Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy New Year to you too. Hivi ni kweli mwaka huu hatujaonana humu kweli?!!Mriga....!!
Happy New Year...!!!😉
I know the year is ending, but...... t's been long...
Good to see you here.
Happy Wednesday 😊.
Acheni upumbafu hkn kitu nachukia kma rushwa ya ngono Bora uchukue peza lkn siyo k kugaiwaaMasela kitaa wanajipigia bure,bosi unambania
Aaah demu wako kazi anayo aisee!!Wadada bwana!!!! Kama una boyfriend na hamjaoana, na unamtegeshea kichupa anajisaidia, kwa Mungu hiyo ni dhambi (kama ndicho unachoogopa). So kumpa huyo jamaa wa kibaruani ni extension tu ya dhambi unayofanya na your boyfriend. Kama unaogopa magonjwa, ndo keshakwambia ukapime. Kuliko kuendelea kumpa bure boyfriend wako, achia for the first time kikulipe. Ila hakikisha kinakulipa kweli.
NB: KAMA KAWAIDA YA SIKU ZOTE, USHAURI UNAWEZA KUCHUKULIWA AU KUACHWA. HUU USHAURI NISINGEUTOA KWA MY WIFE MPENDWA
Pole sana. Tamaa za ngono/zinaa zimetujaa wanaume wengi. Hongera kwa msimamo. Kaza hivyo hivyo, usilegeze. Usikubali mbususu yako iliwe kizembe.Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
Nipe namba zako ofisini kwetu zipo nafasi za kujitolea na hawana longo longo kama hizo ila next time ukiandika ufuate kanuni za uandishi kwa ulivyoandika huyo jamaa alikuwa sahihi kukwambia CV yako umeiandika vibaya inabidi airekebishe.Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
Nina mke mkuu. Na pale mwisho nimesisitiza Kwa herufi kubwa kuwa sio kila ushauri ni wa kuupokea, hapo nimejumlisha na huo wa kwanguAaah demu wako kazi anayo aisee!!
Kwahiyi pisi ako akinyanduliwa ni pw tu??
Wewe unaona watu wanapata uteuzi unadhani ni mchezo mchezo tu?Jamani!!! Jamani!!! Maofisi yametulia,majengo ni mazuri yanapendeza na kuvutia,na watu wake wanapendeza ukiwaangalia kwa nje lakini!!!!,let s go to the point mwezi fulani hapa kati kati katika kutafuta sehemu za kujitolea nikaenda ofisi moja ivi sehemu Fulani,jamani nilikutana na kaka mmoja alinipokea vizuri tu, nikampa barua yangu na CV zangu lakini alionesha kutokuridhika na nilichokiandika ilibidi afanye kazi upya kuanzia kuandika barua hadi CV, tukiwa pale ofisini huku ananifanyia ile kazi huku ananilazimisha niende home kwake,na kunilazimisha kupima HIV ili niweze kumpa mzigo!!! nikamkatalia nikamwambia kaka kama hautaki kunisaidia basi naomba barua zangu niondoke watanisaidia wengine!!! Akaniambia Nina mda mrefu sija sex mke wangu yuko mbali naomba nipunguze kidogo zimejaa!!! Nikamwambia Mimi sihitaji naomba barua zangu,akaniambia kwaiyo wewe unataka Mimi nikusaidie lakini wewe kunisaidia Mimi hutaki nikamwambia nitafanya huu mchezo kwa watu wangapi katika maofisi wakati Mimi bado naendelea kutafuta kazi,ivi ninavyowaambia barua niliziacha na sijapata iyo nafasi ya kujitolea hadi Leo.ofisini kwake nilienda karibu Mara tatu akidai vitu havijakamilika na siku izo zote alinidai ngono.nilikosa furaha kila nilipokuwa nikirudi nyumbani. Basi nilivyoona miezi inakatika nikaenda sehemu nyingine nako nilisaidiwa na kupewa ela juu lakini nikaendelea kuombwa ngono kama kawaida mtu ananiambia njoo nyumbani nifulie nguo,Mara kuna kitu inabidi unitimizie nikakataa pia,nikaenda tena ofisi nyingine ivo ivo oh Dada naomba unipe nafasi nimekuelewa sana nakupenda hii barua yako Leo hii hii napeleka sehemu husika!!! Nikaipotezea tena iyo sehemu hadi Leo sijafatilia,nikaenda tena sehemu nyingine uyo sasa alikuwa manager akaniambia njoo ulipoti lakini naomba uwe na Mimi nitakufungulia na biashara pia ikabidi nimwambie basi nimegairi nitatafuta sehemu nyingine,siwachafui watu jamani huu mwaka nimepitia mikasa tu!!! Nimekata hadi tamaa ya kuomba kujitolea,hapo tu kujitolea vipi nikiwaambia waniajiri? Yani nimechoka kuzunguka. No za hawa watu zote nimezifuta yani ni kuniomba ngono tu Hamna msaada wowote!!! nasemaje ofisini kuna mambo ilishanitokea hadi kipindi cha field wababa wanaomba sana ngono maofisini acha kabisa.....
Tatizo anataka kazi kwenye ofisi za chama tawala🤣🤣Ila wabongo bwana,yaani haihitaji kuvaa vibaya Ili uombwe ngono. Wanawake wenye msimamo wanapitia sana udhalilishaji wa ngono hasa hasa huko maofisini. Dada usikate tamaa na Wala usiyumbishwe na msimamo wako hakika Kila mtu ana wakati wake.
Dar hata House girl hapati kazi bila kutoa uroda.hali ni mbaya sana.
Ambaye hakuridhika na uandishi wako hakukuonea ndo maana wengine wanataka wakubebe juu juu.,ivi ivo ivo , ulipoti ,nimegairi
Ushauri wa hovyo sanaWadada bwana!!!! Kama una boyfriend na hamjaoana, na unamtegeshea kichupa anajisaidia, kwa Mungu hiyo ni dhambi (kama ndicho unachoogopa). So kumpa huyo jamaa wa kibaruani ni extension tu ya dhambi unayofanya na your boyfriend. Kama unaogopa magonjwa, ndo keshakwambia ukapime. Kuliko kuendelea kumpa bure boyfriend wako, achia for the first time kikulipe. Ila hakikisha kinakulipa kweli.
NB: KAMA KAWAIDA YA SIKU ZOTE, USHAURI UNAWEZA KUCHUKULIWA AU KUACHWA. HUU USHAURI NISINGEUTOA KWA MY WIFE MPENDWA
ww mwenyew pc kal2 Kama wengneLol...pole Nyie pisi kali ndio changamoto zenu hizo...Mimi nilivyomaliza chuo nafasi ya kwanza kwenda kuomba niliulizwa tu unaitwa nani,??nikaambiwa haya karibu nenda ofisi ile pale utawakuta na wenzako au unaweza kuanza jumatatu nikaanza kupiga mzigo the rest is history poleni pisi kali sura za mama na shepu za mashangazi zinawaponza.