Kisa kususa, Ronaldo asimamishwa kuichezea Ureno, afunguliwa Mashtaka ya Nidhamu

Aisee... kumbe kila mtu anauona huu ukweli kasoro yeye mwenyewe!
 
GOTI bado anapambana,ila GOAT yeye kaamua awape nafasi vijana.
 
Nitakuelezea vizuri sana kwanini Ronaldo hajastaafu.

Kwanza ifahamike kwamba baada ya kuondolewa kwenye kombe la dunia, Ronaldo alikuwa na mpango wa kustaafu National Team.

Aliulizwa na waandishi wa habari akasema "hiyo ni michuano yangu ya mwisho kwenye kombe lake la dunia. Kuhusu kustaafu National Team bado nafikiria na sitaki niharakishe kuyafikia maamuzi hayo"

Hayo yalikuwa ni maneno aliyoyasema miezi mitatu iliyopita. Na baada ya hapo rumors za jamaa kustaafu zikaanza kusambaa.

Dada yake na Cristiano Ronaldo aitwaye Katia Aviero aliwahi kuhojiwa akasema kaka yake anatarajia kustaafu siku za usoni.

Baada ya hizi rumors kuenea ndipo sasa raisi wa shirikisho la soka la Ureno pamoja na kocha mpya Jeorge Jesus walimuita Ronaldo na kufanya mazungumzo kumshauri asistaafu.

Na hadi kupitia statement aliyotoa juzi Ronaldo katika ukurasa wake wa Instagram alisema baada ya kombe la dunia aliandaa barua rasmi ya kuwaaga na kuomba kustaafu.

Mpaka hapa nadhani ushaelewa kwanini hajastaafu.

Kilichobaki ni kwamba media zimechochea sana hili jambo kufanya ionekane Ronaldo ndio king'ang'anizi asiyekubali kustaafu.

Bahati mbaya na watu wengi wanajaa huu upepo kwasababu wanaziamini hizo media na wengine ni kwasababu ya uvivu wa kufikiri.
 
Oooh basi sawaa!!
 
Oooh basi sawaa!!
Portugal walijua mapema kwamba uwezo wa Ronaldo umepungua na hawezi ku cover eneo kubwa la uwanja kama alivyokuwa akifanya kwenye prime yake.

Ila walifikiria eneo la biashara ambalo wangeweza kuathirika moja kwa moja.

Kwa mfano Puma waliingia mkataba na shirikisho la soka la Portugal (FPF) ambapo kwenye masharti walisema endapo Ronaldo ataondoka itabaki tufanye marekebisho ambayo yataenda kupunguza pesa watayolipwa.

Na mikataba mingine yote ilikuwa inabebwa na jina la Ronaldo, hivyo maamuzi ya kumbakisha Ronaldo yalikuwa kimaslahi zaidi kuliko mbinu za uwanjani.

Na ndio maana kocha alimwambia atakuwa anamchezesha dakika 30 na yeye alikubali kwasababu ya kuifanya nchi yake isikose mapato.
 
Penaldo muone huyu jamaa na umlipe walau chochote kitu.

Anakupambania mno.

Yupo tayari hata kukataa au kupindisha ukweli ilimradi akutetee goti wake.

Muone kijana wako.
 
Penaldo muone huyu jamaa na umlipe walau chochote kitu.

Anakupambania mno.

Yupo tayari hata kukataa au kupindisha ukweli ilimradi akutetee goti wake.

Muone kijana wako.
Tukiangalia stats za UEFA kujua nani aliyepiga penati nyingi, Messi ndio kinara.

Tukija Laliga, Messi bado kinara kwa kupiga penati nyingi.

World Cup: hapa ana rekodi mbili, moja anayeshikilia ni kupiga penalti nyingi kwenye single tournament akiwa na penati 4.

Ya pili ni kuongoza kuwa na idadi kubwa ya kupewa penati kuliko mchezaji mwingine yeyote tangu kuanza kwa kombe la dunia.

Lakini watu bado wanamuita Ronaldo Penaldo
 
Madrid na Villarreal ngapi ngapi uko? Au umekimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…