Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Nilikula hawa malaya wanaojiuza buku 3000 kavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuAisee!!? Unajutia kwa mambo aliyojitakia mwenyewe?
I will never zalisha nje god forbidNjia pekee ya kuishi kwa amani kama wanao wanajitambua muombe mkeo mje muishi nao,wanawake somtym tuna mambomengi
Kwanza kufanya watoto wetu ndo sehemu ya kumaliza shida zetu la pili unaweza jikuta unawekwa mbali na mwanao siku ambayo utamjibu huna kitu so kuepusha hayo Lea wanao kma unaweza kuwahudumia wakiwa mbali sidhani km itashindikana.
Tatizo pale kati patamu bwanaNajutia sana kuwazalisha wadada. Sasa hivi maisha yananiendea kombo yaani niko na familia yangu lakini utasikia unapigiwa simu mara mwanao anaumwa mara ada. Yaani hata mke wangu hayuko comfortable na masimu simu.
Kuna siku aliniambia yani ungeniambia una watoto nje hata nisingekukubali. Daah naumia sana.
MkuuNi kweli kaka ila sometimes ugomvi wao hata kama bimkubwa alikuwa ana makosa mpk wakashindwa kuishi pamoja ila mie mtoto hayo hayanihusu mie nimeshuhudia bimkubwa anahangaika kunitafuta ada toka primary School ( miaka hiyo kulikuwa na ada) mpaka nafika chuo sijawahi kumuona mshua akijihusisha na mie automatically nitakuwa upande wa bimkubwa
Hii hali ipo sana kwenye African families zetuDah pia hii mada imenikumbusha mbali sana, tukio ambalo najutia na likabiharibu kabisa psychologically na hadi leo sijapona na sjui taponaje, but one day tatafuta psychologist anisaidie.
Nimeishi na kulelewa na father pamoja na step Mother tangu nikiwa na 4 years, sababu mzee na mother waliachana (hawakuwahi kuoana ila walizaa tu) then kila.mtu akaendelea na maisha yake, so tulisaliwa wawili na my brother, walivoachana mama akamchukua ny brother (sjui why mzee hakumpenda) na mzee akanichukua mimi , mzee alioa mke mwingine na mother nae aliolewa kwingine kwa kifupi ni kua sikuwahi kuishi na mama yangu mzazi kwa muda mrefu wala brother angu kwa hiyo hatukua na that strong bond japo mother alikua anatravel anakuja Mkoa tulioko anafikia kwenye hotel alafu mzee ananidrop tunasalimiana tutakaa hata for 3 days then anarudi kwa familia yake.
Mwaka flani mzee akafariki, then sad enough mume wa mama yangu pia alifariki mwaka ulioisha kabla ya mzee. Vurugu za ndugu hapa na pale msibani kugombea mali na nini ikabidi step mother ajitoe sababu alikua na mali zake na nyumba zake akaogopa akabidi amcall mama aje akae na mimi (wakati huo kulikua na watoto wengine wawili wa rafiki zake mzee ambao mzee alikua akiwasomesha pia) basi mama akaja ili mali zisipotee ikabidi ahamie kabisa mkoa tuliopo, akahamishia na biashara zake huku. Nilifurahi sana sababu pia alikua na watoto wengine nikajua tayari nina ndugu zangu wengine,.so i was very happy kabisa.
Baada ya muda kidogo nikajikuta upendo wangu mkubwa uko kwa step mother, sababu nilikua naona kama vile ndio mama yangu sababu tulikua na strong bond na alinipenda sana, mother mzazi alikua very strict sana hadi nikaanza kumchukia. Kwanza huyo brother pia alikua muhuni muhuni kiasi nikakuta one day kachukua video game yangu kauza akasingizia wezi walikua, yani wezi waingie getini, waingie ndani pia, kuna vitu vingi vya thamani eti aingie aibe play station 2, nikaanza kumchukia pia.
One day bwana nilikutana na rafiki mmoja nilimpenda sana, ni mdada.ananizidi ila nilimpenda na.alikua anasoma chuo me nipo primary hapo [emoji16], alikua ananirubuni sana nampea vipesa pesa sometimes nafungua pochi ya mother natoa pesa ili tu nikampe yule dem. Na tuliwahi kusex kabisa ila niseme tu alikua ananibaka manake ni mkubwa me wakati niko na 13 years yeye ana 26. Siku moja akaniambia amepoteza simu yake, basi akawa anasema nisaidie nipate simu basi [emoji23] hani mdada mkubwa ananishawishi nimtaftie pesa abuy simu anasema mdanganye mama ako akupee pesa uniletee, basi nikawaza nikasema brother ako na simu, naikumbuka sana wakati huo zile simu za kufunua zina scree nzuri na internet, nikasema huyu fala aliniibia game yangu ngoja nimkomeshe, nikachukua simu yakw alikua anacharge nikamoelekea yule dada, akafurahi, kumbe bwana mfanyakazi aliniona nimeishika wakati natoka nnje, brother akaanza kutafta simu yake haioni, akachanganyikiwa naskia, hapo mama katoja job pia naskia wakatafta balaa nani alikuja home maybe wameiba basi housegirl akasema lakini nilimuona mnyakyusa ipinda ameishika ameenda nayo nnje. Wakanisubiri, sitasahau hiyo siku ambayo imebadirisha kabisa maisha yangu.
Walinichangia wote mama na brother kunipiga nioneshe simu iko wapi, imagine walinifungia kwa chumba changu, wakanichangia walinipiga kamq hawanijua kisa ile simu, mbaya zaidi bro alitumia nondo na mama akawa hadi ananikaba pumzi mpaka nahisi nakufa, nilipigwa kipivo ambacho sikuwahi kuimagine, then nilipoona hapa takufa sababu nilianza kutoka damu puani nikawaambia nilipopeleka simu, nikawaambia wachukue simu yangu number nimesave flani wamcall ndio ako na simu. wakaniacha wakaondoka chumbani kwangu, kumbe nilikua nineumia sana, nikawa nashindwa kupumua, usingizi ukanipitia hapo hapo chini, na baridi la tyles ila nikalala chini hadi asubuhi, wala hakuna aliekuja kunitizama, nikashindwa kunyanyuka, nikajivuta hadi kwenye ukuta, nikaona damu puani zimeanza tena kutoka, mwili unauma kila mahali, nikaanza kukohoa , dah nikajua nakufa pale.jilipianza kukohoa damu, housegirl alipoona sitoki chumbani saa saba tayari akaja kunicheck, alipanick sana akawapugia simu waje wanipeleke hospital wakamjibu nini sjui, ila hawakuja, ikabidi aende nyumba inayofuata akamuita jirani, akaja , daha alipoona hali yangu akachukua gati faster akaniwahisha hospital, akawacall nduo wakajua serious mama akaja amepanick hadi analia , ananibembeleza, nimelala sijielewi hospital, nikapigwa xray hapo, nakumbuka dr anasema bana usitoe pumzi ila nashindwa , after kustruggle ndio akaweza kuchukua picha nzuri ya xray. Majibu hapo dr wakasema mapafu yanechubuka na yameanza kujaa damu , na pia kichwani kuna damage sjui nini , wqkaulizwa what happened , mama akasema nilikua napanda kwenye mti nikaanguka[emoji34][emoji34][emoji34] huku analia, doctor akasema hapo wakiniacha naeza kufa sababu mapafu yanazidi kujaa damu, wakanipa rufaa kwenda bugando, kesho yake tukasafiri faster hadi mwanza na tukafika bugando , nikapokelewa , nakumbuka nililazwa juu kabisa sijui ghorofa ya ngapi, chumba kikubwa cha private tuko wagonjwa wawili tu mmoja mbaba hadi leo namkumbuka nae alipata ajari ya gari na ameungua mwili wote, hata hajalala kitandani ila wamekua kama ametundikwa kitaalamu sana. Nami nikalazwa na kuekea ndoo pembeni ili niendelee kutema damu ,Wakaja wazungu flani wa doctor wakanifanyia xray tena na vipimo kibao wakasema is too complicated how that happened,ila mama akashkilia tu nilianguka kwenye mti, to make story short is just mirracle kupona ilikua tu mirracle sababu walitaka hata nipelekwe india but alitokea dr mmoja usiku kama saa nane amevaa kama masister (hadi leo najiuliza alikua dr ama malaika?) alikua kama mzungu ama muhindi i dont know, akanifata kwa bed akasema tu hebu tusali mtoto wangu, akasari pale after kusali akanipa two pills, akasema meza na ulale, nikameza nikalala, you cant believe kesho asubuhi niliamka sikohoi damu , niliamka na nguvu hadi nikashangaa, kwa mala ya kwanza nikatoka kitandani nikatembea just like that, wakaja madoctor wakaenda kunicheck tena wakasema mbona mapafu yamekua sawa , basi nikapoba just like that na safari ya India ikaishia hapo, nikawahadishia kilichotokea wakawa wanaulizana dr nani alikuhudumia huyo hata hawaelewi.
But after hilo tukio nikamchukia sana mama yangu na brother angu, hadi leo napoandika hivi, siwezi hata feel comfortable kuishi nao, hata nyumbani hatujaishi sana wote, nimesoma boarding school tangu hapo so hatujawahi ishi hata for two month pamoja, hata likizo nilikua naenda hata kwa frineds family tu ili kuwaepuka, kiukweli nashindwa kuelewa , yani nawachukia lafu siwachukii, nawapenda halafu siwapendi, yani hadi leo siwezi ongea na mama hata for 3 minutes kwenye simu, tulivotoka hospita aliniomva samahani na tukasameheana lakini nineshindwa. Nikiwa mbali nao nawakumbuka sana sana yani vibaya mno, hata nataka kuwapigia, ila nikiwaona tu moyo wangu unakua hauna upendo tena, yani sjui nielezee vipi mtu aelewe, manake hata mimi sielewi. Yani nimejitahidi sana kuwapenda tukiwa wote ila nashindwa, mama ananijali sana na ananipenda sana sana ila hata siku nilipomwambia hiyo hali alilia sana hakua na la kufanya. Kiukweli hasa brother angu namchukia sana sana, yani hata nikiona picha yake hakuna upendo kabisa moyoni, sometimes natamani kuwa kama wengine wanavoenjoy na family na wazazi wao kwa furaha ila nashindwa, nafeel very happy nikiwa peke angu ama na watu wengine ila sio mama wala brother. I hope tasaidika one day niwe normal, nimekua affected psychologically na inaniuma sana, ila nimejaribu nimeshindwa na miaka inazidi kuenda, na mpenda sana mama yangu nikiwa peke angu ila nikiwa na yeye moyoni nakua sina furaha kabisa, na kadri anavozidi kunipenda na kunijali , kujaribu kufanya nifurahi basi mimi ndio nazidi kukasoroshwa hadi sometimes naona kabisa anakua analia kindani ndani anahuzunika.
Wazazi muwaadhibu watoto kuendan na umri na pia kwa umakini sana, usipige mtoto kama unaua nyoka, unaeza kuua mtu ama kuleta shida zingine , sometimes kupiga is not a solution at all, handle things kimakini sana. I wish nisingechukua ile simu maybe nisingepatwa na haya ila ndio vile. I will be normal one day for sure.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Kuna stori kama hii niliambiwa. Mshua alikuwa wa mkoa wa MaraSitakuja kusahu aisee maana mie nilililelewa na mzazi mmoja bimkubwa, mshua enzi hizo mambo mengi hivyo bimkubwa akajitaa so mshua akaanzisha familia yake nyingine ambayo aliipa thamani kubwa halafu ukizingatia na mshiko mrefu wa dili zake za mbao.
Sasa bimkubwa akifight sana mpka nikamaliza chuo mwanzoni mwa 2000, mshua kule madogo walizingua wote kwenye elimu halafu kwetu hakuwa anahudumia chochote sio kwa kuambiwa ni kwa kuona kabisa, alikata networks baada ya muda mambo yakamuendea kombo hapo tayari nipo kwenye ajira.
Akaanza kunitafuta nimpe sapoti ya kiuchumi nilikuwa Nampa kimtindo bila kinyongo ila nguvu kubwa niliwekeza kwa bimkubwa, mshua akajua hilo akaenda kumkoromea bi mkubwa kuwa kwanini mie nampendelea sana yeye kuliko yeye mshua?
Hakika sintasau na hakika najutia maana hamaki niliyokuwa nayo nilienda kumuwakia mshua tena kwa facts aache kabisa kumzonga bi mkubwa ila baadae nilijutia sana maana mshua alikuwa mdogo sana hali hiyo ikapelea pressure kupanda ila Mungu ni mwema yupo poa ila alishakuwa mgonjwa mgonjwa ambapo moyoni najihisi hatia kuwa nahusika na ugonjwa wake.
Kweli bana usimdharau mtuMimi najuta kumdharau mtu..nimejifunza usimdharau mtu yoyote kwenye maisha yako. Maana huwezi kujua kesho yake. Wakati nipo mdogo, nilikuwa naishi na brother mkubwa, na mabraza wengine wanaomfatia. Sasa kwasababu yule braza mkubwa ndo alikuwa Sterling, hawa wengine wanaomfatia nilikuwa nawachukulia poa sana. Siku moja nilikosana na braza yangu mmoja, kwasababu alikuwa hana kitu nikamwambia huwezi niambia kitu maana hutokaa unisaidie kitu maishani. Aloo... kweli hatujui kesho yetu, huyo bro ndo alikuja kuwa kila kitu. Siku moja aliwahi kunikumbusha kuwa uliwahi niambia siwezi kukusaidia kitu, nilibisha na kukataa sijawahi kusema maneno hayo, lakin moyoni nilipata aibu na fedheha kubwa sana. Lakin bro yeye hakuwa mtu wa visasi, alinisamehe na kuona kama ni utoto tu ulikuwa unanisumbua. Lakin nilipata funzo kubwa sana usimdharau mtu.. huwezi jua kesho yake
Braza kote sijacheka ila hapo umekaa chini kwenye zebra crossing. Dah yalikufika aiseeMiaka 14 nyuma ndo nilikuwa najuta ila sasa nashukuru joto limeshuka kidogo.
Ilikuwa siku ya jumamosi mchana binamu yangu mdogo (sehemu kubwa ya maisha yangu hawa ndo wamenilea) akatuma ujumbe “dogo leo nitaenda kwenye sherehe jioni uje nyumbani kulinda nyumba”hii ilikuwa ni mazoea akipata dharura mimi naenda na huu mwaka ndo alikuwa ameowa so walikuwa wakitoka nyumba inabaki tupu ilikuwa nje ya mji Kimara huko so mimi saa kumi kumi nikatoka zangu Mabibo kuelekea,kufika 18:00 jioni nao wakaondoka kumbe mule ndani yupo h/girl ameletwa kumsaidia mkewe jamaa pindi atakapojifungua.
Nikazuga zuga nje moja moja hivi nikaingia ndani,nje hakukaliki mbu pia usalama mdogo so nikaenda kukaa sebuleni nachat na demu wangu (na ndiye mke wangu sasa,nilikuwaga na kisimu changu Nokia kipindi hiko) tukawa tunatumiana sms za kijinga jinga ooh nimeku-miss sijui ukiwa uchi ooh natamani saizi ningekuwa nimelala kwenye kifua chako na blah blah blahs nyiingi kama mnavyojua tena uanaume kichwa cha chini mawimbi yakasoma so kadiri mule ndani anavyopita pita yule bint nikawa napiga hesabu zangu kichwani.
Nikainuka nikajifanya kwenda kumsaidia kazi jikoni ili nimzoee na nimuone vizuri nikakuta ni wa kawaida sana,sura ngumu body yenyewe ya kuazima nikaghairi nikarudi kukaa ile kusoma tena sms za demu wangu nikajikuta namuona huyu mbona mzuri tu japo kwa siku mojaa!muda wa kula nikaingiza vocal ahadi nyiingi mara nitakuowa akaniambia mimi hapa sikuja kuolewa nimekuja mara moja tu dada kaniambia nije nimsaidie rafiki yake akijifungua(mke wa binamu)na kwamba anasubiri kuendelea na kidato cha tano na sita.
To cut a long story nilikuja ku-force usiku kabla ya saa sita tena kwenye corridor maana nilijisemea kwa vyovyote huyu atanisemea kwa boss zake wakirudi ngoja nijipoze hata ikitokea akasema lawama ziwe na sababu,ujinga zaidi niliiloweka mbichi dk mbili sijui tatu zile mixer kung’atwa nikasikia chwaa chwaaa chwaaaaa nikaachia akaondoka zake chumbani kwake kujifungia huku analia hata nilipomgongea kwamba nataka nimuombe msamaha lengo nimuweke tena akagoma,asubuhi kulivyokucha nikamuona alivyo nikawa natafuta sababu ipi hasa ilinifanya nimtake huyu?halafu nikawa namkunjia sura ile kihuni kwamba mimi siyo wa mchezo mchezo....wee nilijuta!!!miezi mitatu mbele nikaitwa Kimara kusema nilichomfanya mwanafunzi ikawa sasa siyo house girl tena,kufika naambiwa ana mimba nilitamani ardhi ipasuke case ameishikilia dada yake mwanasheria aliyesoma na mke wa binamu.
At age 22 kunikuta Ustawi wa Jamii nahudhuria kesi sijatoa matunzo ya mtoto ilikuwa kawaida sana kuna siku nimefika pale nikakuta waliokuwa hawajanizoea wakadhani nimekuja kushtaki wazazi wamekataa kunitunza niliposema kilichonipeleka wakaninyanyapaa sana,hii issue ilinichanganya maana dada mtu alikuwa anatia pressure nimetia mwanafunzi mimba na kwamba anaweza kunifunga wakati wowote matumizi yakilega lega na usawa wenyewe ulikuwa mbovu na binamu yangu akaniambia ameomba kesi isifike polisi akijifungua atamsomesha chochote atakachokita mimi nikomae na malezi zaidi ya hapo hana msaada mwengine.
Kuna siku nililetewa barua za wito tatu mfululizo kutoka Ustawi wa Jamii hiyo ya tatu aliyeniletea (nilikuwa nakimbia kimbia situlii sehemu moja kwa kuogopa kukamatwa) alinikuta katikati ya zebra crossing navuka upande wa pili akanikabidhi cheti na vitisho juu kwamba safari hii nikichomoka sitapata kiboko kama hiyo aisee sikuweza kuhimili nilikaa katikati ya barabara nikapiga ”Uuuwiiiiii” huku machozi yakinitoka shukuru hakukuwa na gari karibu wakaja watu kunitoa naburuzwa miguu haina nguvu wakaniuliza unaumwa nikadanganya nasumbuliwa na tumbo.
Ila sasa dogo amekua nikimuona nafarijika sana mama yake nae alisomeshwa nursing na ameshaolewa huko ila huu msoto sitakaa niusahau.
Enzi za Dr Lubawa,..pia noti feki zimetembea sana pale TUICOHii kitu iligharimu watu pia chuo cha Iringa!
Noma mkuu hadithiwa tu hivi hivi ila yasikukute!Braza kote sijacheka ila hapo umekaa chini kwenye zebra crossing. Dah yalikufika aisee
Hizi dharau zipo sana maofisini
ni moja ya tukio kubwa kutokea shybush. tulisimuoiwa na waliokutana nalo hapa bush kipindi nasomaMimi naenda direct najua hata nikitaja shule wengi wamesoma pale, hii ni story ya kwanza.
Nilisoma shule moja inaitwa Shybush au Shinyanga sec, niliingia kidato cha pili msala ukatokea wananzengo wameiba bomba, Hp akakusanya wanafunzi nakwenda sehem inaitwa maganzo ambapo hapohapo na mimi nilikuwa sijui kama wameenda huko maana walikusanyana baadhi wengine tulikuwa hatujui basi sikuiyo namimi nikasema acha niende huko maganzo eeeebwanawee sinikakutana nao alafu huyo Hp alikuwa na misuli balaa si akanilazimisha nijiunge nao.
Basi baada yakujiunga nao na kusaka bomba tukalikosa maana hapo shuleni hatukuoga almost wiki hivi, basi Hp akaanza kupiga sim shule nzima ije ikichafue maganzo maana si unajua wanafunzi walivyo wakorofi? Duh! Hao wanafunzi wakagoma kwenda maganzo aisee Hp alikasirika wakati tunarudi tukaambiwa tuvae kininja tuchume bakora tukawachape waliobaki shuleni [emoji24][emoji24], masikini wengine walikiwa ni walemavu, aisee walichezea kichapo si cha polepole.
Kesho yake ukawa ni msala maana wengine walilazwa, wengine walivunjika vidole vya miguu, tukaitwa parade nakuambiwa tupige kura walioshiriki aisee nilianza kutetemeka huku nikijisemea si nimo kwenye huu msala? Dah! Bahati nzuri sikuwemo aisee niliponea tundu la sindano na walio gundulika wamefanya hivyo walifukuzwa shule aisee.
Hapana hii sio maraKuna stori kama hii niliambiwa. Mshua alikuwa wa mkoa wa Mara
Eti ulilia hahahahaMkuu hii story yako imenigusa sana hasa haya maneno yako ''Nlichojifunza ukimuelewa mtu usikawie kusema, mwambie akatae mwenyewe na kujifanya unaogopa tongoza kuhofia utapoteza urafiki wenu nimejua ni ujinga.'' Ni ukweli kabisa, yaani ni swala la kuzingatia sana mimi mpaka leo nina kazi nzuri namshukuru Mungu lakini sina furaha upande wa familia japo nilioa.
Ipo hivi, kulikuwa na binti nampenda sana, tulikuwa tunaishi nae mtaa mmoja,(kutokana na mambo ya shule mimi sikuishi sana nyumbani) ila nikirudi tulikuwa tunaonana japo hatukuwahi kuongea. Basi bwana ile kutokujiamini sababu kuna kitu fulani nilikuwa napitia(ugonjwa) changanya na ugumu wa maisha home basi mzee nikawa sina comfidence ya kumface na kumwambia kama nampenda kutokana na jinsi alivyo japo nilimzidi kiumri lakini nilijiona kabisa sitaweza kumhudumia au angenikataa kutokana nilivyokuwa kipindi hicho(ugonjwa wa ngozi), miaka ikaenda, nikawa vizuri tu na michongo ikatiki hatimaye ukafika muda wa kutaka kuoa.
Nishakua kwenye mahusiano kadhaa lakini ulipofika muda wa kuoa nikakumbuka kuna mwanamke huwa nampenda na kwa sababu nipo vizuri basi sasa ndio muda muafaka wa kuongea nae. (Kitu ninachojuta sikutaka kumtuma mtu nilitaka kwenda kuongea nae face to mimi mwenyewe na bahati mbaya sikuwa na connection kwao). Basi kila nikirudi kitaa kutaka tuongee simpati, mara tunapishana muda nao ukaenda sana, mwisho nikakata tamaa, nikajisemea kwanza mtu mwenyewe kwa jinsi alivyo (mzuri na anatakwa na wengi, pengine malaya tu na mpenda pesa) na sijawahi kuongea nae pengine ashapata bwana na kuolewa au ana mahusiano yake.
Basi me nikaendelea na maisha yangu, muda ukafika nikaoa(japo sikumpenda sana mke wangu kama B, nilifanya kama formality tu) maisha yakaendelea, japo sijawahi kuacha kumfuatilia B, iwe nipo mtaani au sipo. Basi siku moja nikiwa kikazi huko mikoa ya kaskazini, ghafla namuona dada ambaye nahisi namjua, kumsogelea hivi nikaita jina B, kageuka nikajitambulisha pale mpaka akanikumbuka tukabadilishana namba kisha baadaye tukawasiliana na kukubaliana siku ya pili tukutane kwa ajili ya kupiga story zaidi.
Siku imefika mzee, nikamtoa out B wangu(nilikuwa najisemea hivyo toka kitaa sababu niliamini yeye ni wangu), katika kupiga story nikamchana live mimi nilikuwa nakukubali toka kitambo B ila niliogopa kukwambia kutokana na hivi na hivi, .....alicheka sana akajibu uoga wako tu mimi sipo kama ulivyodhani (ni kweli nilikuja kujua baadaye) nikapiga mistari pale mtoto mzuri kaelewa bila shida kabisa japo hakusema lakini indirect nikaona tayari, sikuona ajabu sababu ya ile trust ya kujuana toka kitaa. Kwa huo mji alikuwa anakaa kwa ndugu yake basi ikawa nikimhitaji tunakutana na penzi likashamiri, wakati huo mambo ya kama nimeoa sijamwambia ila nilimwambia kuwa kuna mwanamke nilizaa nae tu hivyo tunalea mtoto, na yeye pia aliniambia kwamba alikuwa na mtoto tayari(moja moja hapo japo roho iliumia hapa kusikia kazalishwa).Kazi ikaisha nikarudi nilikotoka
Baada ya muda kule kaskazini kulitokea nafasi na kwa sababu mimi nilikuwa naenda mara kwa mara boss akapendekeza mimi ndio nihamie kule(Nilifurahi sana kwenda kuungana na B wangu) , basi ikawa kama nimemuoa B wangu, pika na kupakua, kahama kwa ndugu yake kahamia kwangu tunaishi. Maisha yameendelea, mtoto wake alimuacha kule hometown tulipokua tunakaa kwa wazee wake. Sababu nampenda niliishi na B wangu vizuri sana mpaka akawa ananilaumu kwa nini sikumwambia/sikumtongoza mapema kipindi kile maana kapitia mengi sana.Nikamwambia B wangu, mipango ya Mungu huwezi jua maana yeye ndio mpangaji wa kila kitu.
SIRI YA KUOA INAFICHUKA
Njia ya muongo fupi, siku ya siku ikawadia na katika makosa nilyofanya ni kumruhusu B kuwa anapekua simu yangu nikiwepo (nilitaka asiwe na wasiwasi na mimi japo nilipanga kuja kumuelezea ukweli baadaye kidogo). Kuna namna nillisave namba ya wife ili asishtuke lakini kumbe alishaanza kuchunguza kuhusu ile namba maana aliona mawasiliano ni mara kwa mara, haipiti siku lazima tuongee. Basi kumbe ile simu yangu huwa nikifuta meseji za kawaida zinakaa recycle bin kwanza mpaka uki clear ndio zinaondoka. Kumbe kupekua pekua kwake kaenda mpaka recycle bin na kaona kila kitu. Nakumbuka siku hiyo nimetoka kuoga nakuta mtu analia kwa uchungu namuuliza nini, anasema kwa nini hukuniambia kama umeoa? Kwa nini mimi maisha yangu ya mapenzi ni mikosi tu, kwa nini.... alilia kwa uchungu sana B wangu mpaka na mimi nikalia, tulilia sana siku hiyo kwa uchungu.
Tulibembelezana, maumivu yakapungua kidogo lakini tukaapa kutoachana kwa namna yoyote ile. To be honest sikuwa nampenda mke wangu kama ninavyompenda B (Mungu anajua na anisamehe). Na hilo swala la kutompenda hata yeye huwa ananiambia toka mwanzo. Imebidi niishi na wanawake wawili bila kupenda japo sikuwahi kuwaza au kupanga hivyo. Mke mmoja na mchepuko mmoja wa kudumu, B wangu. Nilijitahidi kuachana na B lakini ilishindikana, na yeye ndio huwa anasema tuachane tu kila mtu aendelee na maisha yake lakini nimeshindwa (hajaniroga ni mapenzi yangu tu kwake) kuona anaishi na mwanaume mwingine.
Kinachonisumbua sijui wanaooa wanawake wengi wanaweza vipi, mimi nimeshindwa kubalance upendo. Nimeelemea kwa B zaidi kuliko mke wangu(shame on me). Mke wangu kanizalia watoto wawili wazuri lakini nawapenda wanangu sio yeye, roho huwa inanisuta sana, yaani Binti wa watu anajitahidi kutimiza majukumu kama mke lakini wapi. Mahitaji namtimizia pamoja na watoto hakuna malalamiko, malalamiko yapo kwenye upendo tu. Mbaya zaidi ilibidi nimueleze tu kwamba naishi na mwanamke mwingine huku nilipo maana sikuhamia na familia, alilia sana na huwa anaumia sana.
Sistahili kuwa na huyu dada kwa ninayomfanyia kiukweli, angekuwa mwingine angeshaniacha lakini yupo na mimi tu, saa zingine mpaka huwa nahisi atakuja kuniua maana uvumilivu huu sio wa kawaida. Huwa nawaza labda tuachane halafu nimuachie kila kitu na watoto mimi nianze maisha upya ili asisononeke sana? Nimejilazimsha kumpenda nimeshindwa mimi ninampenda B kuliko yeye (Mungu anajua)
B, yeye huwa simlaumu maana alishanipa option kwamba tuachane lakini kwa ajili ya amani yangu ya moyo nilimwambia siwezi kuishi bila yeye, na ukweli kabisa maana alivyonipa background yake tu maumivu niliyoyapata mpaka nilitafuta watu wa kunishauri hao wakubwa wa mitandaoni, na nimeshindwa kuachana nae. Hilo swala tu la kusikia yupo na mwanaume mwingine au aliwahi kuwa na mwanaume mwingine huwa linaniumiza sana yaani kumuacha aende naumia(sipo tayari kumuona na mwanaume mwingine) na akibaki pia sometimes huwa naumia(ananikumbusha mambo ya nyuma, jinsi nilivyoshinwa kujiamini na kumtongoza). Mbaya zaidi yeye pia huwa ananiambia anajihisi kupata dhambi kuishi na mume wa mtu, na anahisi anashindwa kushea mapenzi, huwa nambembeleza anatulia lakini huwa anajikaza tu najua.
Huwa nipo njia panda kwa kweli, nina kazi nzuri lakini likija swala la familia huwa napata shida, yaani kuna muda mpaka nashindwa kufanya kazi vizuri.
NB Kuna vitu wewe unaweza kuhisi ni vidogo lakini mwenzako vikamtesa
MAJUTO KUHUSU B WANGU
Nachoweza kusisitiza hapa, mwanamke ukimpenda saa zingine bora usimuulize background yake, hicho ndio kinachonifanya niumie mpaka nitaingia kaburini.
Basi katika kuulizana ulizana akanitajia mwanaume wake wa kwanza (namjua), na anasema hakumpenda sana ila ni ushawishi tu wa ndugu zake jamaa aliutumia na ndio maana hata hawakudumu nae, akaja jamaa mwingine alikuja kuwa msanii na ndiye alimzalisha mtoto. Mwingine ni boda boda (alitake advantage baada ya B kuzalishwa na msanii na hakuwa anamjali)..........
MAUMIVU YANGU
Kinachoniuma mpaka leo, B nilikuwa namchukulia labda ni malaya sababu ya uzuri wake na kutakwa na wengi lakini aliweza kujitunza (kutunza usichana wake) mpaka miaka hiyo mimi namuona mkubwa, means ningempata ningekuwa ndio mwanaume wake wa kwanza. Hapa maumivu ambayo huwa nayapata hayaelezeki, huwa natamani siku zirudi nyuma mpaka ule mwaka tu kisha nimtongoze (Na huo mwaka huwa sipendi kuusikia, yaani kama kuna tukio lilifanyika huo mwaka au kuna kitu cha kukumbuka huo mwaka huwa sitaki kukumbuka wala kusikia).
Yaani boda boda(inauma japo ni binadamu mwenzangu, mnisamehe) alinizidi ujasiri mimi wa kuongea na mwanamke ninayempenda mpaka akatembea nae(yaani mara nyingine nikionaga boda boda huwa wananikumbusha jamaa aliyetembea na B wangu, imagine kuna bodaboda wangapi)
Nashindwa kumruhusu B aendelee na maisha yake sababu nampenda lakini pia kubaki kwake mara nyingine ananikumbusha nyuma hivyo naumia pia.
Siwezi kabisa kusikiliza nyimbo za huyo msanii, hata iwe nzuri vipi sababu tu alizaa na B wangu, kuna memory huwa zinanijia mbaya sababu namjua kitambo.
Nimejikuta siwezi kabisa kurudi mtaani kwetu tena au hometown sababu nahisi kuna vitu nitavikumbuka vitaniumiza
Ubaya kila ninachopitia ni uzembe wangu mwenyewe, sina wa kumlaumu, nilishaongea na watu mbali mbali lakini nimeshindwa kupona maumivu ya B wangu, mara nyingine nahisi bora nisingemuona au kuishi nae mtaa mmoja.
JUTO KUU ni kwa nini sikumtongoza mapema B wangu, pengine ningeepusha mengi.
Watakuja jutia sana hizo dharau zao.. huwezi jua keshoHizi dharau zipo sana maofisini
Wewe ndo ulimuua mkeo kwa ajili ya sonona. Halafu bado unamringishia huko aliko amesoma text yako kwa uchungu sana. Atakuwa anatokwa na machozi tu...unaendelea kumuumiza na sasa unaona haitoshi unamringishia kabisa kuwa yule mchepuko mliyeshirikiana naye kumuua mkeo...umeamua kumuoa kabisa... We jamaa huna huruma..unaendelea kumtesa marehemu unataka aendelee kufa tu kila mara? Futa yale maneno yako ya kifedhuli na umwombe msamaha...anaweza akaamua kukujia kabisa.... Akueleze mmemfanyia unyama sanaAlikuwa mchepuko hii ndo faida ya kuwa na mchepuko pindi inapotokea km hivi huwa wanasaidia sn huyu mchepuko alikuwa anajua wanangu kitambo hata watoto nilikuwa nawatuma kwake