HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Una akili mgando sanaMimi mpaka leo najuta kutokusoma teaching,,,,,ungekuta nipo zangu serikalini kwenye ajira za kudumu daaaaaa kweli majuto n mjukuuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili mgando sanaMimi mpaka leo najuta kutokusoma teaching,,,,,ungekuta nipo zangu serikalini kwenye ajira za kudumu daaaaaa kweli majuto n mjukuuu.
Good hata mimi nilikuwa kama wewe. Kifupi nilichelewa sana kujanjaruka, ila now ni moto. Sio nice guy tena, sina aibu za kichoko na ni bonge la bad boy, yaani ni mafia.Now I'm a bad boy that you don't wanna mess with[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] pole sana kamanda.Tulichapwa bakora siku ya kumaliza necta form six
Siku hiyo sitosahau nilikula mijeledi kama yesu msalabani bila kosa ndo nikaamini sio kila anayeenda jela ana makosa
Ilikua hivi Nakumbuka ilikua Alhamisi ile tunamalizia mtihani wa mwisho msimamizi akatuambia mkimaliza mtihani muende uwanjani msiondoke kwanza tukasema poa, tulikua tunahisi sijui walimu wanakuja kutupongeza basi tukapiga pepa pale mpaka muda tunaambiwa pens down watu wakaanza kuvunja ruler wanatupa peni wengine wanachana mashati wanachana suruali kwa furaha ya kumaliza
Mimi sikupanga kuchana ila kuna jamaa tulikua tunamuita Mjita(mtu wa ukerewe)alikua amekaa nyuma yangu akachukua kiwembe akaanza kuchana shati langu mgongoni
Nilimuacha achane tu kwani halina kazi tena (Najuta kumuacha achane lile shati)
Basi msimamizi akakusanya mitihani na kuondoka zake lile darasa nililokuwepo watu hawakuchana sana uniform nilishangaa nilichokiona baada ya kutoka nje kuna darasa lingine hao walichana nguo sio poa unaweza sema ni machizi wameachiliwa kifungoni kila mtu kachana anavyojua basi(kumbuka mjita alichana shati langu mgongoni)
Basi tukakusanyika uwanjani kama tulivyoambiwa tunashangaa tunaambiwa tukae chini na wale mapolisi waliokuwa wanasimamia mitihani tukawa tunajiuliza nini kina endelea
Kumbe Jana yake kuna baadhi yaform six walichana magodoro na mashuka ya form five na hiyo taarifa ikamfikia mkuu wa shule ndo akawaambia wale form five waandike majina ya watu wanaowahisi kufanya hicho kitendo na majina yalipelekwa kwa mwalimu mkuu ndo akawaambia polisi hawa vijana wakimaliza mtihani kuna haya majina shughulika nayo hiyo ndo ilikua sababu ya kuitwa pale uwanjani
Basi Yale majina yakaitwa wakasimamishwa pembeni alafu yule afande akasema mbona naona watu wamechana uniform..dah akasema wote waliochana uniform na nyie simameni jiungeni na hawa waliochana mashuka maskinii mjita aliniponza na Mimi nikajumuishwa Kwenye msala.tulikua kama 25 hivi tukaambiwa pangeni mstari mmoja kuelekea ofisini.wale ambao hawakuchana uniform zao waliruhusiwa waondoke sisi tukabaki
Polisi akaanza kusema nyie ndo wahuni eeh basi tutaonyeshana uhuni niliogopa sana
Tukapelekwa mpaka assembly ground tukaanza kupigishwa kwata na wale mapolisi dah Mara headmaster akaja akasema Leo nawachapa nawaaga kwa kuwachapa dah niliona kama ndoto hivi nachapwa siku ya kumaliza Necta Moyoni mwangu naendelea kumlaumu mjita kwa kuniponza,tulijitetea kwamba sisi hatuhusiki na kuchana mashuka sisi tumechana nguo zetu tu majina yao si yapo hapo sisi hatuhusiki ila wale polisi hawakutaka kuelewa wakaona ni wale wale tu wachanaji magodoro na wachanaji uniform
Basi headmaster akaagiza mzigo wa fimbo ukaletwa akaanza kutupelekea moto afu anachapa fimbo za mgongoni na kiunoni lazima akuachie alama kama sio Kukutoa damu.dah tulipelekewa moto sana kwa bahati nzuri na mjita nae alichana nguo Kwahyo tulikua wote tunasulubiwa (ningeumia sana kama mjita asingekuwepo) basi nikiona mjita anakula mijeledi na Mimi nafarijika
Kumbuka hapo tushamaliza mtihani wa necta wale wasimamizi ndo wa nasubiri lile gari linalozunguka kusambaza na kufuata mitihani mashuleni lije kuwafuata kwahyo hapo pona yetu ni mpaka lile gari lifike dah basi headmaster akaendelea kutupiga mijeledi na walimu wengine wakaunga tela tulichakazwa haswaa alama kibao mgongoni na kiunoni mpaka lile gari linafika tulikua tupo juu ya Mawe(lawama zote ziende kwa mjita)
Tulikubali kusulubiwa japokua tulikua tumemaliza necta tungeweza kugoma kuchwapwa lakini hatukuwa na jeuri hiyo kwa sababu polisi walikuwepo dah Kwahyo ukigoma tu polisi wanakuchezeshea mikwaju na unaenda kulala kituoni dah ikabidi tuache tu headmaster atupelekee moto chini ya uangalizi wa polisi,baada ya kipindi cha muda mrefu hatimae gari la kukusanya mitihani likafika ndo wale polisi wakaondoka na headmaster akatuacha ila hakutucha hivi hivi aliandika majina yetu ili siku ya kuja kuchukua result slip tulipe magodoro dah ilikua siku ya kihistoria Magodoro sikuchana,nguo sikuchana kwa mikono yangu,na mijeledi nimesulubiwa
Mjita popote ulipo mataccor yakooo!
Kwa niniKuna wakati huwa Najuta kufaulu Darasani....
Acha kuumia kaza mtoto wa kiume..watoto ni mbaraka.Najutia sana kuwazalisha wadada. Sasa hivi maisha yananiendea kombo yaani niko na familia yangu lakini utasikia unapigiwa simu mara mwanao anaumwa mara ada. Yaani hata mke wangu hayuko comfortable na masimu simu.
Kuna siku aliniambia yani ungeniambia una watoto nje hata nisingekukubali. Daah naumia sana.
Kwa nn ndugu???Una akili mgando sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawaza ajiriwa maishaKwa nn ndugu???
Akiwa mjanja anaishi tu bila shidaSitakaa nimpeleke boarding mwanangu mdogo maana uonevu wa kule hapana
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mark my wordsGood hata mimi nilikuwa kama wewe. Kifupi nilichelewa sana kujanjaruka, ila now ni moto. Sio nice guy tena, sina aibu za kichoko na ni bonge la bad boy, yaani ni mafia.
Ila nina mashaka kuwa bado wewe ni nice guy. Unajitutumua tu.
Nishapoa kamanda[emoji23][emoji23]Daaah...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] pole sana kamanda.
#
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa ni kupitiliza kipigo. Walikuwa wanakomesha tabia yako ya wizi. Acha udokozi utakufa.Dah pia hii mada imenikumbusha mbali sana, tukio ambalo najutia na likabiharibu kabisa psychologically na hadi leo sijapona na sjui taponaje, but one day tatafuta psychologist anisaidie.
Nimeishi na kulelewa na father pamoja na step Mother tangu nikiwa na 4 years, sababu mzee na mother waliachana (hawakuwahi kuoana ila walizaa tu) then kila.mtu akaendelea na maisha yake, so tulisaliwa wawili na my brother, walivoachana mama akamchukua ny brother (sjui why mzee hakumpenda) na mzee akanichukua mimi , mzee alioa mke mwingine na mother nae aliolewa kwingine kwa kifupi ni kua sikuwahi kuishi na mama yangu mzazi kwa muda mrefu wala brother angu kwa hiyo hatukua na that strong bond japo mother alikua anatravel anakuja Mkoa tulioko anafikia kwenye hotel alafu mzee ananidrop tunasalimiana tutakaa hata for 3 days then anarudi kwa familia yake.
Mwaka flani mzee akafariki, then sad enough mume wa mama yangu pia alifariki mwaka ulioisha kabla ya mzee. Vurugu za ndugu hapa na pale msibani kugombea mali na nini ikabidi step mother ajitoe sababu alikua na mali zake na nyumba zake akaogopa akabidi amcall mama aje akae na mimi (wakati huo kulikua na watoto wengine wawili wa rafiki zake mzee ambao mzee alikua akiwasomesha pia) basi mama akaja ili mali zisipotee ikabidi ahamie kabisa mkoa tuliopo, akahamishia na biashara zake huku. Nilifurahi sana sababu pia alikua na watoto wengine nikajua tayari nina ndugu zangu wengine,.so i was very happy kabisa.
Baada ya muda kidogo nikajikuta upendo wangu mkubwa uko kwa step mother, sababu nilikua naona kama vile ndio mama yangu sababu tulikua na strong bond na alinipenda sana, mother mzazi alikua very strict sana hadi nikaanza kumchukia. Kwanza huyo brother pia alikua muhuni muhuni kiasi nikakuta one day kachukua video game yangu kauza akasingizia wezi walikua, yani wezi waingie getini, waingie ndani pia, kuna vitu vingi vya thamani eti aingie aibe play station 2, nikaanza kumchukia pia.
One day bwana nilikutana na rafiki mmoja nilimpenda sana, ni mdada.ananizidi ila nilimpenda na.alikua anasoma chuo me nipo primary hapo [emoji16], alikua ananirubuni sana nampea vipesa pesa sometimes nafungua pochi ya mother natoa pesa ili tu nikampe yule dem. Na tuliwahi kusex kabisa ila niseme tu alikua ananibaka manake ni mkubwa me wakati niko na 13 years yeye ana 26. Siku moja akaniambia amepoteza simu yake, basi akawa anasema nisaidie nipate simu basi [emoji23] hani mdada mkubwa ananishawishi nimtaftie pesa abuy simu anasema mdanganye mama ako akupee pesa uniletee, basi nikawaza nikasema brother ako na simu, naikumbuka sana wakati huo zile simu za kufunua zina scree nzuri na internet, nikasema huyu fala aliniibia game yangu ngoja nimkomeshe, nikachukua simu yakw alikua anacharge nikamoelekea yule dada, akafurahi, kumbe bwana mfanyakazi aliniona nimeishika wakati natoka nnje, brother akaanza kutafta simu yake haioni, akachanganyikiwa naskia, hapo mama katoja job pia naskia wakatafta balaa nani alikuja home maybe wameiba basi housegirl akasema lakini nilimuona mnyakyusa ipinda ameishika ameenda nayo nnje. Wakanisubiri, sitasahau hiyo siku ambayo imebadirisha kabisa maisha yangu.
Walinichangia wote mama na brother kunipiga nioneshe simu iko wapi, imagine walinifungia kwa chumba changu, wakanichangia walinipiga kamq hawanijua kisa ile simu, mbaya zaidi bro alitumia nondo na mama akawa hadi ananikaba pumzi mpaka nahisi nakufa, nilipigwa kipivo ambacho sikuwahi kuimagine, then nilipoona hapa takufa sababu nilianza kutoka damu puani nikawaambia nilipopeleka simu, nikawaambia wachukue simu yangu number nimesave flani wamcall ndio ako na simu. wakaniacha wakaondoka chumbani kwangu, kumbe nilikua nineumia sana, nikawa nashindwa kupumua, usingizi ukanipitia hapo hapo chini, na baridi la tyles ila nikalala chini hadi asubuhi, wala hakuna aliekuja kunitizama, nikashindwa kunyanyuka, nikajivuta hadi kwenye ukuta, nikaona damu puani zimeanza tena kutoka, mwili unauma kila mahali, nikaanza kukohoa , dah nikajua nakufa pale.jilipianza kukohoa damu, housegirl alipoona sitoki chumbani saa saba tayari akaja kunicheck, alipanick sana akawapugia simu waje wanipeleke hospital wakamjibu nini sjui, ila hawakuja, ikabidi aende nyumba inayofuata akamuita jirani, akaja , daha alipoona hali yangu akachukua gati faster akaniwahisha hospital, akawacall nduo wakajua serious mama akaja amepanick hadi analia , ananibembeleza, nimelala sijielewi hospital, nikapigwa xray hapo, nakumbuka dr anasema bana usitoe pumzi ila nashindwa , after kustruggle ndio akaweza kuchukua picha nzuri ya xray. Majibu hapo dr wakasema mapafu yanechubuka na yameanza kujaa damu , na pia kichwani kuna damage sjui nini , wqkaulizwa what happened , mama akasema nilikua napanda kwenye mti nikaanguka[emoji34][emoji34][emoji34] huku analia, doctor akasema hapo wakiniacha naeza kufa sababu mapafu yanazidi kujaa damu, wakanipa rufaa kwenda bugando, kesho yake tukasafiri faster hadi mwanza na tukafika bugando , nikapokelewa , nakumbuka nililazwa juu kabisa sijui ghorofa ya ngapi, chumba kikubwa cha private tuko wagonjwa wawili tu mmoja mbaba hadi leo namkumbuka nae alipata ajari ya gari na ameungua mwili wote, hata hajalala kitandani ila wamekua kama ametundikwa kitaalamu sana. Nami nikalazwa na kuekea ndoo pembeni ili niendelee kutema damu ,Wakaja wazungu flani wa doctor wakanifanyia xray tena na vipimo kibao wakasema is too complicated how that happened,ila mama akashkilia tu nilianguka kwenye mti, to make story short is just mirracle kupona ilikua tu mirracle sababu walitaka hata nipelekwe india but alitokea dr mmoja usiku kama saa nane amevaa kama masister (hadi leo najiuliza alikua dr ama malaika?) alikua kama mzungu ama muhindi i dont know, akanifata kwa bed akasema tu hebu tusali mtoto wangu, akasari pale after kusali akanipa two pills, akasema meza na ulale, nikameza nikalala, you cant believe kesho asubuhi niliamka sikohoi damu , niliamka na nguvu hadi nikashangaa, kwa mala ya kwanza nikatoka kitandani nikatembea just like that, wakaja madoctor wakaenda kunicheck tena wakasema mbona mapafu yamekua sawa , basi nikapoba just like that na safari ya India ikaishia hapo, nikawahadishia kilichotokea wakawa wanaulizana dr nani alikuhudumia huyo hata hawaelewi.
But after hilo tukio nikamchukia sana mama yangu na brother angu, hadi leo napoandika hivi, siwezi hata feel comfortable kuishi nao, hata nyumbani hatujaishi sana wote, nimesoma boarding school tangu hapo so hatujawahi ishi hata for two month pamoja, hata likizo nilikua naenda hata kwa frineds family tu ili kuwaepuka, kiukweli nashindwa kuelewa , yani nawachukia lafu siwachukii, nawapenda halafu siwapendi, yani hadi leo siwezi ongea na mama hata for 3 minutes kwenye simu, tulivotoka hospita aliniomva samahani na tukasameheana lakini nineshindwa. Nikiwa mbali nao nawakumbuka sana sana yani vibaya mno, hata nataka kuwapigia, ila nikiwaona tu moyo wangu unakua hauna upendo tena, yani sjui nielezee vipi mtu aelewe, manake hata mimi sielewi. Yani nimejitahidi sana kuwapenda tukiwa wote ila nashindwa, mama ananijali sana na ananipenda sana sana ila hata siku nilipomwambia hiyo hali alilia sana hakua na la kufanya. Kiukweli hasa brother angu namchukia sana sana, yani hata nikiona picha yake hakuna upendo kabisa moyoni, sometimes natamani kuwa kama wengine wanavoenjoy na family na wazazi wao kwa furaha ila nashindwa, nafeel very happy nikiwa peke angu ama na watu wengine ila sio mama wala brother. I hope tasaidika one day niwe normal, nimekua affected psychologically na inaniuma sana, ila nimejaribu nimeshindwa na miaka inazidi kuenda, na mpenda sana mama yangu nikiwa peke angu ila nikiwa na yeye moyoni nakua sina furaha kabisa, na kadri anavozidi kunipenda na kunijali , kujaribu kufanya nifurahi basi mimi ndio nazidi kukasoroshwa hadi sometimes naona kabisa anakua analia kindani ndani anahuzunika.
Wazazi muwaadhibu watoto kuendan na umri na pia kwa umakini sana, usipige mtoto kama unaua nyoka, unaeza kuua mtu ama kuleta shida zingine , sometimes kupiga is not a solution at all, handle things kimakini sana. I wish nisingechukua ile simu maybe nisingepatwa na haya ila ndio vile. I will be normal one day for sure.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Sio kibiti sec kweli..mana msala kama huu ushatokea.[emoji2]
Ulitokea mgomo shuleni na umeme ulikuwa umekata wana wameenda kumtia adabu headmaster mimi nikaamua kujificha bwenini nkalala deka la juu, maana mshua aliniasa mambo ya migomo nisishiriki sisi ni masikini.
Ebwana eeh majamaa wameenda wakakuta headmaster kakimbia wakaona waje kuzimalizia hasira kwa waliolala bwemi waliokataa kugoma aisee
Bwemi la mbele kuna wanawakadakwa wakaanza kushambuliwa kwa bakora huku wengine wakivunja vioo,
Nilijikuta tuu nipo sakafuni natimua mbio kuelekea kwenye shamba la mahindi, kumbe kuna mmasai na wenzake walikuwa mle ndani nao nilishangaa wameibuka kama mizimu tunaongozana kwenye mahindi
Stori ya ki phaller sana. Uangalie na vitu vya ku post.Nilimpenda mdada Fulani hivi advance, lakini kutokana na maisha yangu ya UTAWA[emoji1] nikaona nikomae na yangu nisijue ya Leo sio ya Jana.
Miaka ikaenda, tukamaliza shule bila kumuambia lolote, bila kujua tukaenda college Moja, ilikuwa ni Furaha siku nimeonana nae, hug za kutosha Hadi watu wa pembeni wakawa nashanga, ye alikuwa na mwenzie namie nlikuwa na jamaa angu. Maisha ya college pia sikumwambia lolote but tulikuwa karibu sana kama wapenzi. Room kwake naenda nakaa Hadi night kucheki Korean series etc,
Yule Binti alimaliza mbele yangu, Siku hiyo nipo kwa Mji wa Mkapa nikaona nimtolee uvivu nikamfungukia ukweli wote, Binti akawa anashangaa Kwann sikumuambia mapema had muda ule na alikuwa Hana mtu, akanipea polee lakini akawa tayari na mtu wake. Japo naye alikuwa anahisia namii baada ya ku confess, nikaona sio uungwana kuingilia mahusiano yake na jamaa wake wa sasa, nikaachana nae japo tunaishi kama wapenzi.
Nlichojifunza ukimuelewa mtu usikawie kusema, mwambie akatae mwenyewe na kujifanya unaogopa tongoza kuhofia utapoteza urafiki wenu nimejua ni ujinga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahhahaha ngwiii ng'wiiiiii..Nishakujua..nikuulize kitu?? wewe jina lako halisi linaanzia na herufi G.. bishaa!