Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mele...Nyerere baba wa taifa
hata mimi nilijua hilo shikamoo dadaKumbe FaizaFoxy muhenga.
Hii video clip nilipokuwa naisikiliza mwili ulikuwa unanisisimka, nikakumbuka utoto miaka ya mwanzo ya 60 pale kwetu Lumumba na wazee niliokua nawaona pale wakija ofisi ya TANU na Nyerere akiwemo, sio Nyerere wa sasa, kijana kabisa mtanashati.
Namkumbuka kwa sababu sigara akinunuwa dukani kwetu na akifahamiana sana na shangazi yangu hapo nyumbani, Mrehemu bi Mariam, na mdogo wake amabe ni mjombangu. Alikua kidogo zimemzidi sana. Mwenyezi Mungu amrehemu maarufu "Mjomba Husseni".
Dah, nimemkumbuka mpaka Mzee Amri na sauti lake kama ana makohozi mdomoni, pale jirani yetu kwa mtaa wa udoe. Nakumbuka akianika betri kama za pikipiki zamani ndio za redio yake.
Jioneeni hii video, sitaki kuongeza langu kwa sasa. Naomba Alama Alama Mohamed Said aje mwenyewe kupanguwa risasi, maana najuwa huku kuna watu kwao, nyerere ndiyo kama mungu wao wa duniani:
View: https://youtu.be/JNxS7UpEIRo?si=0ke-vQap9jevRc03
Hii habari nzito sana.
Nimeliona nini? Wacha ukondoo kwa kucheza na maneno.Bora na wewe umeona hii issue.
Jaribu kumrai mzee Mohamed Said aandike zaidi vitabu vya historia ya uhuru wa Tanganyika.
Tumelishwa matangopori hadi tunashiriki laana ya kupuuzia jasho la wale walioasisi harakati za uhuru wetu.
Lait ungenielewa usingelazimisha ushabiki wa kizayuniNimeliona nini? Wacha ukondoo kwa kucheza na maneno.
Kuna anaeiandika historia ya ukweli ya uhuru wa Tanganyika zaidi ya Alama Mohamed Said?
Hata mada hii nimeianzisha kwa kujona na ajili ya hiyo video yake , ipo post namba moja.
Au data mpaka shemeji arudi kazini awashe hotspot yake?
Acha kukariri kama kasuku wewe msifikiri biblia imeandikwa na wewe unakariri huwa ina mafumbo kwa hiyo baba yako anayekuzaa huwezi kumuita Baba kwasababu tu kuna baba wa Mbinguni.Mt. 23:9Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
DahUnaeleweka kwa maandiko yako tu. Sina haja wala sababu ya kuelewa wewe ni nani.
Usilete usanii wa maneno. Nimezaliwa na kukulia kariakoo.
Acha kukariri kama kasuku wewe msifikiri biblia imeandikwa na wewe unakariri huwa ina mafumbo kwa hiyo baba yako anayekuzaa huwezi kumuita Baba kwasababu tu kuna baba wa Mbinguni.
Haya basi baba yako utamwita mama au mjombo?.
Ndio maana mimi namuabudu mungu sana ila vitu vingine akili kichwani kwangu
Msanii,Bora na wewe umeona hii issue.
Jaribu kumrai mzee Mohamed Said aandike zaidi vitabu vya historia ya uhuru wa Tanganyika.
Tumelishwa matangopori hadi tunashiriki laana ya kupuuzia jasho la wale walioasisi harakati za uhuru wetu.
Lakini walishindwaMchonga meno alistahili kutiwa bakora siyo kunyooshewa
Mchonga meno alistahili kutiwa bakora siyo kunyooshewa
Nyerere alikuws MDINIHuwa najiuliza kwa nini waislamu mnamchukia nyerere, sipati majibu
Dini ni bangi kwa binadamu asiyejielewa. Huyu babu Mohamed Said ana uraibu wa dini kama mvuta bangi tuMaandiko yako yote ni Islamcentric , au unaitazama historia kwa miwani ya dini yako.
Unachohadithia ni tofauti na uhalisia.
Sasa utuambie kama Nyerere aliyetoka huko misituni, kama aliwashikia majambia "wazee wako" ili awaghilibu na kuwatawala.
Ninyi ndio mnafaa kukaa misikitini tu na kuhubiri dini kuliko kupotosha historia.
Hatupingi watu wa Pwani walishiriki kikamilifu kudai uhuru, lakini hawakuwa peke yao kama unavyo vutia ngozi ya uislamu kwako.
Kimsingi huyu jamaa ni mvivu.Dini ni bangi kwa binadamu asiyejielewa. Huyu babu Mohamed Said ana uraibu wa dini kama mvuta bangi tu