Kisa Kizito cha Mzee aliyemnyooshea Bakora Mwalimu Nyerere

Kisa Kizito cha Mzee aliyemnyooshea Bakora Mwalimu Nyerere

Umeisikiliza clip? Wapi ulipoona kuna chuki ya Waislam kwa nyerere?
. Anayeunga mkono Waislam wasipige kura na anayetetea Waislam wapige kura, nani mwenye chuki na wenzake hapo?
Kwani hiyo clip wapi imesema waislamu wasipige kura? Imesema waliofika darasa fulani tu ndo wapige kura. Hao wasiofika hilo darasa walikuwa ni waislamu pakee??? Hakukuwa na wakristo ambao hawakuwa na elimu iliyotajwa kwamba ndo awe nayo anayepiga kura..!!?? SHIDA KUBWA NI KWAMBA MMEZOWEA KULALAMIKA KWENYE KILA KITU. NA HILI NI JAMBO LA KIHISTORIA..!!
 
Kumbe malalamiko ya kwamba waislamu hawajasoma yapo tangu enzi na enzi..!! Maana inaonyesha sababu ya kutotaka kupiga kura kwa namna ile iliyosemwa na Nyerere, ni ile hali ya wao kutosoma, na waislamu wenyewe walilitambua hilo..!!

Nikuulize haya;
1. Hao walikuwa wanamtenga huyo 'MTAKA DINI', hakukuwa na waislamu..!!??? Au walikuwa wakristo pekee..!!???

2. Huoni kwamba kwa watu wote kukubali kumtenga bwana 'MTAKA DINI', Nyerere alikuwa na nguvu sana kiasi cha hata waislamu wenyewe kumkubali?

3. Na hao waislamu waliokubali kumtenga bwana 'MTAKA DINI', walimtazama Nyerere kama 'Mungu' wao.!!?? Au wakristo pekee ndo walimtazama Nyerere kama 'Mungu' wao..!!??

Hata kama Mohamed Said naye ana majibu ya maswali haya, namwomba anipe..
Ohoo, kwa hiyo unanambia ubaguzi wa waliosoma na wasiosoma ndiyo ulikuwa unapandikizwa.

Nimekuelewa ingawa sikubaliani na fikra zako.
 
Ohoo, kwa hiyo unanambia ubaguzi wa waliosoma na wasiosoma ndiyo ulikuwa unapandikizwa.

Nimekuelewa ingawa sikubaliani na fikra zako.
Kwahiyo, hapa wewe mwenyewe unaona ndo umejibu maswali yangu..!!??

Leo hii ile ya kusema ili uwe mbunge ni lazima ujuwe kusoma na kuandika, JE, HII UNAITAZAMA KAMA UBAGUZI KWA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA..!!??? Hili nalo unijibu
 
Hebu toa unanii wako hapaaa.

Miaka hiyo ya 60 kama unakumbuka mambo makubwa kama haya jua ulikua na umri wa miaka 10+ means ulizaliwa 50’s.Haya mpaka leo ni 24 means una 74 yrs. Suprisingly unasema unaitafuta 70!.

Hii story umekopy umeshindwa hata kuedit bibi wewe.
Sijui kwa wengine ila binafsi yangu nakumbuka masuala mengi kuanzia umri wa 6+ nilipoanza darasa la kwanza na mengine mengi japo sio sana kipindi nasoma vidudu kabla ya hapo kama mitaa na watu ambao tulikuwa nao karibu ikiwemo marafiki wa utotoni

Hivyo kwa point ya Bi Mkubwa nakubaliana nae 100 sio lazima uwe 10+ kukumbuka masuala ya utoto
 
Huwa najiuliza kwa nini waislamu mnamchukia nyerere, sipati majibu

Waislam ni wana uzao uliofitinika.
Hata wao wenyewe hawapendani.

Waislam hata Mungu wa kweli aliyeumba viumbe wote mbinguni na duniani hawampendi ,wanampenda Shetani na Makini na dini yao ambayo pia ni dini ya shetani.
 
Kwahiyo, hapa wewe mwenyewe unaona ndo umejibu maswali yangu..!!??

Leo hii ile ya kusema ili uwe mbunge ni lazima ujuwe kusoma na kuandika, JE, HII UNAITAZAMA KAMA UBAGUZI KWA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA..!!??? Hili nalo unijibu
Anhaa kumbe, basi sawa.
 
Kwahiyo, hapa wewe mwenyewe unaona ndo umejibu maswali yangu..!!??

Leo hii ile ya kusema ili uwe mbunge ni lazima ujuwe kusoma na kuandika, JE, HII UNAITAZAMA KAMA UBAGUZI KWA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA..!!??? Hili nalo unijibu

Ukiwa madini unakua kipofu.
Yesu aliwaita vipofu maana Udini ni mifumo ya kidunia.
Na hizi historia za upande mmoja bila kujua harakati kubwa za kanisa kupigania haki bila kujali dini wanaoficha . Mpaka Nyerere akaacha kazi ili kupigania uhuru wa watu wanaona ni ubaya pia.
Hawa jamaa wana chuki kubwa sana. Angalia kule Sudani walivyowabagua waafrika na dini zao mpaka wakaamua kupambana . Leo hapa Tanzania wetu wanaishi kwa umoja lakini kuna makundi yanabagua wafu kidini bila kujali .

Utasikia benki ya Kiislam isiyo na riba ni wao kwa wao .

Ikitokea ajira kwenye mabenki yenye riba na mashirika ya bima wanajazana kuomba ajira na kuwa mpaka mameneja ,wakati huo huo wanasema riba ni dhambi kubwa sana lakini wanalipwa mishahara kwa riba . Wanafiki wakubwa. Biashara za mihadarati nyingi wanafanya wao lakini kwa unafiki wanasema pesa zake ni halali zilijenga msikiti . Unafiki huo ni wa kishetani sio Mungu wa kweli.

Hawa hata uwape dunia nzima bado watasema wakristo wamepewa hizo nyota zote za angani kwa nini wao wapewe dunia tu ,kujenga tu dhana ya kuonewa .

Marais waislam wameshika madaraka wakiwa na full power lakini hakuna sheria yoyote waliyoiweka ya kuondoa hicho wanachokiita ubaguzi zaidi ya kujilimbikizia mali na kujificha nyuma ya matajiri wa kiarabu .

Nyerere anawezaje kuupendelea Ukristo kuliko familia yake na yeye mwenyewe.

Nyerere angekua na Udini kwanza tungeanza kuona ufamilia ,ukabila wake na ubinafsi wake wa kujilimbikizia mali kama wale wenzake.
Hatujawahi hata kumwona Nyerere akitoa maburungutu ya pesa kujenga Makanisa wala shule za kanisa zaidi ya kujenga shule kila kijiji nchi nzima kuweka usawa katika mazingira ya watu wengi kuwa na elimu duni kwa wakati huo.
Hakuna ushahidi wa mwalimu kuanzisha harakati za kudai uhuru wa kidini kwa sababu alijua madhara yake.

Nyerere ndiye aliyefukuza Wazungu ambao walileta ukristo .
Hakuna muislam anayeweza hata kuwapinga waarabu mpaka leo.Muarabu hata akitaka jengo la ikulu waislam watasema apewe. Nyerere aliwafukuza na kutaifisha mali zao bila kujali rangi na dini zao.

Wahuni na wauaji na magaidi wanaeneza ugaidi wao kwa kumtukana na kumlaumu Nyerere baba wa Taifa na mtu mwadilifu na Mtakatifu na mzalendo wa kweli .

Huwa najiuliza kwa nini waislamu mnamchukia nyerere, sipati majibu
 
Dini ni bangi kwa binadamu asiyejielewa. Huyu babu Mohamed Said ana uraibu wa dini kama mvuta bangi tu
Hui...
Sijui kipi kinakughadhibisha.

Mimi naona fahari kuwanasibisha wazee wangu na Julius Nyerere na kueleza historia yao.

Wewe historia hii hupendi kuisikia ns hutaki kabisa iwepo.

Unadai historia hii ni udini.

Nafahamishe unatakaje katika haya mawili.

Kuwa tuifute historia hii?

Au tuirejeshe historia ya zamani ambayo Waislam hawakuwemo?
 
Kimsingi huyu jamaa ni mvivu.
Na watu kama hao na wanaomzunguka ni watu wa gahawa tu na kupiga stori.
Jidu,
Siku mbili zilizopita katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre nimetunukiwa "Special Award" kwa mchango wangu katika uandishi wa historia ya uhuru wa Tanganyika.
 
Hui...
Sijui kipi kinakughadhibisha.

Mimi naona fahari kuwanasibisha wazee wangu na Julius Nyerere na kueleza historia yao.

Wewe historia hii hupendi kuisikia ns hutaki kabisa iwepo.

Unadai historia hii ni udini.

Nafahamishe unatakaje katika haya mawili.

Kuwa tuifute historia hii?

Au tuirejeshe historia ya zamani ambayo Waislam hawakuwemo?
Wewe endelea kuandika hekaya zako kwa vile watu wa kuzisoma unao. Maisha yako ni uislamu tu hakuna kingine unajuwa, labda na kupiga muziki maana siku moja ulipost picha unapiga keyboard
 
Jioneeni hii video, sitaki kuongeza langu kwa sasa. Naomba Alama Alama @Mohamed Said aje mwenyewe kupanguwa risasi, maana najuwa huku kuna watu kwao, nyerere ndiyo kama mungu wao wa duniani:
Huyo Mudy Saidi ni mbeya, muongo muongo mnoo. Halafu stori zote za uzushi, kutunga au "kuambiwa", hakuna aliyosikia mwenyewe!!

Eti kura 3 zililenga kuzuia watu wasiosoma wa dini yake kupiga kura!

Sasa angetuambia miaka hiyo ya kabla ya uhuru wa Tanganyika kulikuwa na Wakristo wangapi waliokuwa wamesoma na walikuwa wanamiliki angalau paundi 400 walizotakiwa kuwa nazo?!!! Ukweli ni kuwa hawakuwepo.

Watu wenye udini wa kipuuzi kama huyo mzee wanastahili kupuuzwa.

Hao Mtemvu na mwenzie Kadiir walijitoa TANU wakaanzisha chama chao, mbona waliangukia pua? Ushawishi wao ulienda wapi?!!

Msimamo wa Nyerere ulitokana na msukumo wa uzalendo, siyo dini kama hawa wadini wanavyojaribu kudanganya watu humu.

Kuhusu kisa hicho, angalau huyu hapa chini kasema KWELI..

View: https://youtube.com/watch?v=FyLqYsCxdNE&si=VFE4l97v2q5NV1tV
 
Wewe endelea kuandika hekaya zako kwa vile watu wa kuzisoma unao. Maisha yako ni uislamu tu hakuna kingine unajuwa, labda na kupiga muziki maana siku moja ulipost picha unapiga keyboard
Hui...
Mimi sitakujibu kuanzia sasa kwa kuwa umetoka katika mjadala wa kistaarabu unaleta kunishambulia mimi na Uislam wangu.
 
Huyo Mudy Saidi ni mbeya, muongo muongo mnoo. Halafu stori zote za kuambiwa na wazushi, hakuna aliyosikia mwenyewe!!

Eti kura 3 zililenga kuzuia watu wasiosoma wa dini yake kupiga kura!

Sasa angetuambia miaka hiyo ya kabla ya uhuru wa Tanganyika kulikuwa na Wakristo wangapi waliokuwa wamesoma na walikuwa wanamiliki angalau paundi 400 walizotakiwa kuwa nazo?!!! Ukweli ni kuwa hawakuwepo.

Watu wenye udini wa kipuuzi kama huyo mzee wanastahili kupuuzwa.

Hao Mtemvu na mwenzie Kadiir walijitoa TANU wakaanzisha chama chao, mbona waliangukia pua? Ushawishi wao ulienda wapi?!!

Msimamo wa Nyerere ulitokana na msukumo wa uzalendo, siyo dini kama hawa wadini wanavyojaribu kudanganya watu humu.

Kuhusu kisa hicho, angalau huyu hapa chini kasema KWELI..

View: https://youtube.com/watch?v=FyLqYsCxdNE&si=VFE4l97v2q5NV1tV

Kwanza wacha name calling, jifunze kutokubadili majina ya watu, sisi siyo kondoo.
 
Kwanza wacha name calling, jifunze kutokubadili majina ya watu, sisi siyo kondoo.
Acha double standard.
Angalia post ya hapo juu #138, huyo mwenzio kafupisha jina la mtu, kaandika 'Hui'.
Au yeye tu ndo ana haki ya kufupisha majina ya wengine?!!
 
Acha double standard.
Angalia post ya hapo juu #138, huyo mwenzio kafupisha jina la mtu, kaandika 'Hui'.
Au yeye tu ndo ana haki ya kufupisha majina ya wengine?!!
Nimekwambia, sisi siyo kondoo, usibadili majina yetu.

Nyinyi mmezowea, hata Issa, mmembadili jina, sisi hatuna mafundisha hayo, na usiogope kumwita Mohamed Said.
 
Back
Top Bottom