Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwani hiyo clip wapi imesema waislamu wasipige kura? Imesema waliofika darasa fulani tu ndo wapige kura. Hao wasiofika hilo darasa walikuwa ni waislamu pakee??? Hakukuwa na wakristo ambao hawakuwa na elimu iliyotajwa kwamba ndo awe nayo anayepiga kura..!!?? SHIDA KUBWA NI KWAMBA MMEZOWEA KULALAMIKA KWENYE KILA KITU. NA HILI NI JAMBO LA KIHISTORIA..!!Umeisikiliza clip? Wapi ulipoona kuna chuki ya Waislam kwa nyerere?
. Anayeunga mkono Waislam wasipige kura na anayetetea Waislam wapige kura, nani mwenye chuki na wenzake hapo?
Ohoo, kwa hiyo unanambia ubaguzi wa waliosoma na wasiosoma ndiyo ulikuwa unapandikizwa.Kumbe malalamiko ya kwamba waislamu hawajasoma yapo tangu enzi na enzi..!! Maana inaonyesha sababu ya kutotaka kupiga kura kwa namna ile iliyosemwa na Nyerere, ni ile hali ya wao kutosoma, na waislamu wenyewe walilitambua hilo..!!
Nikuulize haya;
1. Hao walikuwa wanamtenga huyo 'MTAKA DINI', hakukuwa na waislamu..!!??? Au walikuwa wakristo pekee..!!???
2. Huoni kwamba kwa watu wote kukubali kumtenga bwana 'MTAKA DINI', Nyerere alikuwa na nguvu sana kiasi cha hata waislamu wenyewe kumkubali?
3. Na hao waislamu waliokubali kumtenga bwana 'MTAKA DINI', walimtazama Nyerere kama 'Mungu' wao.!!?? Au wakristo pekee ndo walimtazama Nyerere kama 'Mungu' wao..!!??
Hata kama Mohamed Said naye ana majibu ya maswali haya, namwomba anipe..
Kwahiyo, hapa wewe mwenyewe unaona ndo umejibu maswali yangu..!!??Ohoo, kwa hiyo unanambia ubaguzi wa waliosoma na wasiosoma ndiyo ulikuwa unapandikizwa.
Nimekuelewa ingawa sikubaliani na fikra zako.
Sijui kwa wengine ila binafsi yangu nakumbuka masuala mengi kuanzia umri wa 6+ nilipoanza darasa la kwanza na mengine mengi japo sio sana kipindi nasoma vidudu kabla ya hapo kama mitaa na watu ambao tulikuwa nao karibu ikiwemo marafiki wa utotoniHebu toa unanii wako hapaaa.
Miaka hiyo ya 60 kama unakumbuka mambo makubwa kama haya jua ulikua na umri wa miaka 10+ means ulizaliwa 50’s.Haya mpaka leo ni 24 means una 74 yrs. Suprisingly unasema unaitafuta 70!.
Hii story umekopy umeshindwa hata kuedit bibi wewe.
Huwa najiuliza kwa nini waislamu mnamchukia nyerere, sipati majibu
Anhaa kumbe, basi sawa.Kwahiyo, hapa wewe mwenyewe unaona ndo umejibu maswali yangu..!!??
Leo hii ile ya kusema ili uwe mbunge ni lazima ujuwe kusoma na kuandika, JE, HII UNAITAZAMA KAMA UBAGUZI KWA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA..!!??? Hili nalo unijibu
Kwahiyo, hapa wewe mwenyewe unaona ndo umejibu maswali yangu..!!??
Leo hii ile ya kusema ili uwe mbunge ni lazima ujuwe kusoma na kuandika, JE, HII UNAITAZAMA KAMA UBAGUZI KWA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA..!!??? Hili nalo unijibu
Huwa najiuliza kwa nini waislamu mnamchukia nyerere, sipati majibu
Umeishiwa hoja..!!Anhaa kumbe, basi sawa.
Hui...Dini ni bangi kwa binadamu asiyejielewa. Huyu babu Mohamed Said ana uraibu wa dini kama mvuta bangi tu
Jidu,Kimsingi huyu jamaa ni mvivu.
Na watu kama hao na wanaomzunguka ni watu wa gahawa tu na kupiga stori.
Wewe endelea kuandika hekaya zako kwa vile watu wa kuzisoma unao. Maisha yako ni uislamu tu hakuna kingine unajuwa, labda na kupiga muziki maana siku moja ulipost picha unapiga keyboardHui...
Sijui kipi kinakughadhibisha.
Mimi naona fahari kuwanasibisha wazee wangu na Julius Nyerere na kueleza historia yao.
Wewe historia hii hupendi kuisikia ns hutaki kabisa iwepo.
Unadai historia hii ni udini.
Nafahamishe unatakaje katika haya mawili.
Kuwa tuifute historia hii?
Au tuirejeshe historia ya zamani ambayo Waislam hawakuwemo?
Hongera kwa kupiga stori!Jidu,
Siku mbili zilizopita katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre nimetunukiwa "Special Award" kwa mchango wangu katika uandishi wa historia ya uhuru wa Tanganyika.
Huyo Mudy Saidi ni mbeya, muongo muongo mnoo. Halafu stori zote za uzushi, kutunga au "kuambiwa", hakuna aliyosikia mwenyewe!!Jioneeni hii video, sitaki kuongeza langu kwa sasa. Naomba Alama Alama @Mohamed Said aje mwenyewe kupanguwa risasi, maana najuwa huku kuna watu kwao, nyerere ndiyo kama mungu wao wa duniani:
Hui...Wewe endelea kuandika hekaya zako kwa vile watu wa kuzisoma unao. Maisha yako ni uislamu tu hakuna kingine unajuwa, labda na kupiga muziki maana siku moja ulipost picha unapiga keyboard
Kwanza wacha name calling, jifunze kutokubadili majina ya watu, sisi siyo kondoo.Huyo Mudy Saidi ni mbeya, muongo muongo mnoo. Halafu stori zote za kuambiwa na wazushi, hakuna aliyosikia mwenyewe!!
Eti kura 3 zililenga kuzuia watu wasiosoma wa dini yake kupiga kura!
Sasa angetuambia miaka hiyo ya kabla ya uhuru wa Tanganyika kulikuwa na Wakristo wangapi waliokuwa wamesoma na walikuwa wanamiliki angalau paundi 400 walizotakiwa kuwa nazo?!!! Ukweli ni kuwa hawakuwepo.
Watu wenye udini wa kipuuzi kama huyo mzee wanastahili kupuuzwa.
Hao Mtemvu na mwenzie Kadiir walijitoa TANU wakaanzisha chama chao, mbona waliangukia pua? Ushawishi wao ulienda wapi?!!
Msimamo wa Nyerere ulitokana na msukumo wa uzalendo, siyo dini kama hawa wadini wanavyojaribu kudanganya watu humu.
Kuhusu kisa hicho, angalau huyu hapa chini kasema KWELI..
View: https://youtube.com/watch?v=FyLqYsCxdNE&si=VFE4l97v2q5NV1tV
Acha double standard.Kwanza wacha name calling, jifunze kutokubadili majina ya watu, sisi siyo kondoo.
Kwenye gesti ya mbinguni kwa mudi boy unatazamia kwenda lini?AlhamduliLlah, mie naitafuta 70 sasa hivi. Allah akinijaalia uhai wala si siku nyingi. Ndiyo humohumo.
Nimekwambia, sisi siyo kondoo, usibadili majina yetu.Acha double standard.
Angalia post ya hapo juu #138, huyo mwenzio kafupisha jina la mtu, kaandika 'Hui'.
Au yeye tu ndo ana haki ya kufupisha majina ya wengine?!!