Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia huko peponi ni kudinyana tuJiheshimu, ingawa unaitwa kondoo lakoini usiwe kondoo kikweli ukanya popote tu.
Siku nitakuja na somo kwa nini mudi boy siyo mtume wala yeye mwenyewe alikuwa ajui mtume ni kitu gani ....pia nitaonyesha ni wapi ndani ya uislamu wamepachika maneno maana hua mnasema ni ukristo tu ndiyo umechezewa kwa kupachikwa maneno ..bali mimi nasema dini zote mbili zimechezewa tena sana....mfano wa jambo moja lililo pachikwa ndani ya uislamu ni sheria wanayo dai kuwa mtu akiacha uislamu na kwenda dini nyingine auliwe....ushahidi wa hii sheria kuwa ya uongo upo ndani ya uislamu wenyewe kumuhusu mudi boy.Jiheshimu, ingawa unaitwa kondoo lakoini usiwe kondoo kikweli ukanya popote tu.
Huyo Mudy Saidi ni mbeya, muongo muongo mnoo. Halafu stori zote za kuambiwa na wazushi, hakuna aliyosikia mwenyewe!!
Eti kura 3 zililenga kuzuia watu wasiosoma wa dini yake kupiga kura!
Sasa angetuambia miaka hiyo ya kabla ya uhuru wa Tanganyika kulikuwa na Wakristo wangapi waliokuwa wamesoma na walikuwa wanamiliki angalau paundi 400 walizotakiwa kuwa nazo?!!! Ukweli ni kuwa hawakuwepo.
Watu wenye udini wa kipuuzi kama huyo mzee wanastahili kupuuzwa.
Hao Mtemvu na mwenzie Kadiir walijitoa TANU wakaanzisha chama chao, mbona waliangukia pua? Ushawishi wao ulienda wapi?!!
Msimamo wa Nyerere ulitokana na msukumo wa uzalendo, siyo dini kama hawa wadini wanavyojaribu kudanganya watu.
Kuhusu kisa hicho, angalau huyu hapa chini kasema KWELI..
View: https://youtube.com/watch?v=FyLqYsCxdNE&si=VFE4l97v2q5NV1tV
Kwanza sina hasira mzee, ila nasikitishwa na uwasilishaji wako wa simulizi unaolazimisha kuleta udini hata kwa mambo yasiyo ya kidini.Anti...
Ni bahati mbaya kuwa unaandika ukiwa na hasira.
Unaniita "Mudy" na kusema mimi ni "mbeya."
Huu ni mjadala wa kisomi na una lugha na masharti yake.
Unasema nina stori za kuambiwa.
Ni kweli mengi nimeelezwa na wahusika wenyewe katika utafiti kama "primary source."
Lakini mengi nimesoma katika Nyaraka za Sykes zinazokwenda nyuma sasa miaka zaidi ya 100.
Kama kinachokuudhi ni Uislam katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika utaghadhibika maisha yako yote kwani ndiyo historia ilivyo haiwezi kufutika.
Angalia mfano huu:
Waasisi wa African Association ni hawa: Kleist Abdallah Sykes, Mzee bin Sudi, Ibrahim Hamisi, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Suleiman Majisu, Raikes Kusi, Rawson Watts na Cecil Matola.
Hii ni 1929.
Waislam katika kundi hilo wakaunda Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) 1933.
Vyama hivi viwili vikashirikiana katika kupambana na ukoloni na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nimeandika kitabu kizima kuhusu Kura Tatu na nina video kadhaa za somo hili.
Mzungumzaji katika video uliyoweka ni mwanafunzi wangu.
Yote aliyozungumza kuhusu Kura Tatu kajifunza kwangu ila kakosea kidogo.
Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU hakujitoa TANU alifukuzwa kwa kosa la kuchanganya dini na siasa.
Sheikh Suleiman Takadir alifutwa katika historia ya uhuru mimi ndiye niliyemtafiti na kuandika historia yake na ugomvi wake na Julius Nyerere kuhusu Kura Tatu.
Mfano wa msemo wa wapinzani wa Kura Tatu kuwa kuingia katika uchaguzi ni sawa na kujipaka "kinyesi," mzungumzaji wetu kausikia kutoka kwangu.
Mimi hayo kanieleza Germano Pacha mmoja katika waasisi 17 wa TANU 1954 nilipokwenda Tabora kumhoji wakati wa utafiti wangu.
Yapo mengi.
Sawa, kanisomee halbadiriHui...
Mimi sitakujibu kuanzia sasa kwa kuwa umetoka katika mjadala wa kistaarabu unaleta kunishambulia mimi na Uislam wangu.
Antimatter,Acha double standard.
Angalia post ya hapo juu #138, huyo mwenzio kafupisha jina la mtu, kaandika 'Hui'.
Au yeye tu ndo ana haki ya kufupisha majina ya wengine?!!
Antimatter,Kwanza sina hasira mzee, ila nasikitishwa na uwasilishaji wako wa simulizi unaolazimisha kuleta udini hata kwa mambo yasiyo ya kidini.
Ni kawaida yako kuchukua angle ya dini na ku "play victim" kuwa dini yako imeonewa, na kubambikia wale wa dini zingine tuhuma za kufikirika hata pale isipostahili.
Ungekuwa neutral ungeeleweka. Sijawahi kuona unakosoa watu wa dini yako, au wao ni malaika?
Kwa hiyo wafuasi wa dini zingine tu ndiyo wabaya kwa mambo yote na hawana jema hata moja?!!
= Muhammad, sala na amani za Allah ziwe juu yake.Siku nitakuja na somo kwa nini mudi boy siyo mtume wala yeye mwenyewe alikuwa ajui mtume ni kitu gani ....pia nitaonyesha ni wapi ndani ya uislamu wamepachika maneno maana hua mnasema ni ukristo tu ndiyo umechezewa kwa kupachikwa maneno ..bali mimi nasema dini zote mbili zimechezewa tena sana....mfano wa jambo moja lililo pachikwa ndani ya uislamu ni sheria wanayo dai kuwa mtu akiacha uislamu na kwenda dini nyingine auliwe....ushahidi wa hii sheria kuwa ya uongo upo ndani ya uislamu wenyewe kumuhusu mudi boy.
Lwiva,Siku nitakuja na somo kwa nini mudi boy siyo mtume wala yeye mwenyewe alikuwa ajui mtume ni kitu gani ....pia nitaonyesha ni wapi ndani ya uislamu wamepachika maneno maana hua mnasema ni ukristo tu ndiyo umechezewa kwa kupachikwa maneno ..bali mimi nasema dini zote mbili zimechezewa tena sana....mfano wa jambo moja lililo pachikwa ndani ya uislamu ni sheria wanayo dai kuwa mtu akiacha uislamu na kwenda dini nyingine auliwe....ushahidi wa hii sheria kuwa ya uongo upo ndani ya uislamu wenyewe kumuhusu mudi boy.
Sikia hii ng'ombe....wewe unamweshimu ng'ombe kama mungu ..maana ng'ombe ni mungu wa waindi?..Lwiva,
Nataka nikufahamishe kitu na ikiwa wewe ni muungwana na umeleleka utatambua na utaacha kufanya jambo hilo.
Ni jambo baya kupita kiasi kufanya dhihaka na Mtume Muhammad SAW.
Jambo baya sana.
Akili iliyotulia ingekuongoza katika kujua hili kwa kuangalia tu jinsi Waislam unaoishinao wanavyomheshimu kama Mtume wa Mwenyezi Mungu.
Hili ufanyalo ni jambo geni nchini petu.
Halikupata kuwepo hapo zamani.
Mimi nimezaliwa Dar es Salaam mjini nimewakuta Wakristo wanaishi na wazee wetu kwa heshima.
Nakusihi fata nyayo za wazee wako.
Andika upendavyo lakini muheshimu Muhammad SAW.
Tafadhali mtaje kama anavyostahili kutajwa.