Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Maso...Good, umekubali utumwa ulikuwepo East Coast ya Africa.
Sasa wewe mjuzi wa historia, tupe vituo vikuu vya kusafirishia watumwa.
Tatizo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maso...Good, umekubali utumwa ulikuwepo East Coast ya Africa.
Sasa wewe mjuzi wa historia, tupe vituo vikuu vya kusafirishia watumwa.
Mkuu MS , siyo kwamba hujui tunako ekekea kwenye mjadala huu, unajua fika kuwa maeneo ya Kigoma-Ujiji, Tabora,Bagamoyo, Zanzibar, Kilwa, Mtwara na Sofala Msumbiji ndiyo zilikuwa gateways za utumwa Afrika Mashariki.Maso...
Tatizo nini?
Maso...Mkuu MS , siyo kwamba hujui tunako ekekea kwenye mjadala huu, unajua fika kuwa maeneo ya Kigoma-Ujiji, Tabora,Bagamoyo, Zanzibar, Kilwa, Mtwara na Sofala Msumbiji ndiyo zilikuwa gateways za utumwa Afrika Mashariki.
Na unajua kuwa hizo sehemu ndizo ngome za Uislamu hadi leo.
Na ndiko chimbuko la "wazee wako".
Tuendelee?..............
Hilo nakubaliana nalo, kwa vile nami ni mwandishi.Maso...
Kanuni za uandishi unaweka dots tatu...
Maso...Hilo nakubaliana nalo, kwa vile nami ni mwandishi.
Ila limewekwa kwa msisitizo.
Na hujachangia maoni yako katika swala nililokuuliza.
Mkuu MS.Maso...
Sina cha kuchangia kwa kuwa historia hiyo ni maarufu sana.
Huwa nawaelekeza watu kusoma Cross Atlantic Slave Trade na Belgian Congo Slave Trade.
Wengi wamenufaika.
Wakati mwingine huwaambia wamsome Alex Hailey "Roots."
Hii video clip nilipokuwa naisikiliza mwili ulikuwa unanisisimka, nikakumbuka utoto miaka ya mwanzo ya 60 pale kwetu Lumumba na wazee niliokua nawaona pale wakija ofisi ya TANU na Nyerere akiwemo, sio Nyerere wa sasa, kijana kabisa mtanashati.
Namkumbuka kwa sababu sigara akinunuwa dukani kwetu na akifahamiana sana na shangazi yangu hapo nyumbani, Mrehemu bi Mariam, na mdogo wake amabe ni mjombangu. Alikua kidogo zimemzidi sana. Mwenyezi Mungu amrehemu maarufu "Mjomba Husseni".
Dah, nimemkumbuka mpaka Mzee Amri na sauti lake kama ana makohozi mdomoni, pale jirani yetu kwa mtaa wa udoe. Nakumbuka akianika betri kama za pikipiki zamani ndio za redio yake.
Jioneeni hii video, sitaki kuongeza langu kwa sasa. Naomba Alama Alama Mohamed Said aje mwenyewe kupanguwa risasi, maana najuwa huku kuna watu kwao, nyerere ndiyo kama mungu wao wa duniani:
View: https://youtu.be/JNxS7UpEIRo?si=0ke-vQap9jevRc03
Hii habari nzito sana.
ni moja ya clip ya kijinga mno, haina hata maana.Umeisikiliza clip? Wapi ulipoona kuna chuki ya Waislam kwa nyerere?
. Anayeunga mkono Waislam wasipige kura na anayetetea Waislam wapige kura, nani mwenye chuki na wenzake hapo?
Kwanini hawa kina Sykes wanaonekana wanao mchango.Huihui,
Bahati mbaya hukupata kuwajua wazee wetu wala hukupata kusikia mchango wao katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Historia hii umeisikia kwangu na bahati mbaya imekuumiza nafsi yako.
Sababu ya wewe kuumia ni kuwa imekudhihirikia wema wao na uzalendo wa hali ya juu waliokuwanao hawa wazee.
Kila hatua unawakuta kuanzia 1924 Dr. Kwegyir Aggrey alivyomshauri Kleist Sykes kuunda African Association hadi 1929 alipoiunda na 1933 alipounda Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.
Kuandika historia ya maisha yake kabla ya kifo chake na mswada huu kufikishwa University of East Africa Department of History na kila kitu kuwekwa wazi.
Hadi 1950 Schneider Abdillah Plantan anashinikiza kuondolewa madarakani kaka yake Thomas Plantan aliyekuwa President wa TAA na Secretary Clement Mohamed Mtamila na kuwaingiza madarakani vijana wadogo Dr. Vedasto Kyaruzi na Abdulwahid Sykes.
1952 Nyerere anapelekwa nyumbani kwa Abdul Sykes na Joseph Kasella Bantu na 1953 Hamza Mwapachu anamshauri Abdul Sykes wampe Nyerere uongozi wa TAA na 1954 waunde TANU.
Mimi kuandika historia hii si kwa kuwa nina wivu au namchukia Nyerere.
Nimeandika kuweka sawa historia ya uhuru wa Tanganyika.
Historia ya Sheikh Suleiman Takadir ilifutwa.
Nimeiweka hapa ili tuijue na tujifunze kwayo.
Hii si chuki.
Baba wa Taifa la Zanzibar?Kwanini hawa kina Sykes wanaonekana wanao mchango.
Binafsi simkubali Julius kwa sera zake nyingi ambazo ndio hadi leo zimeifikisha nchi hapa , najua wale diehards wake napenda kuwaita "Julic fanatics" hawawezi kunielewa.
Nyerere aliwabania watanzania fursa nyingi na "kuwafungia" ndani kwa kivuli cha uzalendo matokeo yake leo hii ndio uoga ule ule umeendelea kuwaandama watu.
Alipomaliza ni aina yote ya mifumo ya kiuongozi na katiba yote ilibaki ikimtolea macho mwenyekiti [zidumu fikra za mwenyekiti]
Pia mtueleze kwanini baba wa taifa wa Zanzibar John Okello anaoneka si chochote??
Maso...Mkuu MS.
Historia huwa haina adabu, inaweza kukuumbua mchana kweupe.
Suala la utumwa katika pwani ya Afrika Mashariki huwezi kuitenganisha na Uislamu na ujio wa waarabu.
Na hii haina maana kwamba historia ya walioeneza Ukristo ilikiwa na uafdhali wowote.
Wote walifanya hivyo kwa ajili ya kutawala na kunyonya waafrika, na si vinginevyo.
Sasa kwa umahiri mkubwa unapoikwepa historia ya waarabu na utumwa ikiwa ni pamoja na kueneza uislamu, unanishangaza.!
Nimetaja miji iliyokuwa centres za kukusanya binadamu na kwenda kuuzwa.
Siyo coincidence kwamba Kilwa, Sofala, Kigoma-Ujiji, Tabora, Bagamoyo na Zanzibar ni sehemu zilizo ngome za dini ya kiislamu.
Mbaya zaidi, ingalau watumwa waliopelekwa bara la America tunaona vizazi vyao, na hata wengine walioenda India Kusini na Pakista, kuna kabila la Sidi hadi leo.
Kabila hili la Sidi wana asili ya kibantu toka Afrika.
Wale waliopelekwa Uarabuni wote walitoweka, thanks kwa uislamu na uarabu.
Na huku nyuma uislamu na uarabu uliacha ubaguzi mbaya , ubaguzi ambao ndiyo chimbuko la mapinduzi ya Zanzibar.
Mapinduzi Zanzibar haikuwa kupigania uislamu, maana "wazee wetu" huko walipigania haki za uafrika wao, maana aliyepindua na aliyepinduliwa wote walikuwa waislamu!
Hivyo tusiirahisishe historia ya kupigania uhuru wa nchi yetu kwa ushabiki wa kidini.
Huyo ndio chuma !
Asante MS kwa kutambua kuwa lililopo mezani si ushabiki wa kidini unaoenezwa n mtoa mada.Maso...
Sina tatizo na fikra zako.
No wonder , Mohammed Said na Faizafoxy wameshindwa kujibu hili.Mkuu MS.
Historia huwa haina adabu, inaweza kukuumbua mchana kweupe.
Suala la utumwa katika pwani ya Afrika Mashariki huwezi kuitenganisha na Uislamu na ujio wa waarabu.
Na hii haina maana kwamba historia ya walioeneza Ukristo ilikiwa na uafdhali wowote.
Wote walifanya hivyo kwa ajili ya kutawala na kunyonya waafrika, na si vinginevyo.
Sasa kwa umahiri mkubwa unapoikwepa historia ya waarabu na utumwa ikiwa ni pamoja na kueneza uislamu, unanishangaza.!
Nimetaja miji iliyokuwa centres za kukusanya binadamu na kwenda kuuzwa.
Siyo coincidence kwamba Kilwa, Sofala, Kigoma-Ujiji, Tabora, Bagamoyo na Zanzibar ni sehemu zilizo ngome za dini ya kiislamu.
Mbaya zaidi, ingalau watumwa waliopelekwa bara la America tunaona vizazi vyao, na hata wengine walioenda India Kusini na Pakista, kuna kabila la Sidi hadi leo.
Kabila hili la Sidi wana asili ya kibantu toka Afrika.
Wale waliopelekwa Uarabuni wote walitoweka, thanks kwa uislamu na uarabu.
Na huku nyuma uislamu na uarabu uliacha ubaguzi mbaya , ubaguzi ambao ndiyo chimbuko la mapinduzi ya Zanzibar.
Mapinduzi Zanzibar haikuwa kupigania uislamu, maana "wazee wetu" huko walipigania haki za uafrika wao, maana aliyepindua na aliyepinduliwa wote walikuwa waislamu!
Hivyo tusiirahisishe historia ya kupigania uhuru wa nchi yetu kwa ushabiki wa kidini.
Wakijibu nitag.Asante MS kwa kutambua kuwa lililopo mezani si ushabiki wa kidini unaoenezwa n mtoa mada.
Maana huyo aliyemnyooshea kidole Mwalimu tunamsamehe bure maana alikuwa hajui kuwa ni muathirika wa mawazo ya kutawaliwa .
Sasa nikuulize swali ambalo MS unaweza kulitafiti katika nyanda za dini yako.
Mwaka 1968, baada ya kutaifishwa shule za wamissionari ili ziwe shule za watanzania wote na kusiwepo ubaguzi wa dini, Mwalimu alikuwa na nia ya kuanzisha Chuo Kikuu kwa ajili ya waislamu.
Chuo hicho kilijengwa kwa msaada ya taifa la Misri.
Wakati huo Mwalimu alikuwa na urafiki mkubwa na Gamal Abdel Nasser, rais wa Misri. Hadi leo majengo ya chuo hicho yapo.
Mimi nimesoma Chang'ombe primari miaka baada ya uhuru, hivyo najua fika kuwa majengo ya chuo yapo hadi leo.
Cha kushangaza na swali langu, ni kwa nini wenzetu waislamu hawaku take up the challenge na kukiendeleza chuo hicho?
Na hapo ndipo huyo anayesema "Mwalimu alitaka kuendeleza wa kwao" naona kama ni upuuzi wa aina fulani.
alafu si ukute anayejiita faizafoxy ni mzee wetu said. atakuwa amefika mbali sana sasa.Sijakuelewa ujinga wake niji? Hazikuwepo hizo K ra tatu kama zinavyoelezewa kwenye hiyo clip?
Au kuna lingine?
Maso...Asante MS kwa kutambua kuwa lililopo mezani si ushabiki wa kidini unaoenezwa n mtoa mada.
Maana huyo aliyemnyooshea kidole Mwalimu tunamsamehe bure maana alikuwa hajui kuwa ni muathirika wa mawazo ya kutawaliwa .
Sasa nikuulize swali ambalo MS unaweza kulitafiti katika nyanda za dini yako.
Mwaka 1968, baada ya kutaifishwa shule za wamissionari ili ziwe shule za watanzania wote na kusiwepo ubaguzi wa dini, Mwalimu alikuwa na nia ya kuanzisha Chuo Kikuu kwa ajili ya waislamu.
Chuo hicho kilijengwa kwa msaada ya taifa la Misri.
Wakati huo Mwalimu alikuwa na urafiki mkubwa na Gamal Abdel Nasser, rais wa Misri. Hadi leo majengo ya chuo hicho yapo.
Mimi nimesoma Chang'ombe primari miaka baada ya uhuru, hivyo najua fika kuwa majengo ya chuo yapo hadi leo.
Cha kushangaza na swali langu, ni kwa nini wenzetu waislamu hawaku take up the challenge na kukiendeleza chuo hicho?
Na hapo ndipo huyo anayesema "Mwalimu alitaka kuendeleza wa kwao" naona kama ni upuuzi wa aina fulani.
MSOME JOHN OKELLOHuyo ndio chuma !
Siku ya mapinduzi Karume alikuwa chini ya uvungu wakati John Okello alikuwa field.
Tafsiri yake ni kuwa Okello japo aliletwa kupigana kwa malipo ila alikuwa na uchungu na Zanzibar hata kuwa tayari kufa ili Zanzibar iwe huru.
Karume hakuwa tayari kufa ili Zanzibar iwe huru ndio maana aliingia mitini hadi Sultan alipofurushwa ndio akaonekana na wafuasi wake na kubadili historia na kujipa madaraka.
Hii pia diehards wa Karume hawawezi kusema kama ambavyo Kambona aliokoa Julius na mapinduzi matokeo yake Julius akamlipa kwa kumuita Malaya hadi shuleni zikatungwa nyimbo kumkebehi.View attachment 3087001