Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Mimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
Aisee wewe kujisamehe hili suala ni ngumu sanaa pole sana mkuu... daah ulimi huu hatari sana
 
Mimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
Aisee hatari sana sema ulifanya jambo jema outcomes ndio ilikuwa changamoto
 
Mimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Duh! hebu fanya kuomba toba mkuu japo lengo lako halikua baya,lakini naamini Kuna majuto unaishi nayo moyoni,tembelea walau kaburi la dada mara chache kwa mwaka umuombee tu angalau uchungu utapungua
 
dogo hana kosa kwa mapenzi ya kweli kwa dada yake aliyekuwa amejaa kiranga,akachukua uamuzi sahihi kushitaki,baba nayeye kwa upendo na uchungu wa uzazi hasira zikamchukua,kilichomuua dada ni kile alichokwenda kukitafuta(mimba).

yote kwa yote kila mmoja alisimama upande wake,
 
Mimi nakumbuka kipindi nasoma darasa la tano na Dada yangu alikuwa kidato cha kwanza .siku moja Dada alitutoroka ndani akaenda kulala kwa mwanaume asubui saa 12 akarudi huku mzee hajui basi pale mimi so nikamsemelea kwa mzee aisee mzee alimtandika sister hadi akazimia Baadae akafufuka , kumbe Dada alikuwa na mimba kidogo Sasa kutoka na kipigo ile mimba ikaharibika Akapelekwa hospital daah aisee Dada akafariki hilo naumia hadi leo bora nisinge sema na Baba nae akafungwa Jela miak 9 bahati zuri alotolewa kwa msamaha wa Rais.
Pole sana, tembelea Kaburi la Dada hata kwa mwezi mara moja kama halipo mbali alafu katika maombi yako usisahau kumuombea na yeye huko alipo
 
KIFO CHA MWANANGU SUCCESS
Alikuwa na sickle cell so damu kwake lilikuwa tatzo na sjui ugonjwa huo aliupata wp. Sku moja jion nikiwa nimetulia ndan akaja ndan kama anaugulia vile nkamwambia panda ktandan ulale, akapanda mi nikajiandaa nkatoka mama ake hakuwepo. Nakumbuka nlirud kwny saa nne usku nikakuta analia sn analalama kama ana maumivu ya tumbo kumulza mama ake anasema amerud jion kakuta mtoto amelala nje kwny mkeka analia ndo mpk mda huo aisee nlishangaa why hakumpeleka hsptl hapo imefka saa 6 usku hakika hatukulala na wala mtoto hakulala tuliamka alfajiri mama ake nkamsndkza akapanda gari to hsptl, wakalazwa mama ake alinitafuta mchana akasema niende wanpime damu ili mtoto aongezewe kwan damu yake haipo,nkamwambia muda huo n ngumu,bs wakapelekwa muhimbili sjui ilikuaje ila walimuwekea damu ghafla magpo ya moyo yakabadilika wakaichomoa,at last mtoto alivimba macho sku macho yamekaa level kesho yake mwanangu alifariki mpk leo huwa namlilia mtoto wng na hata hp naandka huku naumia sn. Forgive me SUCCESS.
 
MWANAMKE WA KIHA
Wkt npo kdato cha 5 nlimpenda mdada mmoja muha black beauty hv,saut tamu, hips htr. Nikamtongoza kachomoa na alihama shule, nlikuja kutana nae tuko chuo mi udom ye udsm nikatongoza tena akatick uzuri nlikua naish dsm. Nikaanza chakata mbususu we sjui ilikuaje maisha yng yalibadilika yakawa ya hovyo sn chuo nikawa sieleweka kila wkend npo dar kwa demu, mbaya zaid yule mdada akaniteka nikawa sina saut kwake nlikuwa radhi nimkabz boom mi niishi kwa kuungaunga tu. Hakika aliniteka sku 1 alinambia hana hela ya kula nimtumie na mi kwny akaunt nlibakiwa na elf 20 tu nikamtumia yote, nikabak kuungaunga na kumsumbua mzee wng. Baada ya kama sku 2 udsm wakapata boom, huku udom bado nikamwambia niazme elf 50 bs we mdada alinitukana hv TAFUTA MWANAUME AKUFIRE AKUPE HIYO HELA niliumia sn nikanyenyekea na kuomb msamaha wkt mi ndo nimetukanwa ili asiniache. Najuta sn kudate na yule mdada nlizaa nae binti ambaye kafanana na mimi kila ktu mpk kutembea.
 
Na sijawahi,afu kwann nifanye ivo mkuu
Mkuu kuna thread yako humu, yenye jina la to yeye unalosema umebadili. Hiyo thread ulikuwa unasema ulifanya huo mchezo baada ya kuwa lonely sn after kuachana na mwanaume fulan ulikaa muda mrefu hujapata dushe so ukahamia huko kwa maelezo yako ukadai sasa umeolewa na mambo yako ok. Why nikusngzie mkuu? Unaonekana we ni mtamu sn mkuu sjui why naona ivo.
 
Huwa sigeuki nyuma nikawa nguzo ya chumvi.Asante
 
Back
Top Bottom