo pia ni kama favor tu nilipewa maana wangeamua kwenda mahakamani ilikua ni ndani moja kwa moja.
Dah niliteseka sana baada ya hapo. Kwa sababu connections zote nilizokua nazo zilikua zinatokana na kazi za hao jamaa na wameshachafua hali ya hewa kila mahali. Nilisota sana kupata kazi nyingine.
Kuna kipindi nikaanza kukumbuka maisha niliyokua naishi pale Ruaka Dah.. Nikawa najuta sana. Nikaweka nadhiri rasmi sitakaa nijihusishe na illegals tena!
Na hilo likawa funzo langu!
Good.Unajikuuuta mot spika,,,mm nmesema watoto wa kiume not wanaume,if ww n mwanaume hio coment haikuhusu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app