Kisa nilicho kutana nacho huu mwaka katika kutafuta ajira

Wadada bwana!!!! Kama una boyfriend na hamjaoana, na unamtegeshea kichupa anajisaidia, kwa Mungu hiyo ni dhambi (kama ndicho unachoogopa). So kumpa huyo jamaa wa kibaruani ni extension tu ya dhambi unayofanya na your boyfriend. Kama unaogopa magonjwa, ndo keshakwambia ukapime. Kuliko kuendelea kumpa bure boyfriend wako, achia for the first time kikulipe. Ila hakikisha kinakulipa kweli.

NB: KAMA KAWAIDA YA SIKU ZOTE, USHAURI UNAWEZA KUCHUKULIWA AU KUACHWA. HUU USHAURI NISINGEUTOA KWA MY WIFE MPENDWA

usingeutoa kwa "kwa my wife mpendwa" ila kwa wake zawengine unafaa[emoji38][emoji38]
 
Wanna wote wamekurarua wanataka ugawe papuchi yako

Dah inasikitisha sna
 
Pole sana..msimamo ni nguzo imara usiyumbishwe ipo siku utapata kazi
 
Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,

Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika, ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV.

Tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende nyumbani kwake, na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo! Nikamkatalia, nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!

Akaniambia nina mda mrefu sijafanya mapenzi, mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa! Nikamwambia mimi sihitaji, naomba barua zangu. Akaniambia kwahiyo wewe unataka mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia mmi hutaki?

Nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati mimi bado naendelea kutafuta kazi? Hivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata hiyo nafasi ya kujitolea hadi leo.

Ofisini kwake nilienda karibu mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku hizo zote alinidai ngono. Nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine, nako nilisaidiwa na kupewa hela juu, lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida.

Mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo, mara kuna kitu inabidi unitimizie, nikakataa pia. Nikaenda tena ofisi nyingine hivyo hivyo, oh dada naomba unipe nafasi, nimekuelewa sana, nakupenda, hii barua yako leo hii hii napeleka sehemu husika. Nikaipotezea tena hiyo sehemu hadi leo sijafatilia.

Nikaenda tena sehemu nyingine huyo sasa alikuwa Meneja, akaniambia njoo uripoti lakini naomba uwe na mimi, nitakufungulia na biashara pia! Ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine.

Siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu. Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea, hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. Namba za hawa watu zote nimezifuta, yaani ni kuniomba ngono tu hamna msaada wowote.

Nasemaje, ofisini kuna mambo! Ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini, acha kabisa.
Kuna MAHALI napafukuzia nikifanikiwa nitakushtua,sina tamaa za ngono wala muda Zaid nitakwambia mshukuru Mungu
 
Huenda unaenda ukiwa umevaa nguo za mitego zile mnazovaaga chuo.
Unamtamanisha mtu akikutaka kingono unamuona ni muhuni ilhali chanzo unakua ni wewe. Jaribu kuangalia mavazi yako, huenda huna sura nzuri ila mavazi unayovaa ili uonekane mzuri ndio sababu.

Ni ngumu kuchomoa, sikuombei itokee ila utaliwa kwa ahadi kedekede.
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, kua makini.

Kila la kheri
 
Huu ni utamaduni wa wanaume wengi wa Tanzania. Kuja kuondoa hii tabia itabidi nguvu za ziada zitumike. BTW ni vizuri muwe mnaweka majina yao hadharani ili kujaribu kupunguza hii tabia. Si ajabu hata ukienda TAKUKURU nako ukakumbana na watu wa aina hii. Siku nyingine fanya hivi: tegesha simu au nunua kitu cha kurekodi. Rekodi mazungumzo na uyaweke hadharani eg hapa. Taja jina lake, ofisi na siku. Hili litasaidia sana kupunguza huu ujinga.
Bongo kuna ukiritimba wa hali ya juu. Huko takukuru nako wapenda rushwa wapo kibao.

Hili tatizo hapa bongo ni sugu, wanawake wasio na misimamo wamewazoesha wanaume wapenda ngono
 
Huyu hata mumewe atapata tabu kula mzigo anaonekana ni mgumu
 
Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,

Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika, ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV.

Tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende nyumbani kwake, na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo! Nikamkatalia, nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!

Akaniambia nina mda mrefu sijafanya mapenzi, mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa! Nikamwambia mimi sihitaji, naomba barua zangu. Akaniambia kwahiyo wewe unataka mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia mmi hutaki?

Nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati mimi bado naendelea kutafuta kazi? Hivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata hiyo nafasi ya kujitolea hadi leo.

Ofisini kwake nilienda karibu mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku hizo zote alinidai ngono. Nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine, nako nilisaidiwa na kupewa hela juu, lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida.

Mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo, mara kuna kitu inabidi unitimizie, nikakataa pia. Nikaenda tena ofisi nyingine hivyo hivyo, oh dada naomba unipe nafasi, nimekuelewa sana, nakupenda, hii barua yako leo hii hii napeleka sehemu husika. Nikaipotezea tena hiyo sehemu hadi leo sijafatilia.

Nikaenda tena sehemu nyingine huyo sasa alikuwa Meneja, akaniambia njoo uripoti lakini naomba uwe na mimi, nitakufungulia na biashara pia! Ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine.

Siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu. Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea, hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. Namba za hawa watu zote nimezifuta, yaani ni kuniomba ngono tu hamna msaada wowote.

Nasemaje, ofisini kuna mambo! Ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini, acha kabisa.
Tz ni uoza!
 
Mm nadhani tatizo limeanzia hapo chini kwenye huo uzi wako

Ni kweli kabisa angalia na huu

acha uongo uongo mtoa post unaonekana kituko.
Mara mwanaume mara mwanamke
Screenshot_2022-11-11-11-37-32.png
 
Nasemaje, ofisini kuna mambo! Ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini, acha kab

Pole sana dada

Hayo ndio maisha ya ofisi nyingi zisizo na waredi

Ofisi inatakiwa kupokea maombi online kwa dunia hii na anaeprocess ni hr office

Sasa hao wanakula mzigo na hawakupi hio kazi kwa kujitolea

Pa msingi apply nafasi nyingi online utapata tu

Pia jaribu kuomba kwenye hizi recruiting agency kujitolea watakutafutia

Mimi sina uwezo wa kukutafutia kazi , wapa sina strong connection

Just share your Cv even without phone number .

Make sure umeiandika vizuri na vitu unavyoweza kuvifanya

NB:lets try to help her
 
Ni kweli kabisa angalia na huu

Mbona kama sio mtu serious😹
 
Jamani, jamani, ofisi zimetulia, majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia, na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini?! Lets go to the point,

Mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja hivi sehemu fulani, jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika, ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV.

Tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende nyumbani kwake, na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo! Nikamkatalia, nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!

Akaniambia nina mda mrefu sijafanya mapenzi, mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa! Nikamwambia mimi sihitaji, naomba barua zangu. Akaniambia kwahiyo wewe unataka mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia mmi hutaki?

Nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati mimi bado naendelea kutafuta kazi? Hivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata hiyo nafasi ya kujitolea hadi leo.

Ofisini kwake nilienda karibu mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku hizo zote alinidai ngono. Nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine, nako nilisaidiwa na kupewa hela juu, lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida.

Mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo, mara kuna kitu inabidi unitimizie, nikakataa pia. Nikaenda tena ofisi nyingine hivyo hivyo, oh dada naomba unipe nafasi, nimekuelewa sana, nakupenda, hii barua yako leo hii hii napeleka sehemu husika. Nikaipotezea tena hiyo sehemu hadi leo sijafatilia.

Nikaenda tena sehemu nyingine huyo sasa alikuwa Meneja, akaniambia njoo uripoti lakini naomba uwe na mimi, nitakufungulia na biashara pia! Ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine.

Siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu. Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea, hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. Namba za hawa watu zote nimezifuta, yaani ni kuniomba ngono tu hamna msaada wowote.

Nasemaje, ofisini kuna mambo! Ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini, acha kabisa.
Kwa msaada wa kisheria njoo inbox haraka usaidiwe.
 
Kwani umeolewa? kama sio hakuna hata mmoja ambae na wewe umempenda? hutaki kuolewa? kutongozwa ni kawaida kama ungeona jinsi wengine wanavyosumbuliwa,ungesema ni bora wewe
 
Pole sana
 
Back
Top Bottom